Is 100kg of stones heavier than 100kg of cotton? Why? How?

Unajionyesha kwamba unakurupuka na husomi, watu walishauliza kutaka ufafanuzi wa sehemu hiyo, ufafanuzi ukatolewa kama hapo chini, ukaunukuu ufafanuzi bila kuusoma au kuuelewa.

Sasa unajiadhiri kwa kuuliza swali ambalo jibu lake ulisha linukuu. Wewe ni mvivu wa kusoma au mgumu wa kuelewa, yote magonjwa mabaya.

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...an-100-kg-of-cottons-why-how.html#post1083298

Source "The Big Book of Answers" Edited by Kevin S. Hile.

Sawa natafuta hicho kitabu endelea kunielimisha mtaala mathematically

  • what is pound?
  • What is kilogram
  • Can pound be calculated from Kilogram. or vice versa?
Mimi sina uzoefu na sikufundishwa vipimo vya uzito katika pound lakini utanielimisha na nita google vile vile.
 
What is a pound? Which pound? I elaborated on two different "pounds"

What is a kilogram?
Kilo = thousand, gram = unit of mass. Kilogram = 1000 grams

Can a pound be converted from kilogram and vice versa?
Yes, I gave the conversion rate above.
 
Hii ina maana gani kwa sisi tusiolewa. yaani hahaha inabidi nicheke kwa kweli ukiandika kimahesabu haya maelezo yako watu watagundua wewe msanii. hayo maelezo yako hapo ni hesabu na ukikokotoa kimahesabu hayaendani .

Unakubali huelewi lakini unacheka, unacheka vitu usivyoelewa, of course huwezi kuelewa.

Unataka niandike kimahesabu gani zaidi ya kuweka conversion rates ? Hesabu za base gani unazotaka wewe hizo ?
 
KIranga
ndio maana nilikuambia tumia SI unit za kueleweka unaleta viji vocabulary ili kuficha kutoelewa kwako. Kama unaelewa kitu always be simple.
Sasa eleza hizo troy pound zako zilizopitwa na wakati how a troy pound of feather is heavier than a pound of gold .
Note iwe troy pound au sijui Avoidopous pound can be converetd to Standard measurement of amabyo ni Kg au G

Avoirdupois pound
The avoirdQupois pound was invented by London merchants in 1303. This invention was nearly four hundred years before Sir Isaac Newton defined the word mass to be a property of matter. Originally it was based on independent standards. During the reign of Henry VIII of England, the avoirdupois pound was redefined as 7,000 troy grains.[citation needed] Since then, the grain has often been considered as a part of the avoirdupois system. By 1758, two standard weights for the avoirdupois pound existed, and when measured in troy grains they were found to be of 7,002 grains and 6,999 grains.[4]

In the United Kingdom, the avoirdupois pound was defined as a unit of mass by the Weights and Measures Act of 1878, but having a different value (in relation to the kilogram) than it does now, of approximately 0.453592338 kg, which would make the kilogram approximately equal to 2.20462278 pounds. (This was a measured quantity, with the independently maintained artifact still serving as the official standard[citation needed] for this pound.) This old value is sometimes called the imperial pound, and this definition and terminology are obsolete unless referring to the slightly different 1878 definition. In 1883 it was determined that 0.4535924277 kg was a better approximation. With the Weights and measures Act 1889 the United Kingdom legally defined the avoirdupois pound as the rounded value of 0.45359243 kg.[5]

In the United States, the (avoirdupois) pound as a unit of mass has been officially defined in terms of the kilogram since the Mendenhall Order of 1893. In 1893, the relationship was specified to be 2.20462 pounds per kilogram. In 1894, the relationship was specified to be 2.20462234 pounds per kilogram. This change followed a determination of the British pound.[5]

According to a 1959 NIST publication, the international pound differed from the United States 1894 pound by approximately one part in 10 million.[6] The difference is so insignificant that it can be ignored for almost all practical purposes.[7]
Troy pound

The troy pound takes its name from the French market town of Troyes in France where English merchants traded at least as early as the time of Charlemagne (early ninth century). The system of Troy weights was used in England by apothecaries and jewellers.
A troy pound is equal to 12 troy ounces and to 5,760 grains. Today, the grain is common to the avoirdupois and troy systems of units of mass making an international troy pound equal to 373.2417216 grams.
The troy pound is no longer in general use. In Canada, Australia, the United Kingdom, and other places the troy pound is no longer a legal unit for trade.[citation needed] In the United Kingdom, the use of the troy pound was abolished on 6 January 1879. The troy ounce is still used for measurements of precious metals such as gold, silver, and platinum, and sometimes gems such as opals.

