Inakuhusu wewe usiyetaka kuolewa

ningekuwa mimi ndio hao wadada 'desperate' waliokuandikia,ningezaa na wewe baada ya miaka kadhaaa naolewa tena,kwani UTAFANYA nini nikiolewa tena?????????????????utamtekeleza mtoto au?????????????.....yaani ni waste my whole damn life(nisiolewe wala kuzaa tena) kwa ajili ya mtoto MMOJA na kanyumba......wewe kaka acha kuwa selfish hivyo!!!!.....
 
Terms of conditions
Duh
Yaani uhusiano wa siri
Yaani usiolewe na mtu mwingine baada ya kuzaa wakati wewe umeoa .
yaani aghhhhhhhhhhhhhhhh.
:juggle:
 
offer yake ni kwamba ndani ya makubaliano yangu mi na yeyeye ni kumuandikia asset za kutosha yeyeye na mtoto na nina mtoto mmoja tayari wa kiume ila ninahitaji wapili so siwezi mchukua mtoto kwa mama. acha wasiwasi nimejipanga vizuri sipo kudhulumu mtu ila nataka iwe ni ridhaa ya mtu peke yake ili asijevinja ndoa yangu na kulaumu kuwa nilimlaghai



nakukumbusha pia ukapime afya maana uzae mtoto mwenye afya bora(HIV)
 
ningekuwa mimi ndio hao wadada 'desperate' waliokuandikia,ningezaa na wewe baada ya miaka kadhaaa naolewa tena,kwani utafanya nini nikiolewa tena?????????????????utamtekeleza mtoto au?????????????.....yaani ni waste my whole damn life(nisiolewe wala kuzaa tena) kwa ajili ya mtoto mmoja na kanyumba......wewe kaka acha kuwa selfish hivyo!!!!.....
ahahaaaaa kweli mmetuchoka humu
 
Hivi sio kwamba sie tumewazidi sodoma na gomora? Ama unataka tu nyumba ndogo maana kama ni mtoto kuna njia nyingi sana za kumpata kupitia kwa mkeo, mayai yameisha? I am confused. :A S embarassed:
 
Yaani hii post imekuja na mimi nishaacha ukicheche maana ningekubali hizo terms nikakubebea mimba ambayo si yako na matumizi ukayalipa, nitakunyonyoa wewe mpaka ushike adabu. Ukijastuka too late mummy nasepa, nyie wanaume msiwachokoze wanawake, we are big revenger

Wait a minute...what do I get katika mahusiano haya, naona wewe ndo uko in win-win situation.WTF
 
Mmxxxx.....kasema nan anataka hayo mambo..hapo uandke huna chako,utadanganywa tu..yan nkuone na mkeo halaf mie nitulize miguu ndan..hahaha..lazma nam ukiniona na mume mwenza utulie
 
Yaani hii post imekuja na mimi nishaacha ukicheche maana ningekubali hizo terms nikakubebea mimba ambayo si yako na matumizi ukayalipa, nitakunyonyoa wewe mpaka ushike adabu. Ukijastuka too late mummy nasepa, nyie wanaume msiwachokoze wanawake, we are big revenger.

Tell him...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom