Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

Yeah najua
Ila kanaboa
Muonekano mbaya af kanawahi kuwa mkweche
Na kakianza kukusumbua ndo utakoma na dharama za kukatengeneza kila cku ni kama unatumia mark x2
Hapana rafiki,Starlet ni ngumu na gharama nafuu.labda kama hujawah kua nako,mi niko nako na Rav4 pia old model,hazinitii mawazo kwenye matumizi hasa hii Starlet,sema hzo Mark x na Subaru ni kwa speed tu na ni za kisasa ndo mana
 
Sitarlet sina uwakika
Ila baba ang alinunua ka platz ambayo ni kama vits tu
Kanatumia mafta kidogo sana yaan unaweza ukatoka apa adi moro kwa lita6 tu
Ila sasa kanamsumbua
Mpaka kaamua kununua ka pili ili kawe kama spare nayo ni yaleyale yaan hivi vigari hasara2

Magar mengine kama BMW spare kuzipata ni shida mana haziharibiki kirahisi
 
Huwezi amini Starlet ni ngumu kuliko platz,IST,na gari nyingi tu ndogo ndogo,sema ni ule udogo wake tu.ila ni kagumu kweli kweli
 
1 litre for 17km!?o_O....
hiyo ni subaru ya mwaka gani na model gani na fuel type gani!?
plus are you talking about a brand new subaru au hizi zetu tunazo import used from japan?
Ovious naongelea used ikiwa highway yaan speed ya juu sana

Af jua gar ikiwa mpya sananinakula mafta sana kuliko ikiwa imekaa mda kidogo,apa naongelea kuhusu friction
Na gar after 10k kilomiters mostly ndo waga consumption inapungua
Ikiwa nzee vilevile inakunywa mafuta zaidi bcoz of lose of power
Inshort gar ikiwa highway inakula mafta kidogo sana
Hyo nilioiongelea ni subaru legacy b4 2.0i non turbo
 
nlikuwa nataka clarification ya hilo,2.0i non turbo sawa ina make sense...ila most of the people wana-opt for subaru coz wanataka power and speed, for 2.0i i dont think so if it will out perform mark x ...
 
Kwa jinsi ninavyoona inaoutperform mana ukikanyaga kidogo2 180 hii apa ila semabiko chini sana na kizur chake gar iko solid sana njian kuizidi mark x
Turbo sijaiendesha bado ila naskia inanguvu zaidi lkn zote tu ni four weel drive
 
study the following specs
> subaru 2.0i 0-100km 9.5sec 162BHP@6800rpm
> markx 2.5 0-100km 7.9sec 215BPH@6400rpm

jaribu one day kutest mark x then utapata full experience
 
Back
Top Bottom