ITV ina ugomvi gani na CUF?

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
itv kila mara wanahudhuri press conference za cuf pamoja na vyombo vingine lakini cha ajabu huwa hawatoi habari za cuf katika taarifa ya habari na saa nyingine utaona katika screen imeandikwa katika habari za kitaifa lakini huwa haisomwi sijui ni kwanini?
 
Kwani TBC ambayo ni TV ya taifa ina Ugomvi gani na Chadema wewe badala ya kuilalamikia TV ya Taifa unajikita kwenye Tv za watu binafsi wewe vipi anzisha yako uonyeshe habari za CUF
 
Is CUF still there?iko wapi namba 7 yao inayotoka povu wakati wote[Mtatiro]
 
CUF ni tishio ,ndio ukaona hata mambo yao mpaka yachunguzwe ndio yatangazwe ,kama kuna Chama kinasikilizwa na wanachama wake basi ni CUF ,walifanya zoezi la kuitisha nguvu za umma wananchi wakaitikia ,embu CDM jaribuni kuitisha na kufanya zoezi kama la CUF tuone ?
 
itv kila mara wanahudhuri press conference za cuf pamoja na vyombo vingine lakini cha ajabu huwa hawatoi habari za cuf katika taarifa ya habari na saa nyingine utaona katika screen imeandikwa katika habari za kitaifa lakini huwa haisomwi sijui ni kwanini?

hivi hawa radio imaan ina ugomvi gani na rose muhando mbona hawapigi nyimbo zake?
 
CUF ni tishio ,ndio ukaona hata mambo yao mpaka yachunguzwe ndio yatangazwe ,kama kuna Chama kinasikilizwa na wanachama wake basi ni CUF ,walifanya zoezi la kuitisha nguvu za umma wananchi wakaitikia ,embu CDM jaribuni kuitisha na kufanya zoezi kama la CUF tuone ?
Eti tishio' yaani chama chenye mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa uku bara alafu kiwe tishio? you ar dreaming my friend.
RIP CUF, RIP Mkigoma
 
itv kila mara wanahudhuri press conference za cuf pamoja na vyombo vingine lakini cha ajabu huwa hawatoi habari za cuf katika taarifa ya habari na saa nyingine utaona katika screen imeandikwa katika habari za kitaifa lakini huwa haisomwi sijui ni kwanini?
Oohooo chama'chama gani? chama cha wananchi cuuuf X2...RIP CUF RIP Mkigoma
 
CUF ni tishio ,ndio ukaona hata mambo yao mpaka yachunguzwe ndio yatangazwe ,kama kuna Chama kinasikilizwa na wanachama wake basi ni CUF ,walifanya zoezi la kuitisha nguvu za umma wananchi wakaitikia ,embu CDM jaribuni kuitisha na kufanya zoezi kama la CUF tuone ?

unapenda kujifariji hadi una furahisha

lakini najua unatambua kuwa cuf ni ccm b!
 
Movement for chaga,na mengi ni mchaga.Christian democratic part [cdm],mengi naye mfuasi huko so usishae hiyo itv kutorusha habari za cuf,ni sera zao.Wataatoa kama kuna taarifa ya kukichafua cuf tena itatangazwa kwa mbwembe.Cha kushangaza chama chenyewe wanachokibebe hakibebeki.
 
Movement for chaga,na mengi ni mchaga.Christian democratic part [cdm],mengi naye mfuasi huko so usishangae hiyo itv kutorusha habari za cuf,ni sera zao.Wataatoa kama kuna taarifa ya kukichafua cuf tena itatangazwa kwa mbwembe.Cha kushangaza chama chenyewe wanachokibebe hakibebeki.
 
kwani habari za mume zkishaandikwa mke anakuwa na wasiwasi gani.ccm si ishaandikwa,halafu mvuto wa cuf ulipotea pindi tu mlipojiunga na mabwepande.
 
Cuf tangu waanze kupokea pesa za ruzuku wamepokea pesa nyingi sana.Waanzishe Tv yao kwa ajili ya shughuli zao za kisiasa,Hiyo itawapunguzia malalamiko yasiyokuwa na msingi.Nawaomba tuanze kwanza kudai haki ya vyama vyote kutangazwa katika Tv za Serikali kama TBC.
 
Back
Top Bottom