Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

KweliKwanza

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
3,500
2,781
Asanteni wakuu
Nimechukua legacy b4
 
Attachments

  • 1472912134650.jpg
    1472912134650.jpg
    88 KB · Views: 429
Kwa sababu umeomba ushauri, mimi nakuambia Subaru Legacy, kwa safari za hapa mjini na raha zaidi unapoutafuta mkoa wowote ule, ulaji wa mafuta ni wa kuridhisha ilimradi zingatia servive. BUT UAMUZI NI WAKO.
 
Lakini vifaa na confortability vipi??
 
Toyota mark X ndio mpango mzima,jiandae tu kwa mafuta inatafuna kidogo,ila kama una mkwanja wa kutosha you won't regret going for it,inatulia sana unapokuwa kwenye high speed,hata behaviour yake kwa jinsi ilivyotengenezwa kwa mtazamo wa nje haina tofauti sana na Mercedece Benz na BMW 5 and 3 series.
 
Kidogo najua spare zake ghali japo ukiinunua hurudi dukani mapema, pia fuel consumption iko juu kiasi
Fuel consuption iko chini coz ina cc ndogo af kama ulivyosema hurudi dukani mapema hyo ni kweli nimeisikia
Ninachotaka kujua ipi iko poa kwa waliotumia mojawapo au zote mbili kwa pamoja ndo vzr zaidi
 
Back
Top Bottom