Haya ni baadhi ya maoni ya Watanzania kuhusu ugawaji wa majiko ya Gesi Kanda ya Ziwa

Mtumishiwetu

Senior Member
Jul 13, 2022
187
334
Haya ni baadhi ya maoni yaliyokusanywa na Mtandao wa Facebook wa Gazeti la Mwananchi leo Julai 19,2022 kuhusiana na mpango wa Waziri Januari Makamba kugawa majiko ya gesi mikoa ya Kanda ya Ziwa

Mirisho Kitomari
Umesema Kaya masikin je iyo gesi ikiisha atapata wp pesa yakujaza Tena gesi???

Mirisho Kitomari na kujaza sahv ni 25,000 mjini huko itakuwaje, angali hata mkaa wa 15,000 roba wanashindwa kununua???

Hiz tunasemaga ni propaganda tu

Vin Kim

Michael Shirima , ukitaka kumyanyua masikini hufanyi hivyo alipaswa afanye tafiti huo mtungi mdogo utapika siku ngapi? Kwanidadi ya watu wangapi? Pili ajiulize kaya masikini hizo wana shughuri zipi je ikiisha watajaza?? Jambo hilo Kaferi

Haroun Jc Mara Mia wangeshusha garama ya kujaza angalau ikiisha yule masikin anaweza kufanya ata kubarua kwa mtu akapata 10000 au 15000 akito Apo 10000 anajaza mtungi maisha yanaendelea wangeweka 10000 kujaza mtungi wa kilo 6 tatizo viongozi wengi wa …

Mirisho Kitomari

Vin Kim washushe tu garama za ujazaji angalau kilo 6 Ile ujaze kwa 10000 ingemsaidia ata mwanannchi wa Hali ya chini

Mirisho Kitomari waziri mzima anafanya hii Kuna maslai humo sio bure. Mbona hatuja sikia akifanya mpango huo ukawa wa wazi nanahirikishi. Hiii haoana nibahati mbaya Sana hatuna magazeti ya kiuchunguzi kama ilivyo kuwa mwanahalisi awamu ya nne yani humo…

Mirisho Kitomari

Vin Kim iyo mitungi ya kampuni ya rostam azizi ndio mwenye gesi ya taifa gesi kampen zao izo maana uyo waziri anautaka kwel urais

Haroun Jc

Mirisho Kitomari hapo brother kunamambo kadhaa ya kutafakari;

1. Aliyepewa mtungi ni mama wa familia, tunajua kwa wenyefamilia mtungi inakubidi utumie pale unapokuwa na dharura, nje ya hapo ni hasara, na ndiyo sababu ya kaya nyingi kuendelea kutumia majiko ya kuni au mkaa.

2. Upatikanaji wa fedha kwa sasa ni siasa nyingine that's why vijana inabidi kipimdi hiki tujinyime ili wazazi au walezi wetu waweze kujikimu.

Sasa kunaswali la msingi tunaweza kujiuliza, Makamba ni waziri wa nishati; hii nguvu ameitolea wapi ikiwa kwenye nishati kuna kero nyingi? Maana huku ndiko maisha ya watu wachini yanako wagharimuu.

Otherwise kuwe na options mtu akisha tumia mtungi akiamua auze au mwenye nguvu apambane, hii nadhan itakaa sawa.

Mirisho Kitomari

Haroun Jc yaan wapunguze tu Bei ya ujazaji anyway Kama wameshindwa kabisa kupunguza Bei Basi wawapunguzie wale wa vijijin wa Kaya masikin wajaze kwa Bei ndogo sisi wa mjin waendelee kutukomalia

Mirisho Kitomari

Haroun Jc uongozi wa weziiiiiiiiiiiii wakubwa hawa

Loth Lewis

Kwahiyo huo mtungi mdogo utakuwa unapikia makande na ugali wafamilia ya watu 15 kwasiku ngapi?

Mirisho Kitomari

Sasa Kama hatuongozwi na weziiiiiiiiiiiii hii ni kitu gan????

Top of Form

Bado tunahoji kwa nn mitungi iwe ya kampun moja Hilo tuu

Vin Kim

Mangala Kweka yani huyu anamasali binafsi mwandhishi ukiandika hiii habari tena tuambie hiii hesi ni yanani???

