Aliyekuwa Waziri Mkuu Thailand ahukumiwa jela miaka 4

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
1692716762809.png
MAHAKAMA Kuu nchini Thailand, imemhukumu aliyekuwa Waziri Mkuu wa Nchi hiyo Thaksin Shinawatra adhabu ya kifungo cha miaka nane jela.

Taarifa hiyo imetolewa na chombo kimoja cha Habari ambapo imeandika kuwa Shinawatra alikamtwa saa chache baada ya kurejea nchini humo baada ya kuwa nje kwa muda wa miaka 15 ambapo adhabu aliyopewa inahusiana na hukumu zilizotolewa dhidi yake wakati alipokuwa nje ya Nchi.

Makosa yanayomkabili ni pamoja na matumizi mabaya ya mamlaka, kuiagiza benki inayoendeshwa na Serikali kutoa mkopo kwa mteja wa nje kinyume cha sheria na pia kumiliki hisa kinyume cha sheria kwa kuwatumia Mawakala binafsi.
 
Makosa yanayomkabili ni pamoja na matumizi mabaya ya mamlaka, kuiagiza benki inayoendeshwa na Serikali kutoa mkopo kwa mteja wa nje kinyume cha sheria na pia kumiliki hisa kinyume cha sheria kwa kuwatumia Mawakala binafsi
 
Back
Top Bottom