Je, una tatizo lolote kwenye Computer au Website yako? Niko hapa kwa ajili yako

bayankata

Member
May 6, 2021
10
3
Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima.

Mimi ni Computer Technician pia Web developer, nina skills na experience ya kutosha kwenye computer maintanance na web development and designing

Skills nilizonazo :-
1. Html, CSS
2. Javascript
3. PHP & laravel framework
4. Python & Django framework

Kazi nilizowahi kufanya :-
1. moreshinegems.co.tz
2. mtangosafaris.co.tz

Lengo la uzi wangu nikukaribisha kazi zote zinazohusiana na web development kutoka kwenu mfano kama zifuatazo :-
1. Kutengneza website, blog, e-shop, system software etc
2. Troubleshooting website or system
3. Maintain and Update website or system
4. Monitoring traffics
5. Na nyingine mlizonazo

Contact: 0772835536
Bei ni nafuu sana

NB: kama una kazi yoyote inayohusiana hapo lakini naweza kuifanya usisite kunijuza kikubwa iwe ya halali ili niweze kujikimu kimaisha ndugu yenu.

Ahsante!.
 
Hapo kwenye django skills upo level gani?

Unaweza ku deal na django middleware?
 
Mkuu computer(Pc) dell yangu imeingia maji now inaonesha ujumbe no boost device found , nimecheck trobooshout naona hard disk haisomi unanisaidiaje hapo
 
Mkuu computer(Pc) dell yangu imeingia maji now inaonesha ujumbe no boost device found , nimecheck trobooshout naona hard disk haisomi unanisaidiaje hapo
Ina maana hard disk yako huenda imekuwa affected kwahiyo haisomi kwenye computer.
So inahitajika kufanyiwa troubleshoot ili kujua kama bado nzima au imekufa
 
Mkuu computer(Pc) dell yangu imeingia maji now inaonesha ujumbe no boost device found , nimecheck trobooshout naona hard disk haisomi unanisaidiaje hapo
Labda hard disk imekufa kutokana na maji, fanya usafi wa PC ili kuondoa mabaki ya maji then rudisha tena hiyo Hard Disk, au kaitest kwenye PC nyingine uone.
 
Nahitaji kujua njia rahisi ya kuinstall drives zote muhimu baada ya kupiga window,

Nb
Mashine yangu inamiss bluetooth drive nifanyeje?
 
Labda hard disk imekufa kutokana na maji, fanya usafi wa PC ili kuondoa mabaki ya maji then rudisha tena hiyo Hard Disk, au kaitest kwenye PC nyingine uone.
Haa shukrani naona imekufa bei yake dukani sh ngapi Hard Disk
 
UNAWEZAJE KUHAMISHA WIFI PASSWORD KUTOKA SIMU KWENDA KWENYE LAPTOP NA KUITUMIA NAONA MFUMO WA QR CODE UMEKATAA QUICKSHARE
 
UNAWEZAJE KUHAMISHA WIFI PASSWORD KUTOKA SIMU KWENDA KWENYE LAPTOP NA KUITUMIA NAONA MFUMO WA QR CODE UMEKATAA QUICKSHARE
Nahitaji kujua njia rahisi ya kuinstall drives zote muhimu baada ya kupiga window,

Nb
Mashine yangu inamiss bluetooth drive nifanyeje?
Kama unatumia Os ya windows 10 basi update kwanza pc yako inaweza ika pick drivers automatic
Lakini pia unaweza kwenda google uka search drivera za bluetooth kulingana na model ya pc yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom