Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,153
Jamani tunawezapata msaadawenu tumekuwa tukibshana mambo mazuri yanafanywa gizani ndio....sasa wengine wanasema TLN zuri ukiwa mwangani...sijuwewe kwako
lipi zuri unafaid ukiwa fizani ama mwangani ...tusaidiane ili nikanunu taa ya rangi rangi leo pale mwenge ...kupunguza mwanga
lipi zuri unafaid ukiwa fizani ama mwangani ...tusaidiane ili nikanunu taa ya rangi rangi leo pale mwenge ...kupunguza mwanga