Is JK a leader or a ruler?

daresalam,wewe na mkwere wako, ni wapenzi wa taarabu na mipasho, kizabizabina na huyo mkwere rais wako muathirika wa vvu na ufisadi pamoja na nyie wote. Muda wenu haupo mbali jipeni moyo tu kiama chenu ni hapahapa duniani.
 
Watanzania watamkumbuka kwa wamazo yapi mapya? au ni material things tuu haya yanayopatika kwa kuwapigia mataifa ya nje magoti? Hiki JK anajua majukumu yake kama raisi wa nchi? Hivi kuna mtu yeyote mwenye data za academic performance za JK huko nyuma? IQ yake ipo vipi? mbona ni mtu mzima mtoto? Hivi baada ya kustaafu anaweza akasema alikua raisi wa TZ? Hivi washauri wake ni wa namna gani? hivi washauri wa raisi huwa ni watu huru?
 
You are disgusting! are you truly a patriotic Tanzanian? i dont thinks so, otherwise wewe ni tunda la ufisadi

Mashule ni Mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Zahanati ni nyingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Udahili wa vyuo vikuu ni mwingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Maji masafi kwa wananchi ni mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Waalimu ni wengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Uchumi wa leo Tanzani ni mkuu zaidi ya wakati wowote ule.

Ukusanyaji wa kodi ni Mkuu leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Barabara kuu za lami na Miradi mipya ya barabara leo ni Mingi kuliko wakati wowote ule.

Utulivu wa kisiasa Zanzibar leo ni mkubwa kuliko wakati wowote ule.

Uwekezaji kutoka nje leo Tanzania ni Mkubwa kuliko wakati wowote ule.

Biashara Tanzania leo ni kubwa kuliko wakati wowote ule.

Mawasiliano Tanzania leo ni mengi na rahisi kuliko wakati wowote ule.

Mabenki Tanzania leo ni Mengi na watumiaji ni wengi kuliko wakati wowote ule.

Magari Tanzania, yawe ya biashara au ya binafsi leo ni mengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Magonjwa ya moyo lao Tanzania yanatibiwa humu ndani kwa wingi kuliko wakati wowote ule.

Demokrasi Tanzania leo imeshamiri kuliko wakati wowote ule.

Wageni wa Kitaifa maarufu leo ni wengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Na hayo yote within 5 Years. What did Nyerere do for 24 Years?

Niendelee?
 
what a shallow minded person, hata angeongeza zahanati moja ingekua nyingi kuliko wakati wowote ule kwani he didnt start from... and if this is how one measures performance, then we doomed to fail miserably
 
washauri wa mkwere ni akina kingunge, rweyemam, ridhwani, mamvi, rostam,somaiya, james sinclays mmarekani ambae mkwere analamba binti wa jamaa huyo ambae huko USA yeye ndie agent wao wa madini yetu, ukiwatazama woote ni mazezeta na mafisadi hakuna mzalendo hata mmoja, bora mkwere angekua anamsikiliza kaka yake seleman kikwete ambae ana busara na amekua anamuonya muda mwingi lakini hasikii, tokea alivyokua mdogo selemani alifanya kazi kubwa ya kutatua migogoro ya mkwere na mabinti wa watu. Hajaanza leo huyu mkwere kazaliwa na dam ya ufisadi. MUNGU AMLAANI.
 
CCM ilishindwa vipi kumpata mtu ambaye ni kichwa, msomi na mwenye utaifa. Je leo tungekua raisi wetu ni Salim, au Mwandosia sii ingekua afadhali kidogo? Au huyu bwana alitumia fedha za RA na Lowasa kuwaonga wajumbe wa CCM? Na mbona hapendi watu ambao ni waadilifu na wachapakazi kama Sita vile, etc. Je ilikua kuwa vipi akamteua Makamba kuwa katibu mkuu wa CCM mtu ambaye ana elimu 0. Je Tz haoni wanawake wasomi ktk sheria mpaka namchagua mtu kama celina kombani? au Mtu kama sophia simba ambaye utandaji wake ni 0? Mbona seriklale yake matumizi yake ni makubwa sana, je amesoma elimu gani ya uchumi? hivi JK ni mtu ana penda kusoma na kufanya mambo kisanyansi? au ni maamuzi yake yanatokana na taarifa tuu za mitaani. hivi JK anadhaminisha sana relation/mahusiano siyo ndo maana hawezi kufanya maamuzi magumu?
 
huyu shaitwai rajiim mkwere hana busara hata kidogo haya oneni yanayotokea arusha, hajui kaka ndio anazidi kujichimbia kaburi? Naomba mungu watanzania waamke ili ajute kwanini aliiba kura, naomba apate shida sana mpaka ashindwe kumaliza urais wake. Naomba virusi vyake vya ukimwi vichachamae mpaka adhalilike na afe huku akionyesha dalili zote za ugonjwa huo. Kikwete sikupendi na kila siku hua nakuombea mabaya naomba mungu akuangamize kama alivyo muangamiza firauni na mobutu ufe kifo kibaya sana tena cha kukudhalilisha.
 
Everybody knows that jk is a ruler.

He is none but a shadow of the ruler....maaana hata hao rulers wenyewe hawako hivyo, naona kama vile mtu mtu flani tu hivi anaendeshwa kwa hisia za wachache wenye mshiko na ninihiii
 
Mashule ni Mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Zahanati ni nyingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Udahili wa vyuo vikuu ni mwingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Maji masafi kwa wananchi ni mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Waalimu ni wengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Uchumi wa leo Tanzani ni mkuu zaidi ya wakati wowote ule.

Ukusanyaji wa kodi ni Mkuu leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Barabara kuu za lami na Miradi mipya ya barabara leo ni Mingi kuliko wakati wowote ule.

Utulivu wa kisiasa Zanzibar leo ni mkubwa kuliko wakati wowote ule.

Uwekezaji kutoka nje leo Tanzania ni Mkubwa kuliko wakati wowote ule.

Biashara Tanzania leo ni kubwa kuliko wakati wowote ule.

Mawasiliano Tanzania leo ni mengi na rahisi kuliko wakati wowote ule.

Mabenki Tanzania leo ni Mengi na watumiaji ni wengi kuliko wakati wowote ule.

Magari Tanzania, yawe ya biashara au ya binafsi leo ni mengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Magonjwa ya moyo lao Tanzania yanatibiwa humu ndani kwa wingi kuliko wakati wowote ule.

Demokrasi Tanzania leo imeshamiri kuliko wakati wowote ule.

Wageni wa Kitaifa maarufu leo ni wengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Na hayo yote within 5 Years. What did Nyerere do for 24 Years?

Niendelee?

UFISADI, tena ukiongozwa na viongozi vigogo, ni mkubwa kuliko wakati wowote.

Uteuzi wa viongozi usiofuata vigezo vya UWEZO, ni mkubwa kuliko wakati wowote.

Ugawaji wa MADINI kwa wawekezaji wa kisanii kutoka nje ni mkubwa kuliko wakati wowote.

Uanzishwaji wa makampuni hewa yanayomilikiwa na viongozi, kama za KUFUA UMEME, UWINDAJI, UVUNAJI MAGOGO, nk. ni mkubwa kuliko wakati wowote.

Niendelee?
 
Mashule ni Mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Zahanati ni nyingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Udahili wa vyuo vikuu ni mwingi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Maji masafi kwa wananchi ni mengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Waalimu ni wengi leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Uchumi wa leo Tanzani ni mkuu zaidi ya wakati wowote ule.

Ukusanyaji wa kodi ni Mkuu leo Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Barabara kuu za lami na Miradi mipya ya barabara leo ni Mingi kuliko wakati wowote ule.

Utulivu wa kisiasa Zanzibar leo ni mkubwa kuliko wakati wowote ule.

Uwekezaji kutoka nje leo Tanzania ni Mkubwa kuliko wakati wowote ule.

Biashara Tanzania leo ni kubwa kuliko wakati wowote ule.

Mawasiliano Tanzania leo ni mengi na rahisi kuliko wakati wowote ule.

Mabenki Tanzania leo ni Mengi na watumiaji ni wengi kuliko wakati wowote ule.

Magari Tanzania, yawe ya biashara au ya binafsi leo ni mengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Magonjwa ya moyo lao Tanzania yanatibiwa humu ndani kwa wingi kuliko wakati wowote ule.

Demokrasi Tanzania leo imeshamiri kuliko wakati wowote ule.

Wageni wa Kitaifa maarufu leo ni wengi Tanzania kuliko wakati wowote ule.

Na hayo yote within 5 Years. What did Nyerere do for 24 Years?

Niendelee?

Nina uhakika wewe jamaa unapakatwa
 
Back
Top Bottom