.....
souce Pound (mass) - Wikipedia, the free encyclopedia
 
Nitumie SI Units mara ngapi wakati nimeanza kujibu kwa kutumia SI Units ? Kabla ya kutumia kipimo chochote nimetumia Kilogram, sasa wewe unayesema nitumie SI Unit ulitaka SI unit gani ?

Comprehension ndogo au vipi ?

Uliona nilipoandika katika post ya nne tu ya hii thread

A kilogram is a kilogram, and it doesn't matter whether you are talking about a kilogram of stones or cotton.

On the other hand, a pound of gold is not the same as a pound of feathers. A pound of feathers is heavier than a pound of gold.

Sasa mbona unaniambia "tumia SI Units" kama sikutumia? Una uwezo wa kuchambua maswala kweli wewe?

Katika quote yako uliyotuletea wameandika

The troy ounce is still used for measurements of precious metals such as gold, silver, and platinum, and sometimes gems such as opals.

Unaweza kuona connection hapo? Mimi sikusema a pound of stones is heavier than a pound of feathers, nimekuwa specific kusema a pound of gold kwa sababu gold inapimwa kwa troy ounces.

Jaribu kuelewa kabla kukurupuka.
 
Nitumie SI Units mara ngapi wakati nimeanza kujibu kwa kutumia SI Units ? Kabla ya kutumia kipimo chochote nimetumia Kilogram, sasa wewe unayesema nitumie SI Unit ulitaka SI unit gani ?

Comprehension ndogo au vipi ?

Uliona nilipoandika katika post ya nne tu ya hii thread

Sasa mbona unaniambia "tumia SI Units" kama sikutumia? Una uwezo wa kuchambua maswala kweli wewe?

Kiranga kweli wewe kichwa chako hakiko kihesabu hesabu

Lets Assume M= Mawe and P = Pamba
Umesema 100kg of M = 100Kg of P
na umesema 100 Pound of Feather not = 100Pound Gold ?????

But 2.20462234 Pound = 1 kg
and 1 avoirdupois pound = 0.453592338 kg
Therefore 1 kg = 2.20462278 Pounds apprx

Sasa iweje uzito wa manyoya uwe tofauti na uzito wa dhahabu kwa maelezo yako uliyotoa ya . Acha kuchanganya watu na vipimo vilivoypitwa na wakati?

labda kama unaongea siasa . This is simple mathematics. can u prove how feather is heavier than gold
Pili usitumie mambo yaliyopitwa na wakati ili uonekane unajua. just use standard. Kama kweli ungelikuwa ulisoma physics ulitakiwa kujuwa hayo mattroy pound yamepitwa na wakati. na hayatumiki.unless unataka kuchanganya watu
 
Kiranga kweli wewe kichwa chako hakiko kihesabu hesabu

Lets Assume M= Mawe and P = Pamba
Umesema 100kg of M = 100Kg of P
na umesema 100 Pound of Feather not = 100Pound Gold ?????

But 2.20462234 Pound = 1 kg
and 1 avoirdupois pound = 0.453592338 kg
Therefore 1 kg = 2.20462278 Pounds apprx

Sasa iweje uzito wa manyoya uwe tofauti na uzito wa dhahabu kwa maelezo yako uliyotoa ya . Acha kuchanganya watu na vipimo vilivoypitwa na wakati?

labda kama unaongea siasa . This is mathematics.

Bichwa gumu kuelewa, kuna "pounds' za aina mbili tofauti, pound ya troy na pound ya avoirdupois.

Si umegoogle mwenyewe na kutuletea verifications hapa? Sasa mbona unakuwa mgumu kuelewa kwamba hii pound inayotumiwa kupimia dhahabu siyo pound inayotumiwa kupima vitu vingine ?
 
Bichwa gumu kuelewa, kuna "pounds' za aina mbili tofauti, pound ya troy na pound ya avoirdupois.