Mirisho Kitomari

Vin Kim iyo gesi ni Ile ya taifa gesi ambayo mmiliki ni rostam azizi

Vin Kim

Mirisho Kitomari @ kwanini yeye kama waziri asiiambie kampuni ndio igawe yani achukie mitungi atumie pesa za walipa kodi kuzunguka nchi hii mikoa 21 eti anagawa gesi kwenye kaya masikini? Em atuambie mkoa mmoja unakaya ngapi masikini??? Jamani hapana k…

Mirisho Kitomari

Vin Kim iyo yakutaka kuzuia kuni au mkaa usitumike ni sawa na kuzuia usingizi kwa mwanadam

Vin Kim

Mirisho Kitomari @ anaweza isipokiwa njia anayo tumia mindo napinga. Alipaswa afanye utafiti kwanza mtungi mdogo beigani buner bei gani na kwa Familia ya watu kiasi gani itakaa mwezi mzima, leo ,, pia angeanza kuzuia dar huo mkaa nakuni hata leo ndo angeona shida nini. Ajiulize kwanini watu hawatumii umeme pia Na ajiulize huko dar kwanini watu wanatumia mkaaa

Mirisho Kitomari

Vin Kim na wangekua na Akili wangepunguza Bei ya unit alafu aone Kama watu awajaingia wengi kwenye majiko ya umeme

Vin Kim

Mirisho Kitomari @ jpm aliwaza vyema kujenga bwawa lamumeme alijua umeme utashuka bei hivyo kunawatu wengi tu watapikia nakufanyia kazi nyingine kwenye office zao sasa huna umeme Na wa kutosha unakimbilia kuzuia mkaa Na kuni . Minasema waziri h…

Mirisho Kitomari

Apo Pana siasa

Vin Kim

Njia nyingine ccm waende wakuchue report yanuchaguzi wa 2015 wasome nini changamoto zilizo sababisha kupata kura chache za mgombea wao URAIS??

Johnson D Adamson

Hon. January Makamba. The root cause of deforestation is poverty. Rural communities are inclined to cut down trees for firewood and charcoal because conventional energy sources are far beyond their financial threshold. I can assure you, this old lady who you award a small LPG cooking cylinder cannot afford to re-fill it. She simply cannot afford. These ad hoc solutions to bigger problems will not get you anywhere. We need coherent strategies to provide cheaper and sustainable energy sources to the populace not PR stunts like this. Kwa kweli mna mwangusha sana Rais Hassan.

Jackson Jacob

Akipitia ushauri wako nina imani atakuja na mpango kabambe wa kupunguza hizi gharama, aachane na ngonjera hizi

Hii kazi ya kugawa mitungi inaweza kufanywa vzr na watu wa sales kwenye promotion zao, its to less for a minister

Top of Form​
Emmanuel Ngosha

GESI ikiisha huyo.mitungi tunaifanya stuli za kukalia

Umeshaitwa kaya masikini unapata wapi 25000 ya kuujaza tena GESI huo mtungi,

Hii ndio maana halisi ya akili matope, mtu ana njaa ya mwaka mzima unampa kilo Moja ya unga halafu unajitangaza umemsaidia, ovyoo

Dullah Rams

Emmanuel Ngosha ucjal kaka tutaenda kuijumua kwa elfu kumi kumi tena

Victor Lughali

Ok ni kaya maskini basi uwe unawarushia na hela ya kujaza hyo mitungi

Mwakabanga Kyonyela

Sasa Unapozigawia Gesi Kaya Masikini Nani atakuwa Anawajazia Yeye Mwenyewe Bwana January? Na Kwanini Agawe Mitungi ya Kampuni Moja Tuu? Au Bwana January ni Mbia wa Taifa Gesi? Nawagiza Ewura CCC kumuhoji January Kwa Sababu Anapigia Chapuo Taifa Gesi Kw…

Thomas Mgabo
Serikali badala ya kutafuta njia mbadala ya kuondoa umaskini kama alivyofanya hayati Mkapa na mpango wa mkukuta mnakuja na usanii wa kina January kutangaza biashara ya marafiki zao,hivi huyu mtu anayeitwa maskini ,na anayeshindwa hata kupata mlo wake k…

Yudas R Sakitwe
Badala ya kushusha bei ya gesi ili kila mwananch aweze knunua unawapa jiko ambalo likiisha wataliuza km chuma chakav kisa hawawez kmudu gharama za gesi
Mm mwnyw ninayo huu n mwez wa4 siitumii kisa nmefulia anazan hilo n suluhisho la ktunza mazngira
Boreshen maisha kwnza hayo mengne ttayatumia bila kuambiwa, maisha yakinyoka hamna anaeambiwa nunua ktu cha thaman km pikipik, gari, nk pesa ndo inapanga
Hakika Ngapawa
INGEPENDEZA KAYA MASIKINI WANGEPEWA HUDUMA YA BIMA YA MAISHA YA MATIBABU NA MIKOPO ISIYOKUWA NA LIBA /
Kasindeeh Joseph
hivi watumia hii kama kampeni mi naligesi humu ndani nimeshidwa kujaza pesa tabu bora mkaa kwa sasa na jiko la umeme hicho unapata elf 28 unafamilia wiki haishi ujaze tena kk wa mwezi unajikuta umetumia laki na ushee sibora niwekee umeme wa elf 10 nipikie jiko la umeme
Nseler James
Awawekee na maduka au vituo vya kwenda kuchukua hiyo gesi bure pindi hiyo aliyowapa ikiisha. Msifanye binadamu wenzenu kama mazuzu kwa maslahi yenu binafsi.
Francis Kilasa
Shugulikia bei ya gesi na umeme ndiyo kazi yako siyo kutangaza biashara za watu

Victor Lughali

Kipara ukigombea urais na mbwa,Mbwa anapita bila kupingwa Mhe.Spika naomba kuwasirisha
Msuha Msuha
Hiyo ni Rushwa na iko kwenye budget ipi maana hatuja wahi kusikia ikisomwa Bungeni.Halafu ume wagawia na fedha ya kujazia kwa kuwa hao ni kaya maskini?
Omary Modric
Tz mazuzu sana cjawahi kuona ujinga huu
Ema Shirima Tz
Saitakuaj naugali atakawa au
Geoffrey Johnson
Gesi ikiisha wanaiweka ndani hao kubadilisha ghali sana
Sam Wa Amordo
Kugawa mtungi ni swala moja lakiniwao kujaza baadacya mitungi kuisha iko kazi
Emmanuel Selikal
Biashara matangazo kwanini hajachanganya orexy au manjis
David Langa
ni Jambo jema ; lakini kuna walakini
Nicodem Swallo
pesa amepata wapi za kununua hiyo gesi
Maremecha Mnduomariki
Pesa zako au za serikali? Kama ni za serikali gawa kwa kaya zote sinazohitaji. Usigawe kwa kulenga 2025.
Poul Sitta
Sasa unampa mwananchi mtungi wa gesi bure halafu akiimaliza hiyo gesi atanunuaje gesi nyingine wakati bei iko juu? Mkakati mfu huu. Punguzeni bei ya gesi iwe chini kabisa mwananchi mwenyewe atashawishika kununua gesi na kuacha kutumia makuni na mkaa. Muwe wabunifu kama jpm aliyetaka bwawa la nyerer liishe ili umeme ushuke bei chini kabisa ili mwananchi atumie jiko la umeme aachane na makuni.
Isa Lugome
Kuna bwana mmoja alichinja mbuzi akawaita majirani kuchukua nyama walipo maliza kubeba wakaanza kusema tuta tafuna mbichi wengine bilakula tule nyamatu wengine alikua wa kafara huyu wengine alikua anaumwa wengine nyama ndogo wengine zile nyama kala yeye sisi katupa mifupa wengine katuona masikini nyama kagawa roborob yanini mimi hatoshi hiii nimebebatu huyo ndio binadam hasarifiki hata umpe nini hasemi tunashukuru kupata hiki japo kidogo ila nilikua sina
Jesus Luaga
Gesi iwe ya kupima kwa bei elfu 2000 au 5 kwa bei yake kwa sasa ni kubwa mno na kumpa mtungi bado hujamsaidia haswa vijinini.
Samwel Machumu
Sawa sasa kaya masikin je umewawekea bili ya kujaza kila ges inaoisha ama?
Ole Lazarus
Afu muonekano wa hao wamama sio maskini
Frola Frola
Mimi mwenyewe kujaza gesi nimeshashimdwa sembuse izo Kaya maskini
Peter Ba-Rozy Kijanga
Tunakuwa na viongozi mizigo kwelii,,sasa ukimpa huo mtungi gas ikiisha unakuja Tena kumjazia gesi?,,Yani happy alichofanya nikuwapa fulsa wauza gesi wapate mitungi empty kwa bei kitonga,,,hakuna akili imetumika hapaa
Amos Mangura
Hivi Jamaa Alitia Nia ya urais utakumbuka je
BAJETI YA hiyo Mitungi ni sh
Daniel Andendekisye
Atakuwa anawabadirishia ikiiisha au nao waonje Kisha watupe
Philbert Lonas
Unawagawia kifo maana hiyo gesi hivi karibuni imeuwa watu wengi sana
Danny Musa
Amesaidia ndiyo ila ni kwa mda mfupi labda km amewakea bili kujaza pindi ikiisha hiyo maana bei ya gesi hupandisha kila ck saiz ni 25000 je wataipatawapi kujaza?
Rushwa ya campaign imeanza tayari
Dullah Rams
Edgar Harry mapema saana
Dullah Rams kazi ipoo
Tamson Mwakipesile
Amepata sehem yakupigia hela kamakawaida yawo,kwenye manunuzi ataogeza ziro kibao wanacheza naumasikin wetu
Selestine Kayobora
Kwahiyo mnasema kaya maskini alafu mnawapatia mitungi ya gesi alafu ni nani atakuwa. Anawajazia gesi ikiishaaa sijui ni akili gani imetumika hapo mwezi ujao najua tutauziwa mitungi ya gesi buku mbili mtu apate kilo. Moja ya unga

