Inakuwaje wapenzi wangu wote ni wa aina moja?

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,386
37,076
Alamsiki mabibi na mabwana,

Naomba niwasimulie mtiririko wa mahusiano ya Kasie. Niko safari kikazi na hivo nakuwa na muda mwingi wa kujitafakari.

Naanza na aliye nitoa bikira, huyu alikuwa wa Kanda ya Kaskazini, hakuwa mtoto wa pekee wa kiume ila alikuwa wa kwanza kuzaliwa na mama yake alikuwa anampendea mno. Nilishindwana nae maana kila kitu mpaka mama aamue nikaona mahusiano ya namna hiyo sitoyaweza.

Aliyefuata nae alikuwa wa Kanda ya Kaskazini huyu alinipagawisha kwa mshedede wake. Nilikjwa simalizi wiki namtafuta nilifahamiana nae kazini kwenye ajira yangu ya kwanza.

Alikuwa mtoto wa pekee wa kiume alichonishinda wapenzi wake wa zamani wakiomba show alikuwa hakatai anawapa halafu sababu ya kudeka sana akawa ananiambia kwa kujisahau, nikikasirika yeye ndo ananuna zaidi. Ili nipate mshedede inabidi nijishushe ili maisha yaendelee. Nikaona ntaukwaa kabla hata sijaota mvi, nikakimbiza mbawa zangu mapemaa tukaachana.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee na ni mtu wa Kaskazini huyu ndo Allen ambaye na msimu liana sana humu, huyu alinipenda mnoo. Hapa Jill pata mtihani, hatukuwahi kukwichikwichi ila tulikumbatiana sana maana nilikuwa bado msichana na sikutaka kuongeza idadi ya walio nitia hivo nilimtesa kiaina pia huyu sikumpenda kivile maana (sababu zake naweka kapuni asijejulikana) ila alikuwa anakaa Masaki.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee wa kiume na alikuwa mtu wa Kaskazini huyu alikuwa napiga mzigo balaa, akisimamia kwato Ijumaa Jumamosi sitoki kiufupi huyu ndo alinipa stamina ya kustahimili mshindo hadi bao 5 saa ingine 6 kwa siku nzima yaani masaa 12. Alinikera ubahili wake kwa mimi yaani kunigharamikia mie, najua kubana matumizi ila si kwa umpendae. Ubahili hapa ulinikimbiza kila kitu anasema gharama basi ndo ukawa mwisho wetu japo alinibembeleza sana tuendelee mie nikakataa.

Mwingine huyu alizaliwa wa kiume pekee wengine walikuwa wa kike. Pia alikuwa wa kutokea Kaskazini daah sifa zile zile huyu alikuwa na utoto mwingi kiufupi tulishindwana halafu alikuwa anaongelea sana ukabila yaani kwao anasisitizwa aoe mwanamke wa kutoka Kaskazini. Nikaona ananipotezea wakati niikasepa. Huyu alikuja nitafuta baadae akaleta madai yake nilimnyamazia sikutaka hata kuonana nae.

Huyu mwingine ndo ilikuwa shida kabisa kwanza anapenda ugomvi, mkorofi akilewa tabu ana sifa za kijinga kiufupi nilikuwa matured zaidi yake japo alinizidi umri sana tuu. Huyu nikamuacha aendelee na maisha yake. Huyu nae alikuwa mtu wa Kaskazini na alikuwa mtoto wa pekee wa kiume.

Hii naongelea miaka 15 na zaidi iliyopita. Baada ya hapo sikutaka tena mahusiano ya muda mrefu nikawa mwenyewe tuu hadi nilipokutana na vacation partner wangu. Ambae tunakutana tukiwa likizo na tunasafiri huku na kule, natamani huyu tungekutana miaka 15 iliyopita.

Nachojiuliza inakuwaje wanaume niliokuwa na mahusiano nao wote wanahusika sawa utasema walikuwa wanatumwa au wanaambizana? Sikuwa nachagua ilikuwa inatokea tuu tunakutana na hao wanaume na sifa zinakuwa kama za aliyeondoka watoto wa kiume pekee wana nini nami? Au nina nyota ya kuwavuta bila kujijua?

mshana jr nasaha zako tafadhali.

Kasinde.
 
Alamsiki mabibi na mabwana.

Naomba niwasimulie mtiririko wa mahusiano ya Kasie. Niko safari kikazi na hivo nakuwa na muda mwingi wa kujitafakari.

