IPP Media website wamechoka kazi?

Rubabi

Senior Member
Nov 30, 2006
170
11
Kila nikiingia kwenye website zao links hazifanyi kazi,hawana hata contact namba ya kuwajulisha matatizo.

Webmaster una taarifa ?
 
Kwa sisi tuliokuwa ngambo ni tabu tupu. Na hii ni mara nyingi sana mpaka na shindwa kuelewa
SANASANA HABARI ZIKIWA MOTOMOTO
 
Hilo ni tatizo la kitaifa. Umeshawahi kutembelea KikweteShein.com Ni shida tupu. Jaribu kuvisit pale, kama una bahati ikafunguka, gonga sehemu ya 'prime minister'.....
 
Yaani mimi hakuna website INAYONIKERA kila nikiifungua kama IPPMEDIA yaani jamaa wamechoka vibaya sana. They reflect the true vices consuming our country. Lack of thinking!

YAANI JAMAA HAWAKO CREATIVE. Website features zake ni zile zile miaka nenda rudi. Vimaandishi ndo hivyo. Ukifungua ..page not available..it sucks! Big time! Kifupi website imechoka sana... Yaani mimi siku hizi hata naweza kumaliza mwezi bila kuifungua. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni..fungua website za magazeti ya nation/Standard Kenya...jamaa website zao zinavutia na ziko very uptodate....features ndo safi..the website is user friendly sana... Siku hizi hata monitor ya Uganda iko much much better kuliko IPPMEDIA. Hata za Somalia they are doing much better..compare na hawa wachovu wa IPP!

Kwa kweli kama hawa jamaa wanapita humu..tafadhali angalieni hiyo website..kama vipi muifunge tuu ijulikane..ni aibu aibu kabisa! I hope you can take note of this and work on this issue. Ila mjue website yenu inakera sana hata kuiangalia...Please do something!

Hivi mkulu wa IT ni nani pale IPP? Its so disgusting kabisa.
 
Granted IPPMedia ni wachovu, lakini mimi nafikiri hapa inawezekana kabisa kwamba kuna zaidi ya uchovu.Inawezekana wanaona effects za watu kusoma magazeti mtandaoni katika kupungua mauzo ya magazeti yao na wanafanya makusudi kutoweka habari hizi.

Ingekuwa vizuri kama wangewajulisha watu kwamba "tutaweka baadhi ya makala na ripoti tu, nyingine zitapatikana katika print version" kuliko kuacha watu wategemee kupata habari zote halafu wakakuta "Page Not Found" au upuuzi mwingine kama huo.

Very unprofessional.
 
Ni kweli kabisa na siku hizi ndio kabisa huna utakapokong'oli ukapata habari ,na nafikiri kama wanazuia watu kusoma habari kwa internate watakuwa wajinga maana bei ya kuingia kwenye mgahawa wa mtandao ni kubwa kuliko bei ya gazeti ila ikiwa wanazuia tulioko ugaibuni tusione watakuwa hawana kosa ,wapo sahihi kabisa ,waelewe tu faida itakuwa haipo maana wanaotumia mtandao kusoma habari ni wachache na wakumbuke magazeti yao sidhani kama yanauzwa nchi za mbali na hata likikufika linakuwa nyang'anyang'a.
 
Mimi binafsi nimechoka hata sipotezi muda wangu kuitafuta. Ninafikiri wahusika wamechoka kazi kama hawajafukuzwa kazi.
 
yaani wanakera sana, hadi niliacha kutazama huko. Nilifikiri tatizo ninalo peke yangu.
Kweli bado kuna matatizo katika developing country kama Tanzania. Sasa nini maana ya web, basi wafute tu wasiwe na web.
 
Jamaa wamechoka mbaya.Kutwa kushinda kuandika habari mabaya za Masha na ushabiki wa kisasa usio na manufaa kwa wananchi.
Kama ni tatizo la kitaifa mbona magazeti mengine website za zinafunguka?
 
Wana office pale hidery plaza au karibu na new africa hotel nje kidogo ya mji ni mikocheni mkuu wao nafikiri anaitwa erick nafikiri hawajui hata tovuti zinaweza kutengeneza pesa nyingi sana kwa njia ya matangazo mbali mbali ila yote tisa mwenye tovuti ndio mwenye amri ya kuendeleza au kudumaza na sio wachangiaji au watumiaji
 
Granted IPPMedia ni wachovu, lakini mimi nafikiri hapa inawezekana kabisa kwamba kuna zaidi ya uchovu.Inawezekana wanaona effects za watu kusoma magazeti mtandaoni katika kupungua mauzo ya magazeti yao na wanafanya makusudi kutoweka habari hizi.

Ingekuwa vizuri kama wangewajulisha watu kwamba "tutaweka baadhi ya makala na ripoti tu, nyingine zitapatikana katika print version" kuliko kuacha watu wategemee kupata habari zote halafu wakakuta "Page Not Found" au upuuzi mwingine kama huo.

Very unprofessional.

Adding my point this is crazy! The truth is I have no trouble finding my way to different tanzanian websites- but sometimes I can't remember why I'm browsed through ippmedia.
 
Not Found
The requested URL /ipp/alasiri/2009/04/14/135030.html was not found on this server.

--------------------------------------------------------------------------------

Apache/2.0.51 (Fedora) Server at IPPMEDIA Main Page Port 80

....just shut down your useless website!
 
Need i say more?
 
Naanza kuamini hii ni policy ya IPP kuondoa magazeti yao online...haiwezekani makosa yachukue muda mrefu hivyo kurekebishwa kwa kampuni kama ipp. I hope I am right...
 
Back
Top Bottom