Inakuwaje wapenzi wangu wote ni wa aina moja?

Kwa sasa sina mahusiano sirias ya kusema tunaambatana kila kona kama wapenzi ila nina huyu vacation partner tunakutana kipindi cha likizo na tunapeana raha sana. Hivo huyu partner hata kama ni wa kiume pekee siwezi muongeza kwenye list kwasababu mahusiano yetu ni ya msimu. In between night stands zina husika ila kabla ya vacation lazima tupime afya ndo tuna mingle. Labda tukishastaafu ndo tunaweza fanya mahusiano sirias na hapo ndo naweza muongeza kwenye list.

Night stands......! ;);)
 
No sisi tupo team ya makomando

anhaa yes yes nakumbukaa...sikupata muda wa kuongea nae ila nimepanga nikienda home lazima nilifanyie kazi alafu nitakupa feedback Kasie.

Ooh at least wewe ni tofauti kidogo..... it's point of attraction. ... hehehehehee

Poa poa waiting for that..... salamu kwa wa nyumbani ukienda.
 
kwahiyo tangu uanze kukwichikwichi umekua na wanaume 7 ?
...... halaf wenye mipini ya ukweli. Shimo lake litakuwa pana kama la kupanda mgomba. Si wa kumwoa huyu. Naomba mungu nisikutane nae. Maana nami ni mwanaume pekee
 
Ooh at least wewe ni tofauti kidogo..... it's point of attraction. ... hehehehehee

Poa poa waiting for that..... salamu kwa wa nyumbani ukienda.
sawa zimefika Kasie

naomba kuuliza, hivi kwann unadhani hao wanaume ambao kwao wapo wao kama wanaume ndio tatizo la tabia walizokuwa nazo?
 
Kuna mmoja hapo ulivyomsimulia kama tulikua wote vile!!
Ila nikicheki avatar yako nagundua sio wewe, hahaaa
 
Huuu Uzi umenifunza

Kumbe wanawake nao kuna wakati wanakaa wanawaza juuu ya watu walowapa rahaaa + wanawalinganisha n.k

Haaaaaa wanaume tupigen kazi kwelikweli yaan kesheshen watu
 
sawa zimefika Kasie

naomba kuuliza, hivi kwann unadhani hao wanaume ambao kwao wapo wao kama wanaume ndio tatizo la tabia walizokuwa nazo?

Labda kutokana na malezi wanayopata. ...ile kudekezwa hivo hata mpenzi unakuwa unadekewa hata issue za kuwa sirias yeye analeta kudeka kaa yuko kwao. Nilijikuta nashindwa kuvumilia.....

Japo yaweza kuwa si hivyo labda ndo walivozaliwa wako hivo maana wote tabia zilifanana.
 
Hahahahhaaa nashukuru kujitolea ila kwa sasa hapana sitafuti mahusiano naendeleza maisha niliyoyazoea.... 10 months napiga kazi, 2 months in a year vacations. ... Kiukweli namshukuru Mungu.
nakuhakikishia tena kuwa hutojuta
 
Kuna mmoja hapo ulivyomsimulia kama tulikua wote vile!!
Ila nikicheki avatar yako nagundua sio wewe, hahaaa

Itakuwa tumefahamiana matukii tuu sidhani kama ni mie. Nawe ni wa pekee kuzaliwa?
 
Labda kutokana na malezi wanayopata. ...ile kudekezwa hivo hata mpenzi unakuwa unadekewa hata issue za kuwa sirias yeye analeta kudeka kaa yuko kwao. Nilijikuta nashindwa kuvumilia.....

Japo yaweza kuwa si hivyo labda ndo walivozaliwa wako hivo maana wote tabia zilifanana.
pole sana Kasie.
 
Back
Top Bottom