Peleka CV yako TEMESA sina uhakika na spelling, NEMC wanachukulia vijana hapo. Pia kuna tangazo la kazi naona linaendaga na wewe jaribu kuomba waweza kupata, all the bestWakuu habari,
Nimegraduate Bachelor of Science in Forestry 2022, na kwa sasa nipo Dodoma najitafuta.
Natafuta mtu yeyote anaeweza nisaidia kupata nafasi ya kufanya Internship kwenye ofisi ya NEMC Kanda hapa Dodoma. Anaeweza nisaidia nitamfata PM.
Asanteni
TEMESA au TAESAPeleka CV yako TEMESA sina uhakika na spelling, NEMC wanachukulia vijana hapo. Pia kuna tangazo la kazi naona linaendaga na wewe jaribu kuomba waweza kupata, all the best
Seeking 16 Research Assistants for a Study on Vi Agroforestry’s Impact on Agrobiodiversity through SALM and Agroforestry in Bungoma County (Kenya) and Kagera Region (Tanzania)
Shukran sana mkuu, ngoja nilifanyie kaziPeleka CV yako TEMESA sina uhakika na spelling, NEMC wanachukulia vijana hapo. Pia kuna tangazo la kazi naona linaendaga na wewe jaribu kuomba waweza kupata, all the best
Seeking 16 Research Assistants for a Study on Vi Agroforestry’s Impact on Agrobiodiversity through SALM and Agroforestry in Bungoma County (Kenya) and Kagera Region (Tanzania)
Asante mkuu, ni TAESATEMESA au TAESA
Jisajili TAeSA ndugu,,halafu tuendelee kusubiri. Hata mimi nilishauriwa hivyo. Kwamba taasisi nyingi za serikali zinachukua interns kutoka Taesa. Katika kipindi cha kusubiri pia tuendelee na ufugaji wa kuku, angalau tuwe na uhakika wa protini ya kutosha mwilini tukiwa tunangoja watu waupige mwingiAsante mkuu, ni TAESA
Mkuu unaweza pata kweli kupitia Taesa? Maana mimi toka January nilifanya training yao na Ile Amptitude test lakin mpaka leo ni kimya,Jisajili TAeSA ndugu,,halafu tuendelee kusubiri. Hata mimi nilishauriwa hivyo. Kwamba taasisi nyingi za serikali zinachukua interns kutoka Taesa. Katika kipindi cha kusubiri pia tuendelee na ufugaji wa kuku, angalau tuwe na uhakika wa protini ya kutosha mwilini tukiwa tunangoja watu waupige mwingi
Hahaha mdogo wangu Mimi nipo kazini kitambo, ila nimepata shuhuda nzuri tuu kua TaeSA watu wanapata Bila hata connection. Apply Taesa then subiriJisajili TAeSA ndugu,,halafu tuendelee kusubiri. Hata mimi nilishauriwa hivyo. Kwamba taasisi nyingi za serikali zinachukua interns kutoka Taesa. Katika kipindi cha kusubiri pia tuendelee na ufugaji wa kuku, angalau tuwe na uhakika wa protini ya kutosha mwilini tukiwa tunangoja watu waupige mwingi
Mkuu Taesa wanaweza kukutafutia permanent employment ? Pia naomba kuuliza huwa wanaweza chukua muda gan ndo wakuite toka upige Amptitude test, maana mimi toka January mpaka leo naona wapo kimyaHahaha mdogo wangu Mimi nipo kazini kitambo, ila nimepata shuhuda nzuri tuu kua TaeSA watu wanapata Bila hata connection. Apply Taesa then subiri
Inadepend na soko la field yako na uhitaji. Yes nasikia hata baadhi ya kampuni hutaka vijana wa kuwaajiri kupitia TaesaMkuu Taesa wanaweza kukutafutia permanent employment ? Pia naomba kuuliza huwa wanaweza chukua muda gan ndo wakuite toka upige Amptitude test, maana mimi toka January mpaka leo naona wapo kimya
Umeisearch hiyo fursa niliyokutumia?Mkuu Taesa wanaweza kukutafutia permanent employment ? Pia naomba kuuliza huwa wanaweza chukua muda gan ndo wakuite toka upige Amptitude test, maana mimi toka January mpaka leo naona wapo kimya
Jaribu kwenda ofisini kwao pale posta, uwaambie kuwa umesubiri muda lakini umeona kimya, maana bila kuwafata wanakua wakati mwingine wanakusahau. Mimi pia nilikaa kimya nasubiria lakini nilipowafata ilisaidia kupata nafasi kwa haraka.Mkuu Taesa wanaweza kukutafutia permanent employment ? Pia naomba kuuliza huwa wanaweza chukua muda gan ndo wakuite toka upige Amptitude test, maana mimi toka January mpaka leo naona wapo kimya
Ahaa sawa kaka , sema mimi nipo Dodoma ngoja nitawafata nione watasemajeJaribu kwenda ofisini kwao pale posta, uwaambie kuwa umesubiri muda lakini umeona kimya, maana bila kuwafata wanakua wakati mwingine wanakusahau. Mimi pia nilikaa kimya nasubiria lakini nilipowafata ilisaidia kupata nafasi kwa haraka.