Ipi tamu gizani vs mwangani

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Jamani tunawezapata msaadawenu tumekuwa tukibshana mambo mazuri yanafanywa gizani ndio....sasa wengine wanasema TLN zuri ukiwa mwangani...sijuwewe kwako
lipi zuri unafaid ukiwa fizani ama mwangani ...tusaidiane ili nikanunu taa ya rangi rangi leo pale mwenge ...kupunguza mwanga
 
That is pdd bwana.....!the controversial....! ASALI TAMU IKILIWA KWENYE MWANGA.......UKIILA GIZANI WEWE MWIZI.........!
HAVE YUO READ THE BIBLE TODAY DIDI?
 
TLN mmelitaka kufanya nyie wenyewe sasa kwa nini mnafanyia gizani?? utaonaje mwenzio akifurahia ilihali mko giza totoroooo....mambo bomba mwangani unaona mtua anavyosikilizia mkandamizoooo........
 
Kote kote tuuu! Mazingira yanaweza kuwalazimisheni kufanya gizani; kwa mlio Dar nyumba zimesongamana na ukiweka pazia ni joto huwezi kuachia taa! Bana tuwe wa kweli! Mimi popote na muda wowote kwangu nitaamu tu:target:; kwani najua wangu ananiitika vipi niwapo mwangani hivyo hata gizani nisipomwona naisikia sauti yake!
 
Mmmmhhhh jf kuna maaskari wa mapenzi
ila zaidi naona ikiwa ndani ya neti bwana kila kona unsilkia net inaliaukatika we.....
Ee mola ulieleta ndoa iendeleze kuwa ndoa isifike kuwa doa
 
Kuna jamaa alimtongoza mtu kwenye grosary usiku alipokutana nae asbh jaamaa ikabidi ampite live akasema mmh ni huyu kila akipiga anapokea yule yule...kweli mwanga una manufaa
 
Kuna jamaa alimtongoza mtu kwenye grosary usiku alipokutana nae asbh jaamaa ikabidi ampite live akasema mmh ni huyu kila akipiga anapokea yule yule...kweli mwanga una manufaa

Akome ndo shida ya kutamani kila kichaka ona sasa kapamia kichuguu! teh teh teh :becky::becky::becky:
 
Jamani tunawezapata msaadawenu tumekuwa tukibshana mambo mazuri yanafanywa gizani ndio....sasa wengine wanasema TLN zuri ukiwa mwangani...sijuwewe kwako
lipi zuri unafaid ukiwa fizani ama mwangani ...tusaidiane ili nikanunu taa ya rangi rangi leo pale mwenge ...kupunguza mwanga
Weee mwangani kutamu ile mbaya!
 
Habari ya sijui gizani au mwangani tunaikuza wenyewe tu, jamaa hana macho huyu-giza/mwanga hai-make any difference kwake!.
 
mwangani bwana asikudanganye mtu gizani kama mbaya unaogopa kumwangalia usoni
 
Plz fafanua kama MWANGA ni mke halali na GIZA ni viruka njia? Kama una maana hizo basi kiza ni bora sana kwani hakuna usumbufu.
 
si gizani wala wapi ni msituni tu ndo asali yake tamu mno

we ushazoe vichaka yakhe!!!???/mmh wa vichakani kuna vitu mnavyo vya ziada membu tumwagie wana wa mwanamke mwenzio??/
 
Itategemea ila mwangani ni vizuri zaidi sababu utakuwa ukimuona mwenzako akijikunjakunja kutokana na mitomaso nawe kuhamasika zaidi na kuwa na mzuka zaidi lakini pia aibu kwa mrembo inazidi kuongezeka mixer mirembuo,ila inasaidia kuona baadhi ya maungo kama alishawahi kuwa jambazi full makovu
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom