Inawezekana kufanya CPA kwa mtu aliemaliza degree ya education in accountancy and economic's

Mikepoti

Senior Member
Jun 5, 2014
101
136
naomba msaada wana jukwaa inawezekana kufanya CPA kwa mtu ambaye amemaliza degree ya education in accountancy and economics.
 
Sasa kwa mtu huyo ambaye hajasomea accounts then ataitumia CPA hiyo wapi kaka?
mkuuu acha kukariri...

mfano kampuni nying auditing zina ajili watu ambao hata hawajasomea accounting...
baada ya hapo ndio wanapewa training alafu wananza kusom cpa..
 
Sasa kwa mtu huyo ambaye hajasomea accounts then ataitumia CPA hiyo wapi kaka?
Anaitumia kwenye kazi zinazohitaji mtu mwenye CPA na ndio maana anaanzia module moduel A. waliosoma accounts wanafanya madule E na F.
 
Anaitumia kwenye kazi zinazohitaji mtu mwenye CPA na ndio maana anaanzia module moduel A. waliosoma accounts wanafanya madule E na F.
Kiongozi module E & F haukuna siku hizi.....waliosoma degree ya Accounts wanaanzia intermediate stage (6 papers) and Final stage (4papers)
 
Kiongozi module E & F haukuna siku hizi.....waliosoma degree ya Accounts wanaanzia intermediate stage (6 papers) and Final stage (4papers)
Ni sawa tu, wasiosoma accounts wanaanzia foundation stage ambayo it was by then modue A and B na waliosoma accounts wanasoma final stage ambayo by then ni E and F. kwa msaada zaidi mtoa mada afike na vyeti vyake kwa ofisi za board ya NBAA atapata maelezo ya kutosha
 
Back
Top Bottom