Interview National Audit Office

dah hii interview inakatisha tamaa sana kwani katka kanda zote tisa kuna watu 4040 walioitwa.. then wanatakiwa watu 100..tuu..hapo kwa tuliosoma hesabu probability ni 0.4 kupata!! idadi kubwa inaenda kuchukua uzoefu tuu

Mmmh pole sana...sasa kama hii lugha ya taifa inakupa tabu na usahili utakuwa kwa kingereza nina mashaka na wewe.. Nilitegemea mifano yako kwenye maandishi iegemee zaidi kwenye fani yako lakini umeenda kwenye lugha ya kichina....duh...Kwahiyo unamaanisha ili uielewe balance sheet hatua ya kwanza ni kuikariri balance sheet halafu utaelewa baadae..,mayb kazini.. Hukufanya practical field..,? ulijifunza nini kule..?
Mkuu kua muungwana basi ndugu yetu anaomba msaada tumsaidie jamaa sio kuleta masihara na kama huna cha kuchangia kaa pembeni wachangie wenye uzoefu sio mna criticize mambo ya msingi,kuuliza sio ujinga

nemda ukijua siyo lazima kupata kazi uwe na confo. interview ni simple sana kama umesoma acounts utaenjoy sana coz wanacheza na ISA, AIS,IFRS

Kaka nenda internet then google, common interview questions. Swali la 1. Tell us a bit about yourself. Eleza story yako ambayo inauhusiano na kazi unayoomba si lazima ueleze kila kitu. Labda shuleni ulikuwa ktk cluba ya hesabu, au kamati ya maadili nk. Chuoni? 2 Untategemea kuwa wapi miaka 5 ijayo? 3 Kwanini unataka kufanya kazi na sisi? Eleza kama ni fani uliyosomea au unaipenda nk.
tehee tehee, simple like that, wanahitaji watu mia, wameitwa kwenye interview watu zaidi ya elfu moja.

Nimempa point za kusoma'kwani Nbaa ndio wameombwa kutunga paper.Nina mdau kanipa point hizo toka Mhasibu House.ukifaulu unaenda oral kisha computer .
Oh my God... adn we talk of integrity, serikali imeiamini bodi, bodi imewapa sataffs wake na staff wanagawa maswali... badae tunailaumu serikali

Tuna matatizo makubwa

Tunahitaji qualified assistant auditors na sio wababaishaji. Lazima ujue terms za auditing na how zina apply. Ujue audit, plan, report... Kama ulielewa auditing chuon utapass ila kama ulipita kwa kudesa desa 4get.

Mie Mkweche nakuongezea Mdogo wangu!Check na Internal Auditing Functions na Ile IAS 1 Presentation of Financial Statetement
Pitia kiasi The content of a set of statements:
Statement of:
1)Financial Position
2)Comprehensive Income
3)Changes of Equity
4)Cash Fllows
julua kuelezea elements zake
By Kaka Mkweche

Mkuu kua muungwana basi ndugu yetu anaomba msaada tumsaidie jamaa sio kuleta masihara na kama huna cha kuchangia kaa pembeni wachangie wenye uzoefu sio mna criticize mambo ya msingi,kuuliza sio ujinga

Jamaa anahitaji maswali ya interview ya kesho...,muungwana ni yule atakaempatia hayo maswali..Amini usiamini ila kuna watu waliotunga hayo maswali wapo hapa Jamvini na wanaisoma hii post.
Kwahiyo we unashauri wamwambie ili akienda kesho afaulu kwa maksi nzuri apate ajira,.then akawe mkaguzi..Utakuwa mnamdanganya nani hapo?
Tumia akili KIAZI wewe...,Practical field ulifunzwa namna ya kuvaa na heshima ya kazi....Miaka mitatu chuoni ulipewa nondo nenda kazitumie kesho
kwenye usahili na ofisini pia..
Kama nimekuwa m-baya kwako pole lakini naupinga huu upuuzi na ntaupinga daima....,

• Thanks
Reactions: Iza
Oh my God... adn we talk of integrity, serikali imeiamini bodi, bodi imewapa sataffs wake na staff wanagawa maswali... badae tunailaumu serikali