Mikhaill Suoleiman
Jamaa anajaribu kujisafisha lkn wapi,hivi hilo ndio tatizo kweli la kaya maskini..."wafundisheni kuvua badala ya kuwapa samaki
Fard Said
Shusha Bei hzo ni siasa tu
Philipo Josephat
Yaani waziri anatufanya sisi wajinga,sasa hiyo gas ndio mtaitumia katika siasa?alafu mitungi gesi ikiisha ndio basi,hawa wasomi tuliowapa mamlaka hivi kwann wanakuwa na akili finyu kama hawakusoma
Byin Laden
Vp ikiisha mh febuary makatani utawajazia pia au ndio kila mtu na msalaba wake
Daudi Kisiroti
ye kaenda uko jana kajuaje kua hizo kaya ni maskin
Marando Athanas
Mh January usichezeee wasukuma huko kwetu kura huna ,Bado wasukuma wanakidonda ,Cha Hayati Dt John Pombe Magufuri
Dàvid Kapōnela
Nini kimekusokuma mpaka uanze kugawa mitungi bure mh! Waziri au ndo maandalizi kwann usingeanza kupunguza bei ya kujaza mtungi ili kila mwananchi apate unafuu
Conrad Olomi
Msomi hewa kabisa.....siku CCM wakikuruhusu kugombea urais wa Tanzania,nachukua uraia wa Uganda...,hao wapiga kura wako "makoroboi" wa Bumbuli waendelee kupambana na hali yao.....kwa kuwa na Mbunge wa "kugawa" mitungi ya gesi badala ya kuchanganua "sera" wizarani lazima maisha yawe magumu
Naomi Hezron
Gesi ikiisha wanafanyaje na ni kaya masikini? Hizi akili hizi ni shida tupu.
Gustan Mbuya
Nanunua mitungi empty ya gas
Stella Mtega
Ukiisha kujaza sasa,,,,

