Interview National Audit Office

Mwana Mnyonge

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
518
448
jamani si mnajua kesho ndio interview, anae fahamu jamaa maswali yao yanakuaje atusaidie tujikomboe katika hili si mnajua mtaani pagumu ndugu zangu nawasilisha.
 
Unaijua ISA..ifrs ..financial reporting.value 4 money .auditor report.audit plan,kama huyajayasoma pole. KATAFUTE MAPEMA VIMEMO VYA GODFADHER.
 
mwenzetu yupo seriaz na maisha anahitaji msaada we unamjibu kwa mbwembwe. we mwambie tu kuwa audit plan inakuwa na stages unaanzia kwenye audit program tl follow up or zaidi. co mzuka
 
we loiboki mbona kamwambia ukweli we certificate nini?
 
Kweli wadau mnaojua halahala tusaidiane ila kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kudanganya wenzako.
 
Kweli wadau mnaojua halahala tusaidiane ila kama hujui ni bora kukaa kimya kuliko kudanganya wenzako.
Nimempa point za kusoma'kwani Nbaa ndio wameombwa kutunga paper.Nina mdau kanipa point hizo toka Mhasibu House.ukifaulu unaenda oral kisha computer .
 
soma vizuri advertisement ya kwenye gazeti kuna swali hapo litaulizwa kama ifuatavyo!as you selected in a post of .....what is your duties and responsibilities?
 
soma vizuri advertisement ya kwenye gazeti kuna swali hapo litaulizwa kama ifuatavyo!as you selected in a post of .....what is your duties and responsibilities?
 
mmh wabongo kwa madesa..,nenda kwenye interview wakakupime uwezo wako tumechoka na wataalamu wa kukariri wametuletea hasara kubwa sana ndo hao hao wanaopitisha bahasha ili mambo yao yakae sawa....
Ona maisha yetu waTZ yalivyo magumu utadhani hatuna wataalamu..,wachumi kibao wanamaliza vyuo vikuu kila mwaka ila kwasababu wanakariri huko vyuoni na kwenye interview wanaomba msaada kama wewe hata wakienda ofisini hawana jipya elimu yao inabaki kwenye vyeti.
Tena naomba hao jamaa kwenye interview wachukue wataalamu wazuri na wenye uzalendo..
 
Kaka nenda internet then google, common interview questions.
Swali la 1. Tell us a bit about yourself. Eleza story yako ambayo inauhusiano na kazi unayoomba si lazima ueleze kila kitu. Labda shuleni ulikuwa ktk cluba ya hesabu, au kamati ya maadili nk. Chuoni?
2 Untategemea kuwa wapi miaka 5 ijayo?
3 Kwanini unataka kufanya kazi na sisi? Eleza kama ni fani uliyosomea au unaipenda nk.
 
Hivi kama unaanza kuogopa interview mpaka unahitaji msaada watu wakupe nondo...,miaka yako mitatu ya chuo ulikuwa unafanya nini.? Utaweza kumkagua Jairo wewe? Utaona kitu kweli.
Aaaa jamani tutafika kweli.......?
 
mmh wabongo kwa madesa..,nenda kwenye interview wakakupime uwezo wako tumechoka na wataalamu wa kukariri wametuletea hasara kubwa sana ndo hao hao wanaopitisha bahasha ili mambo yao yakae sawa....
Ona maisha yetu waTZ yalivyo magumu utadhani hatuna wataalamu..,wachumi kibao wanamaliza vyuo vikuu kila mwaka ila kwasababu wanakariri huko vyuoni na kwenye interview wanaomba msaada kama wewe hata wakienda ofisini hawana jipya elimu yao inabaki kwenye vyeti.
Tena naomba hao jamaa kwenye interview wachukue wataalamu wazuri na wenye uzalendo..

unayosema ni kweli but kuuliza jinsi maswali ynavokuwa sio vibaya sababu kuna wengine hata interview hatujawahi kuingia kuna watu wana uelewa kuhusu hayo mambo kitu kingine uzalendo unatoka moyoni elimu inatoka kwenye ubongo, kuna wasomi wangapi hawjakalili na wametupeleka hapa tulipo ,tatizo hapa sio kukalili bali ni kuchanganya siasa na kazi kama umesoma hauwezi kuelewa bila kukalili ,hoja yako haina msingi mfano unafahamu lugha ya kichina hauwezi kuelewa bila kukalili unalifahamu hilo

ongea kitu kwa kufanya uchunguzi hivi unajua kuna wakati daktari anabidi akalili kabla ya kuelewa neno na baadhi ni madaktari bingwa na wanakili hilo
 
mmh wabongo kwa madesa..,nenda kwenye interview wakakupime uwezo wako tumechoka na wataalamu wa kukariri wametuletea hasara kubwa sana ndo hao hao wanaopitisha bahasha ili mambo yao yakae sawa.... Ona maisha yetu waTZ yalivyo magumu utadhani hatuna wataalamu..,wachumi kibao wanamaliza vyuo vikuu kila mwaka ila kwasababu wanakariri huko vyuoni na kwenye interview wanaomba msaada kama wewe hata wakienda ofisini hawana jipya elimu yao inabaki kwenye vyeti.Tena naomba hao jamaa kwenye interview wachukue wataalamu wazuri na wenye uzalendo..
c kwakua we uko kazini, na c ajabu uliwekwa tu kwenye kazi
 
c kwakua we uko kazini, na c ajabu uliwekwa tu kwenye kazi

Kama kawaida yetu waTZ hatupendi kuambiwa ukweli..,tunapenda kusikia yale mambo yanayotufurahisha tu..Mabadiliko yanatakiwa yaanzie kwako.....Interview ni njia pekee ya kumpima mtu uwezo aliokuwa nao..,sasa anahitaji apewe maswali....Kheee na wewe unajitahidi kubuni maswali ya kumpa mwenzio...Makubwa....!
 
Kwanza muombe mungu akujalie confidence from there si unayo elimu utajibu kutokana nataaluma yako sio paper interview wanataka tu mjuane muongelee machache kwa nini unataka iyo kazi sasa utashindwa jamani jiamini kwanza -introduction yako iwe na mvuto
-skills zako na experience waeleze vizuri
-matarajio yako mshahara labda
availability
jitahidi kuconvice iyo panel dogo usijali
 
unayosema ni kweli but kuuliza jinsi maswali ynavokuwa sio vibaya sababu kuna wengine hata interview hatujawahi kuingia kuna watu wana uelewa kuhusu hayo mambo kitu kingine uzalendo unatoka moyoni elimu inatoka kwenye ubongo, kuna wasomi wangapi hawjakalili na wametupeleka hapa tulipo ,tatizo hapa sio kukalili bali ni kuchanganya siasa na kazi kama umesoma hauwezi kuelewa bila kukalili ,hoja yako haina msingi mfano unafahamu lugha ya kichina hauwezi kuelewa bila kukalili unalifahamu hilo

ongea kitu kwa kufanya uchunguzi hivi unajua kuna wakati daktari anabidi akalili kabla ya kuelewa neno na baadhi ni madaktari bingwa na wanakili hilo

Mmmh pole sana...sasa kama hii lugha ya taifa inakupa tabu na usahili utakuwa kwa kingereza nina mashaka na wewe..
Nilitegemea mifano yako kwenye maandishi iegemee zaidi kwenye fani yako lakini umeenda kwenye lugha ya kichina....duh...
Kwahiyo unamaanisha ili uielewe balance sheet hatua ya kwanza ni kuikariri balance sheet halafu utaelewa baadae..,mayb kazini..
Hukufanya practical field..,? ulijifunza nini kule..?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom