Kumbukumbu ya interview bora niliyowahi kufanya katika maisha yangu ya kusaka ajira ( sikupata hio kazi šŸ„²[emoji2782])

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Ameandika @jamadihatibu

Katika kutafuta ajira kuna mengi sana, Makampuni mengi huwa na taratibu mbovu za interview, ila hii ilikua tofauti, leo naomba nishare na nyinyi..

Nakumbuka mwaka 2020, one year baada ya kumaliza chuo, niliona Tangazo la ajira kutoka Kampuni ya Geita Gold Mining (GGM), Tangazo lilikuwa lina link ambayo uki-click inakupeleka kwenye psychometric test kwanza then ndo uendelee na applications, I applied then after one day kama sikosei nikatumiwa link tena ya kuendelea na hizo test. I did them usiku sana nakumbuka, zilikuwa kama test tano hivi, nikasubmit, huku kijasho kinatoka.

By that time nilikuwa najitolea kwenye hospital moja, so siku zikapita na nikasahau kabisa.
Almost kama mwezi mbele au mwezi na nusu mchana niko zangu pale hospitali sina hili wala lile nikaona simu inaita, kuangalia ni simu ya ofisi, inaanza na manamba yale 22222 yakanichanganya nikasema nani huyu, nkapokea jamaa upande wa pili kwa sauti ya upole akanisalimia..

Kisha akajitambulisha, akanimbia napaswa kufika kwenye interview Geita wiki moja mbele nimechaguliwa, hapo kichwa ikawaka chap, asee niko mabovu na nauli ya Geita msosi nk nikasema hii interview nishaikosa , ikabidi nimuulize nafikaje huko kaka, akaniambia mzee wewe njoo.

Hifadhi risiti ya kila kitu kuanzia nauli hadi misosi tutarefund usiwe na shaka. I was like yes, nikafanya mchakato chap nikachukua hela kwa bro, nikajiandaa vyema, mind you that was my first time kuenda Geita, I mean mwisho wangu ulikuwa Moro tu hata Dom sikuwah fika.

So nikasema hii ni opportunity, naweza pata kazi na kutembea na naweza nikakosa lakini pia nikawa nimetembea na nimepata exposure.

Basi bwana siku ya safari ikawadia, mimi nikatoka zangu Kigamboni chap usiku mkali nikatimba Ubungo (stand ilikuwa Ubungo by that time).

Nilikata ticket ya bus La Zuberi Trans, Bajabiri anazijua, chuma ikaanza kutembea, tumeikata Tanzania nzima, tukapita njia ya Tabora, mida ya saa sita usiku tukaingia Kahama town, chuma ikalaza hapo, nakumbuka kulikuwa na kibaridi mob, ikabidi nitafute Supu kwanza nijiweke sawa.

Asubuhi yake, chuma ikaamka tena tukaingia road la vumbi kuitafuta Geita Mjini, hapo kuna vumbi kuliko Kigoma, madirisha yalifunguliwa yote, watu tukapakwa poda za kutosha , Asubuhi kama saa mbili au tatu tukafika town pale Geita.

Nikamcheki jamaa akanipa direction sehemu ya kufikia, kiufupi ile sio lodge ni hotel, mjamaa akaniambia fika reception jitambulishe, nikajitambulisha nikashangaa nikapewa funguo nikaelekezwa room, oyaa weeh ile hotel ni kali, ile room sijawahi lala room kali kama ile Nimefika nakuta wifi full, halafu muhudumu ananiambia msosi agiza wowote unaotaka cost ishakuwa covered dadeq, mchana nikaagiza kuku, akaletwa nusu wa kienyeji oyaa sio mchezo misosi ya pale, unajua mpaka nikaogopa coz hadi muda huo sikuwa nimekutana na jamaa niliekuwa nawasilana nae.

Mazingira ya ile hotel nikahisi mimi nishapanda mtumbwi wa vibwengo, sijatekwa kweli? nikaanza kujaa hofu, ilikua Ijumaa jioni, interview ni Jumamosi asubuhi, nikatoka nje ile jioni nikamfuata muhudumu kumuuliza like hapa nimekuja peke angu au tupo na wenzangu? maana daah

So muhudumu akaniambia kuwa mko wengi mnaofanya interview kesho, usiwe na shaka wewe jiandae tu, mazingira yasikutishe, basi mzee nikapoa, usiku nikaagiza tena kuku, nikamchapa, nikajifua kwa ajili ya interview saa nne kesho yake asubuhi.

Imefika asubuhi nikajiandaa nikashuka chini ya hotel, ndo kuna ukumbi wa interview, nikakutana na jamaa wengine wako nje, tukapiga stori kuulizana moja na mbili, ndo nikaja kujua kuwa kwenye ile postion nilioomba tulichaguliwa only watu watatu kwa ajili ya interview.

Nilikuwa mimi na wadada wengine Wawili, I was like dah hapa hii kazi sidhani kama nitatoboa, tangazo linasema women are highly encouraged to apply nikajua nimekua scapegoat hapa, but ngoja nipambane Mind you sikuwa namjua mtu yeyote kule, no connection no whatsover, I was selected.

On merit basis, I mean zile test nilizifanya vzr ndio maana nilichaguliwa for interview, basi bwana muda wangu ukafika nikazama ndani, nikapigwa maswali, nikajitetea weeh safi kabisa, miongoni mwa swali lililonishindwa lilikua linahusu (NCD), non- communicable diseases

Basi nikamaliza Interview, tukapiga stori na jamaa wengine pale nje, tukalala kesho safari ya kurudi Dar, nikasema ngoja npitie Mwanza kuna mwanangu nilisoma nae advance nikaenda kwao kumtembelea, tulipita Sengerema kwenye lile daraja la Kigongo Busisi, kwa muda huo ndio kwanza lilikuwa linaanza kujengwa

Nilijifunza vingi, basi bwana nikarudi zangu Dar, baaada ya one Day, muamala ukasoma pesa zangu zote zilirudishwa, so nilienda fanya interview na sikutumia gharama yoyote binafsi, nilipokelewa vizuri, na kila kitu kikaenda in a professional ways, kama kuna mtu anafanya kazi GGM, hebu pokea hongera zangu kwenu, japo kazi nilikosa lakini sikujilaumu kabisa, kila kitu kilikuwa kimepangiliwa vyema mno

I wish nipate nafasi tena ya kuenda kule tena, makampuni mengine yanapaswa yakajifunze best practise kule kwakweli, unapewa First class treatment, as if ni muajiriwa tayari, they are very good indeed šŸ¤Œ.

Kila zuri lina baya, one thing ambacho sikupendezwa nacho ni feedback, hawakunipa ontime, nilikuwa nasuburia tu kumbe mtu na kuajiriwa alishaajiriwa, (one of the ladies ndie alipata) .

Kwa ambao mushafanya interview hebu share na sisi stori yako kuhusu interview tujifunze .

Asanteni
 
Niliendaga peleka maombi jesh la polisi kilwa rod kikos cha ufund

Baada ya kukabidh bahasha nikapewa kaunta buku niandikie jina alooooooo mim hapa nilikua wa 800+ ktk orodha

Nikamuuliza wanaohitajika wangap nikajibiwa wanatakiwa 50 tu

Nikagoma kuandika jina nikawaambia nipen bahasha yangu nijiflash

Jibu nililopewa hapo nikajikuta nimeandika jina fastafasta na kutoka nduki
 
Barrick North Mara,
 
Uliomba kazi gani? Wanakuulizaje maswali ya communicable disease halafu ni mgodini?
 
Back
Top Bottom