Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Kiranga weee ni Mbishi sana na unapenda tu kuleta Usumbufu wa lugha kwenye hesabu.
Hesabu bwana zina uzuri wake na kwamba huhitaji saana kufahamu lugha.
Ukimfikia mtu wa Hesabu na umwambie "Naomba kilogram ya maji" basi ujuwe atakupa lita moja ya maji.
Unaweza ukabisha kuwa hakuna Kilogram ya maji, Yes katika lugha.
Ila ukiangalia utagundua kuwa Maji yana Volume na Density na hivyo tutapata MASS.
Hii Mass inaweza kuwa katika lita ila tu haitatupa ukweli wa density ya maji na hivyo inabidi tupate uzito wake tuseme katika GRAM na hapo ndiyo tutaweza kupata Density. Huwa imerahisishwa tu kuwa Lita moja ya maji ni kilogram 1. Kwa watengeneza saa, hii aproximation ni kuuubwa sana. Ila kwa mfano katika ujenzi, ni poa kabisa. Ndiyo maana kwenye mahesabu, ukipewa Volume ya maji/liquid basi lazima wakupe na Density yake.
Hivyo usichanganye watu na hivyo vipimo ambavyo binadamu wa kawaida kwa kila siku hawavitumii....
Asante kwa Changamoto hata hivyo..... Ila siku hizi kuna Milli na hadi akina Nano...... kama Transistors za Processor ndani ya hiyo Computer yako.