Mnyunguli
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,570
- 3,909
Naomba kujua je zile microphone ambazo huwekwa wakati wa press conference huwa na maana gani maana binafsi naona zinakuwaga nyingi mpaka kero kwa mimi mtizamaji na tena ukisoma majina ni vi-online TV uchwara ambavyo havijulikani.
Hii ina maanisha ni vyombo vya habari vidogo na hii hupelekea hata press kukosa uzito tofauti na zikiwepo microphone ya vyombo vya habari vikubwa kama ITV,clouds,JF(sidhani kama ipo),UTV,EATV.
Ukiniambia sababu ni ili kuoonesha uwepo wao kwamba wapo kwenye hiyo event.... nitakataa maana microphone zinakuwaga nyingi mpaka microphone za chini hazionekaniki.
Kwanini isikae microphone moja tu ili mzungumzaji aonekane vizuri.kwa sababu lengo si habri ifike.
Ahsante