elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,705
hivi kuna mtu yeyote mwenye ufahamu wa shughuli hii?
Hii shughuli inahusiana na ukusanyaji wa wadudu amabao usafirishwa kwenda ulaya na kule utumika katika mashule, vyuo na sehemu mbalimbali kama specimen.
Sasa swali langu ni kwamba je inahitajika kibali chochote ili mtu aweze safirisha wadudu na kama kipo je ni wapi kinatolewa na gharama zake ni zipi?
Je usafirishaji wake ukoje?
Naomba mtu mwenye uelewa wa suala hili anipe maelezo.