Inawezekana kujiunga na chuo cha udaktari na bado ukaendelea na ualimu?

The End..

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
4,364
3,801
Msaada wakuu ninahitaji kujiunga na chuo facult ya medicine ngazi ya stashahada ila kwa sasa ni mwalimu na nategemea huo mshahara unisogeze hadi nitakapomaliza chuo.

Swali je, naweza kujiunga na chuo wakati huo huo nikaendelea na uwalimu. Nipo shule ya serikali

Naombeni mawazo yenu wakuu!
 
Inawezekana kabisa. Chamsingi upate ruhusa uende. Ni namna gani uende: Fanya yafuatayo:-
1. Omba chuo chako cha udaktari
2. Omba chuo cha education ngazi ya shahada
3. Nafasi zote mbili zote utapata na donwoload joining instruction ya education
4. Ipeleke hiyo joining instruction kwa mkuu wa idara ili akupe ruhusa.
Option ya pili nitafuta kwenye inbox kama hii haitakufaa
 
hapa nilipo tayari nina elimu ngazi ya shahada ya uwalimu labda nisingizie masters ila nayo ni mwaka mmoja wakati udaktari ni miaka mitano bado kuna tatizo hapa mkuu hakuna njia nyingine hata ya ujanja ujanja labda....!!!!!
 
Weee unatakaa shahada au stashahada miaka mitano ya nini sasa??wakatii umesema unataka stashahada ya CM ambayo nimiaka mitatu
 
Kupataaa degree ngumusanaa kakaa hatakamaa unadegree ya science labdaaa unaweza pata bahatisha ndurutee jaribuu
 
Mkuu itakugharimu sana nikimaanisha resource muda,nguvu,pesa na hata ufanisi pia ,ilakwa mtizamo wangu mimi ningeshauri utafuta course nyingine ambayo iko kwenye order of preference yako.
 
Back
Top Bottom