CPA kwa levels za Diploma in Accounting and Finance

Mimah127

Member
Dec 4, 2023
33
37
Habar Wana JF,

Hv inawezekana kwa watu wenye diploma ya account and finance kusoma (CPA)? Na Kama inawezekan ni vigezo gan vnahitajika?? Na ni level gan ataanza nayo? Tuko hapa kujifunza naombeni mchango wenu wa hoja zenu
 
CPA anasoma mtu yeyote yule hata form four. Ingia kwenye website kuijua level utakayoanzia.
 
Utaanza foundation level, then
intermediate level, then
final level.

Ingia kwenye website yao kuna maelezo ya kutosha.
 
Back
Top Bottom