Inakuhusu wewe usiyetaka kuolewa

Hivi anataka kuzaa na mwanamke mwingine kwa njia ipi hasa.
Ile ya kujamiiana au ile ya In-VitroFertilization (IVF)?
Nina wanangu naweza kuwabinafsisha kwa muda kama itakuwa ni ile ya IVF
 
Utaandikisha mkataba kisheria? maana hukawii kuingia mitini.

Ujenge nyumba, kila kitu ndani, usafiri na malezi ya mtoto. Halafu marufuku kuingilia mahusiano ya utakayezaa ne na mtu mwingine kama wewe kutoingiliwa na mkeo.
dada mkataba wangu upo wazi so sipendi kupewa amendment na mtu mwingine nipo tayari kwa mtu aliyeona ninachokihitaji ni fear kwake.swala la kisheria litafanyika pale litakapohitajika
 
Hili dili lingemlipa yule mama anaekalie kiti cha mbele cha kuwatazama wenzake pale mjengoni Karibu na Udom !
Sema ndy hivyo tu hajajua kama kuna zabuni Jf !
 
Hivi anataka kuzaa na mwanamke mwingine kwa njia ipi hasa.
Ile ya kujamiiana au ile ya In-VitroFertilization (IVF)?
Nina wanangu naweza kuwabinafsisha kwa muda kama itakuwa ni ile ya IVF
hahahaha hapana mkuu. Thanks kwa offer yako
 
Nimber 3 mke wangu asijue nini kinaendelea btn us number 7 Mtoto anahitaji malezi ya kutosha kutoka kwa mama ningependa uishi pekeyako iliaweze kufaidi matunzo hayo

utanihakikishiaje kuwa huyo mkeo hatamnyofoa mwanangu kichwa pindi atakapojua...?
dalili zinaonekana sio nzuri hapa.....
 
ujenzi unaanza lini? ukifa kabla hujanijengea?
hahahahaha ujenzi kabla hujaingia kwenye mkataba? cha kwanza nitakupangia nyumba mjini hapa then ukishapata mtoto ndiyo hapo nitakapo kujengea hii itakuwa kwa makubaliano maana siwezi kukujengea mtu ambaye utakuwa huna manufaa nami lengo langu kubwa ni mtoto
 
Jamani vipi nimechelewa au.... na hilo sharti la nne mbona gumu. Mkuu nina swali, sasa kaka ukiwa unauwezo wote huo wa kuhudumu nyumba ndogo si bora ujaribu IVF au surrogacy.

Lakini imekaa vizuri deal hili tatizo wewe mweusi bana!
 
tatizo hii njia ni ya kizungu bana ila nikikosa nita apply. thank kwa maoni yao
 
Nimeanza kupokea request please naomba kwa wale ambao wanaishi mikoani sitoweza kujadiliana nao kwa njia ya simu ukiwa tayari njoo Dar tuonane. Samahani kwa usumbufu
 
Kwanza nyumba kubwa inamatatizo gani ya kuleta familia?
this should not be public ukitaka kujua onana na mimi na kwa first time nitawaalika nyumbani kama marafiki mjue naishi vipi then majadiliano yatafanyika nje ya nyumba yangu.
 
  • Thanks
Reactions: Edo

Similar Discussions

Back
Top Bottom