Si imegoogle mwenyewe na kutuletea verifications hapa? Sasa mbona unakuwa mgumu kuelewa kwamba hii pound inayotumiwa kupimia dhahabu siyo pound inayotumiwa kupima vitu vingine ?

Wewe ndo bichwa gumu kweli kweli
hata kungekuwa na vipimo ivya pound tano tofauti bado zote zinaweza kugeuzwa kupelekwa kwenye Kilogram . zinaweza kupimwa uzito bidhaa toafuti kwa mizani tofauti lakini uzito ni ule uleule. Uzito wa Kg 1 ya sukari na gram 1000 za mchele hazina tofauti.

Nakuambia hii sio siasa. ni matatiz umekimbilia kutumia viterminology bila kujua kuna hesabu ndani yake. Kaa mbali na mambo ya hesabu

1 avoirdupois pound = 0.453592338 kg
1 troy pound =373.2417216 grams.
1000 grams = 1kg
 
Yan kibadach yan shodan kataa........... ngumi na muziki..............
 
Wewe ndo bichwa gumu hata zingekuwa ishirini bado zote zinaweza kugeuzwa kupelekwa kwenye Kilogram

Kilogram ndicho kitu cha kwanza nilichokueleza kwamba a kilogram is a kilogram regardless of what is measured. Nikasema unapomeasure gold pound zake ni tofauti na pound za ku measure vitu vingine. Nikaenda mpaka kutoa conversion rates za both pounds, don't make me take you to summer school and humiliate you through an actual conversion. You have been warned.

Rejea hapo juu.
 
Kurejea nini nimekuweka hesabu zinaonyesha constants na conversion zote. yet nimekunyesha search niliyofanya google hivyo viterminology vyako vimepitwa na wakati .

Hakuna cha summer school wala winter. Hizo pound tofauti za Gold zinaweza kuwa converted wenye standard weight measuremnt ambayo ni Kg. Sasa unataka kusema Gram 1000 haiwezi kugeuzwa kuwa Kg 1. Je sio kweli kuwa kg 1 ni sawa na 2.20462278 pounds.

Sasa kwa kutumia hesabu tuonyeshe how 1 pound of feather can be heavier than 1 pound of gold
 
A pound of feathers is heavier than a pound of gold.

Sijawahi kusema a kilogram of one thing is heavier than a kilogram of another, sasa kama unachanganya unachanganya mwenyewe. Mimi nilisema a kilogram is a kilogram, regardless of whatever.

Feathers (and everything else save for the precious metals and stones you quoted above) is measured in avoirdupois pounds, an avoirdupois pound contains 454 grams

Gold (and the precious metals and stones you quoted above) is measured in troy pounds, a troy pound contains 372 grams.

A pound of feathers is 454 grams

A pound of gold is 372 grams

Essentially, disputing that a pound of feathers is not heavier than a pound of gold is saying 454 grams is not heavier than 372.

A pound of feathers is totally different from a pound of gold.

That's your summer school, usiniambie utafeli mpaka summer school sasa.
 
tuendelee na sarakasi bandugu mpaka kieleweke kwa hisani ya watu wa marekani
 
A pound of feathers is heavier than a pound of gold.

Sijawahi kusema a kilogram of one thing is heavier than a kilogram of another, sasa kama unachanganya unachanganya mwenyewe. Mimi nilisema a kilogram is a kilogram, regardless of what.

Feathers (and everything else save for the precious metals and stones you quoted above) is measured in avoirdupois pounds, an avoirdupois pound contains 454 grams

Gold (and the precious metals and stones you quoted above) is measured in troy pounds, a troy pound contains 372 grams.

A pound of feathers is 454 grams

A pound of gold is 372 grams

Essentially, disputing that a pound of feathers is not heavier than a pound of gold is saying 454 grams is not heavier than 372.

A pound of feathers is totally different from a pound of gold.

That's your summer school, usiniambie utafeli mpaka summer school sasa.

Kiranga hii sio lingustic au syntax ya lugha. hizi ni hesabu. Haziendi kwa kusema na kukocpy tu. Ukiwa unacpy mambo ya mahesabu jaribu kufanya calculation. na kurahisisa hesabu watalaamu wameweka Si unit. Uzito standard unapimwa kwa Kilograms. hayo madoido yako uliyoweka ya avoirdupois pound troy inabidi utumie hesabu rahisi za cross multiplication kupata jibu.

Yaani Umepima mchele kwa mzani wenye standard za mwaka 1875 ukasema pound 5. alafu unapima chumviya kg 5 kwa mzani wenye standards za mwaka 1900 . kubeba useme kg 5 za chumvi ni nzito kuliko kg tano mchele. Unachekesha.

Tumia hizo number unazopewa kufanya hesabu .

Sasa usidanganye watu kuwa pound of feather is heavier than pound of Gold.

1
avoirdupois pound = 0.453592338 kg
1 troy pound =373.2417216 grams.
1000 grams = 1kg

Malezo yako yalikuwa sahihi pale ulivyotaja kilogram lakini mbwembwe zako za kutaka kuonyesha watu unajua vipimo vya kale ili watu wakuone unajua visivyojulikana ndo ukaharaibu. Be simple Mathematics haina complication wala mbwembwe
 
Kiranga hii sio lingustic au syntax ya lugha. hizi ni hesabu. Haziendi kwa kusema na kukocpy ty. Ukiwa unacpy mambo ya mahesabu jaribu kufanya calculation. na kurahisisa hesabu watalaamu wameweka Si unit. Uzito standard unapimwa kwa Kilograms. hayo madoido yako uliyoweka ya avoirdupois pound troy inabidi utumie hesabu rahisi za cross multiplication kupata jibu.

Sasa usidanganye watu kuwa pound of feather is heavier than pound of Gold.

1
avoirdupois pound = 0.453592338 kg
1 troy pound =373.2417216 grams.
1000 grams = 1kg

Malezo yako yalikuwa sahihi pale ulivyotaja kilogram lakini mbwembwe zako za kutaka kuonyesha watu unajua vipimo vya kale ili watu wakuone unajua visivyojulikana ndo ukaharaibu. Be simple Mathematics haina complication wala mbwembwe

Pound of gold ina ounces ngapi ?
 
Pound of gold ina ounces ngapi ?

H huwezi kupima a pound of feather kwa kipimo tofati na pound of gold kwa kipimo tofauti ukasema hiki ni kizito kuliko kile. fanya conversion.

Wewe mtaalamu wa hizo Ounce ndo useme Pound ni Ounce ngapi mimi nitakubadilishia kwenye Standard weight Measurument

Nikuelezee hesabu kwa maneno. Tuanze
troy pound 1 = 373.2417216 grams. This is given

Sasa tubadilishe hizo gram kwenda kwenye kg. Tunagawa kwa 1000. tunapata
troy pound 1 = 0.3732417216 kg .

Kwa hiyo One troy pund yako ya kale ni sawa na Kg 0.3732417216

Sasa ukiamua ukupima troy pound 1 iwe ya shaba , mawe, dhabau, pamba kwenda kwenye kilogram itakupa jibu sawao
 
H huwezi kupima a pound of feather kwa kipimo tofati na pound of gold kwa kipimo tofauti ukasema hiki ni kizito kuliko kile. fanya conversion.

Wewe mtaalamu wa hizo Ounce ndo useme Pound ni Ounce ngapi mimi nitakubadilishia kwenye Standard weight Measurument

Kumbe unabisha kitu hukijui ?
 
A kilogram is a kilogram, and it doesn't matter whether you are talking about a kilogram of stones or cotton.

On the other hand, a pound of gold is not the same as a pound of feathers. A pound of feathers is heavier than a pound of gold.

...then why did you ask this dumb question if you already had an answer?
 
H huwezi kupima a pound of feather kwa kipimo tofati na pound of gold kwa kipimo tofauti ukasema hiki ni kizito kuliko kile. fanya conversion.

This is exactly what is happening, pound zinazotumiwa kupimia dhahabu ni tofauti na pound zinazotumika kupimia mchele, unga na manyoya.

A pound of feathers (troy pound) is 454 grams

A pound of gold (avoirdupois pound) is 372 grams .

Unapinga kwamba vipimo viwili tofauti si sawa, unabishana na convention za waingereza wenyewe.

Next thing you know utabishana na multiplication table.
 
Back
Top Bottom