ata kwa wewe kuilipa kampuni hupati kizembe,,,, uasibu kuna kubebanawadau habari zenu, nimemaliza saut advanced diploma ya accountancy natafuta internship, hata bila malipo nitajitolea tu. Nipo dar, please wadau tusaidiane
Ukisema Makete sijui kama atakubali. Watanzania wengi wanajifanya wamezaliwa Dar na Arusha. Wachache Mwanza, Morogoro na labda Mbeya. Hawaendi kufanya kazi kokote zaidi ya 'huko kwao'.unaweza kuja kufanya kazimakete?
Ukisema Makete sijui kama atakubali. Watanzania wengi wanajifanya wamezaliwa Dar na Arusha. Wachache Mwanza, Morogoro na labda Mbeya. Hawaendi kufanya kazi kokote zaidi ya 'huko kwao'.
ingekua nalipwa sawa, najua kabisa nitakua nauhakika wa kula na sehemu ya kulala. Lakini itanicost sana ndio maana naomba hapa hapa mjini kama gharama iwe nauli tu.Ukisema Makete sijui kama atakubali. Watanzania wengi wanajifanya wamezaliwa Dar na Arusha. Wachache Mwanza, Morogoro na labda Mbeya. Hawaendi kufanya kazi kokote zaidi ya 'huko kwao'.