Naanza na aliye nitoa bikira, huyu alikuwa wa kanda ya kaskazini, hakuwa mtoto wa pekee wa kiume ila alikuwa wa kwanza kuzaliwa na mama yake alikuwa anampendea mnoo. Nilishindwana nae maana kila kitu mpaka mama aamue nikaona mahusiano ya namna hiyo sitoyaweza.

Aliyefuata nae alikuwa wa kanda ya kaskazini huyu alinipagawisha kwa mshedede wake... Nilikjwa simalizi wiki namtafuta. ... nilifahamiana nae kazini kwenye ajira yangu ya kwanza. Alikuwa mtoto wa pekee wa kiume alichonishinda wapenzi wake wa zamani wakiomba show alikuwa hakatai anawapa halafu sababu ya kudeka sana akawa ananiambia kwa kujisahau, nikikasirika yeye ndo ananuna zaidi. Ili nipate mshedede inabidi nijishushe ili maisha yaendelee. Nikaona ntaukwaa kabla hata sijaota mvi, nikakimbiza mbawa zangu mapemaa tukaachana.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee na ni mtu wa kaskazini huyu ndo Allen ambaye na msimu liana sana humu, huyu alinipenda mnoo. Hapa Jill pata mtihani, hatukuwahi kukwichikwichi ila tulikumbatiana sanaa maana nilikuwa bado mschana na sikutaka kuongeza idadi ya walio.niti.a hivo nilimtesa kiaina pia huyu siku mpenda kivileee maana .... (sababu zake naweka kapuni asijejulikana) ila alikuwa anakaa masaki.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee wa kiume na alikuwa mtu wa kaskazini. ... huyu alikuwa napiga mzigo balaa, akisimamia kwato ijumaa jumamosi sitoki.... kiufupi huyu ndo alinipa stamina ya kustahimili mshindo hadi bao 5 saa ingine 6 kwa siku nzima yaani masaa 12. Alinikera ubahili wake kwa mie yaani kunigharamikia mie, najua kubana matumizi ila si kwa umpendae. Ubahili hapa ulinikimbiza kila kitu anasema gharama basi ndo ukawa mwisho wetu japo alinibembeleza sana tuendelee mie nikakataa.

Mwingine huyu alizaliwa wa kiume pekee wengine walikuwa wa kike. Pia alikuwa wa kutokea kaskazini daah sifa zile zile. .... huyu alikuwa na utoto mwingi kiufupi tulishindwana halafu alikuwa anaongelea sana ukabila yaani kwao anasisitizwa aoe mwanamke wa kutoka kaskazini. Nikaona ananipotezea wakati niikasepa. Huyu alikuja nitafuta baadae akaleta madai yake.... nilimnyamazia sikutaka hata kuonana nae.

Huyu mwingine ndo ilikuwa shida kabisaa kwanza anapenda ugomvi, mkorofi akilewa tabuu ana sifa za kijinga kiufupi nilikuwa matured zaidi yake japo alinizidi umri sana tuu. Huyu nikamuacha aendelee na maisha yake. Huyu nae alikuwa mtu wa kaskazini na alikuwa mtoto wa pekee wa kiume.

Hii naongelea miaka 15 na zaidi iliyopita. Baada ya hapo sikutaka tena mahusiano ya muda mrefu nikawa mwenyewe tuu hadi nilipokutana na vacation partner wangu. Ambae tunakutana tukiwa likizo na tubasafiri huku na kule, natamani huyu tungekutana miaka 15 iliyopita..........

Nachojiuliza..... inakuwaje wanaume nliokuwa na mahusiano nao wote wanahulka sawa utasema waalikuwa wanatumwa au wanaambizana? Sikuwa nachagua ilikuwa inatokea tuu tunakutana na hao wanaume na sifa zinakuwa kama za aliyeondoka.

Watoto wa kiume pekee wana nini nami? Au nna nyota ya kuwavuta bila kujijua??

mshana jr nasaha zako tafadhali.

Kasinde.
Vipi wa sasa nae pia ni wa kiume pekee kwao?

Hiyo haikutokea kwa ajali. Kuna vitu unapenda na ndio maana vilikuwa vinakurudisha kwa watoto wa mama kila mara. Jitafakari
 
Kwa sasa sina mahusiano sirias ya kusema tunaambatana kila kona kama wapenzi ila nina huyu vacation partner tunakutana kipindi cha likizo na tunapeana raha sana. Hivo huyu partner hata kama ni wa kiume pekee siwezi muongeza kwenye list kwasababu mahusiano yetu ni ya msimu. In between night stands zina husika ila kabla ya vacation lazima tupime afya ndo tuna mingle. Labda tukishastaafu ndo tunaweza fanya mahusiano sirias na hapo ndo naweza muongeza kwenye list.
 
Alamsiki mabibi na mabwana.

Naomba niwasimulie mtiririko wa mahusiano ya Kasie. Niko safari kikazi na hivo nakuwa na muda mwingi wa kujitafakari.

Naanza na aliye nitoa bikira, huyu alikuwa wa kanda ya kaskazini, hakuwa mtoto wa pekee wa kiume ila alikuwa wa kwanza kuzaliwa na mama yake alikuwa anampendea mnoo. Nilishindwana nae maana kila kitu mpaka mama aamue nikaona mahusiano ya namna hiyo sitoyaweza.

Aliyefuata nae alikuwa wa kanda ya kaskazini huyu alinipagawisha kwa mshedede wake... Nilikjwa simalizi wiki namtafuta. ... nilifahamiana nae kazini kwenye ajira yangu ya kwanza. Alikuwa mtoto wa pekee wa kiume alichonishinda wapenzi wake wa zamani wakiomba show alikuwa hakatai anawapa halafu sababu ya kudeka sana akawa ananiambia kwa kujisahau, nikikasirika yeye ndo ananuna zaidi. Ili nipate mshedede inabidi nijishushe ili maisha yaendelee. Nikaona ntaukwaa kabla hata sijaota mvi, nikakimbiza mbawa zangu mapemaa tukaachana.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee na ni mtu wa kaskazini huyu ndo Allen ambaye na msimu liana sana humu, huyu alinipenda mnoo. Hapa Jill pata mtihani, hatukuwahi kukwichikwichi ila tulikumbatiana sanaa maana nilikuwa bado mschana na sikutaka kuongeza idadi ya walio.niti.a hivo nilimtesa kiaina pia huyu siku mpenda kivileee maana .... (sababu zake naweka kapuni asijejulikana) ila alikuwa anakaa masaki.

Mwingine alikuwa mtoto wa pekee wa kiume na alikuwa mtu wa kaskazini. ... huyu alikuwa napiga mzigo balaa, akisimamia kwato ijumaa jumamosi sitoki.... kiufupi huyu ndo alinipa stamina ya kustahimili mshindo hadi bao 5 saa ingine 6 kwa siku nzima yaani masaa 12. Alinikera ubahili wake kwa mie yaani kunigharamikia mie, najua kubana matumizi ila si kwa umpendae. Ubahili hapa ulinikimbiza kila kitu anasema gharama basi ndo ukawa mwisho wetu japo alinibembeleza sana tuendelee mie nikakataa.

Mwingine huyu alizaliwa wa kiume pekee wengine walikuwa wa kike. Pia alikuwa wa kutokea kaskazini daah sifa zile zile. .... huyu alikuwa na utoto mwingi kiufupi tulishindwana halafu alikuwa anaongelea sana ukabila yaani kwao anasisitizwa aoe mwanamke wa kutoka kaskazini. Nikaona ananipotezea wakati niikasepa. Huyu alikuja nitafuta baadae akaleta madai yake.... nilimnyamazia sikutaka hata kuonana nae.

Huyu mwingine ndo ilikuwa shida kabisaa kwanza anapenda ugomvi, mkorofi akilewa tabuu ana sifa za kijinga kiufupi nilikuwa matured zaidi yake japo alinizidi umri sana tuu. Huyu nikamuacha aendelee na maisha yake. Huyu nae alikuwa mtu wa kaskazini na alikuwa mtoto wa pekee wa kiume.

Hii naongelea miaka 15 na zaidi iliyopita. Baada ya hapo sikutaka tena mahusiano ya muda mrefu nikawa mwenyewe tuu hadi nilipokutana na vacation partner wangu. Ambae tunakutana tukiwa likizo na tubasafiri huku na kule, natamani huyu tungekutana miaka 15 iliyopita..........

Nachojiuliza..... inakuwaje wanaume nliokuwa na mahusiano nao wote wanahulka sawa utasema waalikuwa wanatumwa au wanaambizana? Sikuwa nachagua ilikuwa inatokea tuu tunakutana na hao wanaume na sifa zinakuwa kama za aliyeondoka.

Watoto wa kiume pekee wana nini nami? Au nna nyota ya kuwavuta bila kujijua??

mshana jr nasaha zako tafadhali.

Kasinde.
Muonekano wako good atakuwa hakukutendea haki.
 
Back
Top Bottom