The Farmer
JF-Expert Member
- Jan 7, 2009
- 1,658
- 557
makelele ya JF yanasaidia inaoneka walisoma comments humu ndani ikabidi wabadilishe
angalau unaweza kubadilisha lugha ukitaka which is nice
je mnaiyonaje website yao mpya?
Inaonekana imetulia kiaina, sasa sijui huu ni mwanzao tu, au wata-maintain status??