Jane Severine
Bei za gesi zishuke wakimaliza hiyo iliyopo wakajaze sawa mkuu
Enyas Mazaba
Tanzania tunansafari ndefu sana asee. Akii za viongozi wetu ni shida sana na ni moja ya vyanzo vya umasikini wa raia.
Mussa Msakussi
Kula
Papaa Mrosso
Mimi hapa yani ni kaya maskini wakutupa na kuokota makopo #January mgosi nzeze ning'eh huo mtungi wa Ges mgosi miyangu
Papaa Mrosso Sasa mgosi akikupa huo mtungi GESI ikiisha utajaza hayo makopo, huku kwenyewe anagawa ikiisha GESI tunaifanya stuli za kukalia

Evans Sanga
Anwaandaa kisaikolojia atakavyo anza kukata umeme tutanua gas kwake na petrol
Gasper Muniss
Wale wanyonge waliishia wap

Mary Gisbeth
Ukiisha utawajazia tena
Daaah
Oscar Saha
Sasa maana yake ni nini kuwapa hiyo mitungi au dharau
Jose Jisephat
Mbona Mbagala zake hanja kuja ni nini mazingira magumu kuliko woote Mbagala dar es aalaam

Francis Kilasa
Kiki Tu, atawalipia kununua gesi
John Boris Mugisha
Ki taakwimu dar wanatumia mkaa zaidi ya mukoa yote
Mwami Kayombo Jr.
Kipara ngoto
Ole Lazarus
Atakuja asababishe ajali ya moto bora angewanunulia chakula
Nyello Mandia
Ss GE's ikiish maan kujaz bei
Ester Mrema Ester
Gesi zikiisha atawajazia au
Halifa Kea
Sawa kaka jambo zuri je umewapa elimu jinsi ya kutumia gesi isije ikawa kilio Kwa kuwapa bomu,gesi ni hatari kama hujui jinsi ya kutumia

Isaya Simoni Mlimbila
Kwa hiyo hao ndio masikini?
Davids Diason
Kweli nimeamini akili ni nywele kila mtu ana zake

Samwel Machumu

mh
Jeni Maleko
Kaya masikini ni hizo? Au masikin wamebaki wamepewa wajanjaa pengine masikin taarifa hana
Aloyce Nsumba
Mbona ni taiga gesi tu ? Jagi mu ntwe

Babu Sadala
Washapigwa
Kasindeeh Joseph
Babu Sadala sanaa tena wako hoi pale hayo maigizo yao wale ukiwaona nimasikini wale ebu aje tumpeleke kwa masikini atakimbia huyu hicho nikampeni
Kasindeeh Joseph true Top of Form
Naitwa GQ ThugPoet
Mkaona mfute chata ktk mitungi
Sheillah Mimah
Hiyo gesi yenyewe mtaani haishikiki wakimaliza hyo mitungi watarudi Kwenye kuni. Kwan anadhan hawawez kununua mutungi.? Ni bei kubwa ya kujaza ndo imewafikisha hapo

CHANZO: UKURASA WA FACEBOOK WA GAZETI LA MWANCHI
 

Attachments

  • january-pic.jpg
    january-pic.jpg
    98.3 KB · Views: 16
Hivi hii tenda ya haya majiko ya gesi na gesi yake kwa kaya masikini ilishindanishwa lini? hizi tender za kupeana kwa kujuana matokeo yake ni kutaka tu sifa na kupiga pesa ya umma, hawa watu wa mjini tu wameshindwa kutumia gesi kutokana na bei kubwa je hawa wa kaya masikini wataweza kununua baada ya gesi kuisha? mwisho mlioleta hivyo vigesi mtawaua tu hawa watu,wengi hawajui njia sahihi za kutumika gesi kuna hatari mbeleni ya madhara ya kulipuka kwa gesi. Mwisho haya ni matumizi mabaya ya fedha zetu za kodi na kwenda kumtajirisha tajiri mheshimiwa sana mmiliki wa hiyo kampuni ya gesi, kwanza hata hiyo kandarasi ya hayo majiko inatia shaka,tutazidi kupigwa na walewale wahuni ambao wamerudi kwa kasi. TUTAZIDI KUKUMBUKA JEMBE LETU Wahuni washarudi na upigaji ndio habari ya sasa. Walamba asali sasa hawalambi tu bali sasa wanalewa asali. Mungu tusaidie.
 
Back
Top Bottom