Inakuwaje wapenzi wangu wote ni wa aina moja?

kumbe na kaumalaya kamo eti ''huyu alikuwa na utoto mwingi tukaachana" kirahisi tu una miaka 50, umetoka nao zaidi ya 100 kila baada ya miezi sita unapata baby mpya. hongera japo haijabanduka.
 
hata mimi sijawahi elewa ni kwa nini inakuwaga hivyo, yaani mimi wapenzi wangu wote nilioachana nao wamenifanyia visa vinavyofanana, ni mpaka nilivyoamua kuwa chakaramu kama wao , kutosimlia historia yangu kwa mpenzi mpya, ndo nikakutana na MR ana character tofauti kabisa na ma ex.

nahisi huwa tunasimlia historia zetu kwwa wapenzi wapya, na wenyewe ndo wanaamua sasa kufanya vile vile kama wale wa mwanzo

we nae mbona saba wachache sana, mmh hapa kila mtu akifunguka kuna wengine wanajaza basi zima
 
Hata sielewi ilikuwaje na achana na huyu nakaa miezi 6 kabla ya kuanza mahusiano.... nikijazoeana na mtu ile nakuuliza tuu wewe mtu wa wapo aaaghh kaskazini hapo nshakolea. .... sijui ilikuwaje.

Hapana sijaolewa mie niko single naishi mwenyewe na pia sina watoto.
Kwa nini hujataka kuwa na mtoto?
 
hata mimi sijawahi elewa ni kwa nini inakuwaga hivyo, yaani mimi wapenzi wangu wote nilioachana nao wamenifanyia visa vinavyofanana, ni mpaka nilivyoamua kuwa chakaramu kama wao , kutosimlia historia yangu kwa mpenzi mpya, ndo nikakutana na MR ana character tofauti kabisa na ma ex.

nahisi huwa tunasimlia historia zetu kwwa wapenzi wapya, na wenyewe ndo wanaamua sasa kufanya vile vile kama wale wa mwanzo

Hivi huwa mnawezaje kusimuliana mahusiano yaliyopita
 
Back
Top Bottom