dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,956
- 9,482
Kuna watu huku mitaani wanakaririshana ujinga...Kitu watu wanatakiwa wajue Mfungwa akifika Jela kuna kitu wanaita Admission Mwaka wa Jela ni miezi 8 badala ya 12 sasa huku wanaambiana eti....usiku na mchana15 ni 15 tu. Kwamba atatumikia nusu ni habari za vijiweni. Jela,siku moja ni siku moja