Adrian2716
Member
- Oct 23, 2023
- 98
- 287
Salaam kwa wana JF wote, naomba mwenye kibarua aniunganishe tafadhali nina miaka 26, nina diploma ya Accounting, na degree ya Accounting and finance.
Nipo mkoa wa Arusha, hata internship nafanya hata kusogeza mafile tu hamna tatizo, hata kwa siku mkinipa 2000 ni sawa tu kama nitakuwa nafanyia mkoa wa Arusha ndugu zangu najua mnajua hustle tunazo pitia ambao hatuna ajira na kukaa nyumbani ni shida unaweza lala hata njaa.
NISAIDIENI WAKUU