Tuna matatizo makubwa
Swaiba Mzee wa MSD VP?Si unajua Desa linawaongezea Vijana Ma-Confidence wakija Kazini tutawafunza KAZI,mbona vyuoni hawana walimu au walimu wapo busy na Ma-research na Ma-consultancy!Mie Mkweche tena leo nimepokea Wakaguzi wa Ndani wa MOH! Ndio mana nimemkumbusha kazi za Ma-Inernal

Yaani kituko kimetokea huko duce jamani wamewaweka hall watu wanatizamiana kama hawana akili nzuri...sijui hata watapata watu gani maana wengi wanatizamiana sana sana wasimamizi hawana time kabisaaa....sijui hata tunakwenda wapi Utoh sijui kama anajua kuwa watu wake wameachia mlango wazi vilaza watapenya pia

swala liko hvi system yenyewe iko hovyo watu wana madesa kibao hata sisi ambao hatuhusiki na hyo interview tunawaona watu wanavyo hangaika kutafuta madesa ukijifanya unajua inakula kwako mwenyewe so bora mshkaji alivyo amua kuweka wazi na kutafuta desa la interview.watu wanapewa hadi maswali watakayo ulizwa kwenye interview na majibu pia wanapewa yani ni balaa so mimi sishangai nikiona mtu anahangaika kutafuta desa..

interview ilikuwa ya pepa , kama mtu anajua kutoka ni rahic lakin watahiniwa weng hawakujiandaa vizur kwa nilivyoona mm , mana hata nami ilinichapa ila kama ningekuwa na tabia ya kujisomea pepar was fair. Naomba mwenye ule mtihan ani PM na kunipatia kwa future references

interview ilikuwa ya pepa , kama mtu anajua kutoka ni rahic lakin watahiniwa weng hawakujiandaa vizur kwa nilivyoona mm , mana hata nami ilinichapa ila kama ningekuwa na tabia ya kujisomea pepar was fair. Naomba mwenye ule mtihan ani PM na kunipatia kwa future references

That was it, hatuna tabia hii afu tunataka kazi nzuri...

mmh wabongo kwa madesa..,nenda kwenye interview wakakupime uwezo wako tumechoka na wataalamu wa kukariri wametuletea hasara kubwa sana ndo hao hao wanaopitisha bahasha ili mambo yao yakae sawa....
Ona maisha yetu waTZ yalivyo magumu utadhani hatuna wataalamu..,wachumi kibao wanamaliza vyuo vikuu kila mwaka ila kwasababu wanakariri huko vyuoni na kwenye interview wanaomba msaada kama wewe hata wakienda ofisini hawana jipya elimu yao inabaki kwenye vyeti.
Tena naomba hao jamaa kwenye interview wachukue wataalamu wazuri na wenye uzalendo..

Umeongea sahihi. Katika uhalisia inabidi iwe hivyo. Nina wasiwasi hata wale walotunga maswali wametunga kishule zaidi, so na hawa wajiandae kishule pia. Sasa inabidi hata watunga maswali waegemee sana kwenye 'case studies' ili badala ya kukariri, mtu aelewe.
Otherwise soma hayo mdau Jituoriginal katoa. Pia sali sana, yote yanawezekana.

Toa msaada sio kukosoa, jaribu kuwa na fikra pevu.
Sehemu kubwa ya maswali unayoulizwa kwenye usahili unapaswa kutoa majibu inrelation to the job position u'v applied for.
1. Historia yako- eleza kuendana na kazi uliyoomba, mfano unapotaja elimu na shule ulizosoma usisha kutaja masomo yanayoendana na job position.
2.mafanikio yako-jibu masomo uliyofaulu yanayoendana na job position na mafanikio uliyopata katika kazi iliyopita km uliwai kuajiriwa
3. Experience-km hukuwai kuajiriwa eleza practical training ulizowai kufanya, mda uliokaa darasani(chuo)kuwa masomo na kazi nying zilikuwa practicaly, taja masomo yanayousiana na the position ua aplied for, uliwai kuajiriwa taja nafasi ulizowai kufanya zinazoendana na kazi unayoomba.

Back
Top Bottom