Inakuwaje wapenzi wangu wote ni wa aina moja?

Hata sielewi ilikuwaje na achana na huyu nakaa miezi 6 kabla ya kuanza mahusiano.... nikijazoeana na mtu ile nakuuliza tuu wewe mtu wa wapo aaaghh kaskazini hapo nshakolea. .... sijui ilikuwaje.

Hapana sijaolewa mie niko single naishi mwenyewe na pia sina watoto.
Ooooh!! lkn watu wa kaskazini sio wote wenye tabia hizo labda hao wanaokuwa wanatoka kwenye familia za aina unazosema.

i am from NorthenZone too.
 
Vp Kasie mie naweza kuwa kibenten chako..?! Maana nmefit kwenye kila kiriteria..! Kasoro mie mtu wa kusini..!
 
Alamsiki mabibi na mabwana.

Naomba niwasimulie mtiririko wa mahusiano ya Kasie. Niko safari kikazi na hivo nakuwa na muda mwingi wa kujitafakari.

Naanza na aliye nitoa bikira, huyu alikuwa wa kanda ya kaskazini, hakuwa mtoto wa pekee wa kiume ila alikuwa wa kwanza kuzaliwa na mama yake alikuwa anampendea mnoo. Nilishindwana nae maana kila kitu mpaka mama aamue nikaona mahusiano ya namna hiyo sitoyaweza.

Aliyefuata nae alikuwa wa kanda ya kaskazini huyu alinipagawisha kwa mshedede wake... Nilikjwa simalizi wiki namtafuta. ... nilifahamiana nae kazini kwenye ajira yangu ya kwanza. Alikuwa mtoto wa pekee wa kiume alichonishinda wapenzi wake wa zamani wakiomba show alikuwa hakatai anawapa halafu sababu ya kudeka sana akawa ananiambia kwa kujisahau, nikikasirika yeye ndo ananuna zaidi. Ili nipate mshedede inabidi nijishushe ili maisha yaendelee. Nikaona ntaukwaa kabla hata sijaota mvi, nikakimbiza mbawa zangu mapemaa tukaachana.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee na ni mtu wa kaskazini huyu ndo Allen ambaye na msimu liana sana humu, huyu alinipenda mnoo. Hapa Jill pata mtihani, hatukuwahi kukwichikwichi ila tulikumbatiana sanaa maana nilikuwa bado mschana na sikutaka kuongeza idadi ya walio.niti.a hivo nilimtesa kiaina pia huyu siku mpenda kivileee maana .... (sababu zake naweka kapuni asijejulikana) ila alikuwa anakaa masaki.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee wa kiume na alikuwa mtu wa kaskazini. ... huyu alikuwa napiga mzigo balaa, akisimamia kwato ijumaa jumamosi sitoki.... kiufupi huyu ndo alinipa stamina ya kustahimili mshindo hadi bao 5 saa ingine 6 kwa siku nzima yaani masaa 12. Alinikera ubahili wake kwa mie yaani kunigharamikia mie, najua kubana matumizi ila si kwa umpendae. Ubahili hapa ulinikimbiza kila kitu anasema gharama basi ndo ukawa mwisho wetu japo alinibembeleza sana tuendelee mie nikakataa.


Mwingine huyu alizaliwa wa kiume pekee wengine walikuwa wa kike. Pia alikuwa wa kutokea kaskazini daah sifa zile zile. .... huyu alikuwa na utoto mwingi kiufupi tulishindwana halafu alikuwa anaongelea sana ukabila yaani kwao anasisitizwa aoe mwanamke wa kutoka kaskazini. Nikaona ananipotezea wakati niikasepa. Huyu alikuja nitafuta baadae akaleta madai yake.... nilimnyamazia sikutaka hata kuonana nae.

Huyu mwingine ndo ilikuwa shida kabisaa kwanza anapenda ugomvi, mkorofi akilewa tabuu ana sifa za kijinga kiufupi nilikuwa matured zaidi yake japo alinizidi umri sana tuu. Huyu nikamuacha aendelee na maisha yake. Huyu nae alikuwa mtu wa kaskazini na alikuwa mtoto wa pekee wa kiume.


Hii naongelea miaka 15 na zaidi iliyopita. Baada ya hapo sikutaka tena mahusiano ya muda mrefu nikawa mwenyewe tuu hadi nilipokutana na vacation partner wangu. Ambae tunakutana tukiwa likizo na tubasafiri huku na kule, natamani huyu tungekutana miaka 15 iliyopita..........


Nachojiuliza..... inakuwaje wanaume nliokuwa na mahusiano nao wote wanahulka sawa utasema waalikuwa wanatumwa au wanaambizana? Sikuwa nachagua ilikuwa inatokea tuu tunakutana na hao wanaume na sifa zinakuwa kama za aliyeondoka.

Watoto wa kiume pekee wana nini nami? Au nna nyota ya kuwavuta bila kujijua??

mshana jr nasaha zako tafadhali.

Kasinde.
Hayatuhusu. This is private business. Absolutely Private.
 
i am from NorthenZone too.

Hahahhahahhaha na wewe umezaliwa wa kiume pekee? Yaani ndugu zako wengine ni wadada tuu?

Halafu unajua kuna taarifa ukisema utazifanyia kazi kisha unipe mrejesho naona kimyaa......
 
Hahahhahahhaha na wewe umezaliwa wa kiume pekee? Yaani ndugu zako wengine ni wadada tuu?

Halafu unajua kuna taarifa ukisema utazifanyia kazi kisha unipe mrejesho naona kimyaa......
No sisi tupo team ya makomando

anhaa yes yes nakumbukaa...sikupata muda wa kuongea nae ila nimepanga nikienda home lazima nilifanyie kazi alafu nitakupa feedback Kasie.
 
Bado hujanipa nafasi mimi, mimi ni wa kaskazini aliyeishi mjini.

Mahaba nayajua,kulea najua.

Unataka nini we Mnyamwezi?

Hahahahaaa Mangi nawaogopa nyie.... Kasie kesho zeeka ungekuja miaka 15 iliyopita....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom