Inakuhusu wewe usiyetaka kuolewa

dunia ina mambo. nimekua nimeyaona! ndo darisalama hii naskia kuna kila aina ya biashara ushindwe mwenyewe tu
 
Nimeanza kupokea request please naomba kwa wale ambao wanaishi mikoani sitoweza kujadiliana nao kwa njia ya simu ukiwa tayari njoo Dar tuonane. Samahani kwa usumbufu
pm zimeanza mimi nanegotuiati humu
hiv status yako ipoje?
mimi niko negative
 
Vipi jamani, nafasi bado ipo au smile kachukua tenda???? kisimu cha mchina hiki kinanikosesha maisha kwa kweli. Eti tajiri bado kuna nafasi na mimi nitume maombi yangu??????:smash::smash:
 
Kutokana na matatizo ya familia yangu(x) nahitaji mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja nikitoa matunzo yote kwake sifa zake
  1. uwe ni mtu mwenye uvumilivu ukiniona mimi na mke wangu lazime uwe mtulivu
  2. uwe unajiheshimu
  3. unatunza siri
  4. uwe mtu wa matumizi ya wastani
  5. ukiwa umeajiriwa ua umejiajiri nitakupa kipaumbele
  6. Umri usizidi miaka 30
  7. usiwe tayari kuolewa na mtu mwingine baada ya kuzaa mtoto nami.
Kama upo tayari ni pm au nitumie mail kupitia homakali72@gmail.com ukinipa wasifu wako na mawasiliano yako.dirisha wazi kwako

Mbona hujaulizia juu ya uwezo wake wa uzazi? I mean reproductive ability yake?
 
Vipi jamani, nafasi bado ipo au smile kachukua tenda???? kisimu cha mchina hiki kinanikosesha maisha kwa kweli. Eti tajiri bado kuna nafasi na mimi nitume maombi yangu??????:smash::smash:
Bado nafasi ipo maana leo nachukua tu contact kuanzia ijumaa nitaanza kuonana na kila mmoja na kufanya mahojiano ya mambo kadhaa karibu sana
 
Kutokana na matatizo ya familia yangu(x) nahitaji mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja nikitoa matunzo yote kwake sifa zake
  1. uwe ni mtu mwenye uvumilivu ukiniona mimi na mke wangu lazime uwe mtulivu
  2. uwe unajiheshimu
  3. unatunza siri
  4. uwe mtu wa matumizi ya wastani
  5. ukiwa umeajiriwa ua umejiajiri nitakupa kipaumbele
  6. Umri usizidi miaka 30
  7. usiwe tayari kuolewa na mtu mwingine baada ya kuzaa mtoto nami.
​Kama upo tayari ni pm au nitumie mail kupitia homakali72@gmail.com ukinipa wasifu wako na mawasiliano yako.dirisha wazi kwako

Kwani mtaani kwdnu hakuna wanawake mpaka uamue kuja kuwatafuta huku? Au ndo ushamaliza wote mtaani kwenu unataka kuwajaribu na wa mtandaoni? Angalia usijejuta kuijua JF
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Papaaaaaaa mupaaaaaaaoooooooo pedesheeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwonkoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,inaonesha mkeo hana uwezo wa kuzaaa ila inaonyesha wewe haujapima sema unataka kutest nje ila mind mademu wajanja sana watatest mwezi m1 ku_do na wewe wakiona dry wataenda nje kupachikwa mimba na mtu mwingine unabambikiziwa wewe,angalia nenda na mkeo hospital mkapime wote usimlaumu mkeo ndio mwenye matatizo pengine wewe ndio mwenye problem.
 
Sina tabia ya umalaya na sina shida na mwanamke wa kutembea naye.Ninashida na kama maelezo yanavyosema hapo juu.Cha muhimu kuwaza kama nitachukua mtaani kwangu je? masharti yangu 7 yataweza zingatiwa jibu ni hapana. ndiyo maana unaniona nimetumia mtandao yote hii ni kuzingatia kanuni number 3
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Papaaaaaaa mupaaaaaaaoooooooo pedesheeeeeeeeeeeeeeeeeeee mwonkoziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,inaonesha mkeo hana uwezo wa kuzaaa ila inaonyesha wewe haujapima sema unataka kutest nje ila mind mademu wajanja sana watatest mwezi m1 ku_do na wewe wakiona dry wataenda nje kupachikwa mimba na mtu mwingine unabambikiziwa wewe,angalia nenda na mkeo hospital mkapime wote usimlaumu mkeo ndio mwenye matatizo pengine wewe ndio mwenye problem.
Nina Mtoto aliyemaliza form 4 mwaka huu wa kiume na hilo lisikutishe maana niko vizuri sana mkuu na mi kufikia hatua hii 2mefanya njia nyingi sana so usiogope.
 
Kutokana na matatizo ya familia yangu(x) nahitaji mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja nikitoa matunzo yote kwake sifa zake
  1. uwe ni mtu mwenye uvumilivu ukiniona mimi na mke wangu lazime uwe mtulivu
  2. uwe unajiheshimu
  3. unatunza siri
  4. uwe mtu wa matumizi ya wastani
  5. ukiwa umeajiriwa ua umejiajiri nitakupa kipaumbele
  6. Umri usizidi miaka 30
  7. usiwe tayari kuolewa na mtu mwingine baada ya kuzaa mtoto nami.
​Kama upo tayari ni pm au nitumie mail kupitia homakali72@gmail.com ukinipa wasifu wako na mawasiliano yako.dirisha wazi kwako

abormination!!
 
Finally nimepata list ya kunitosha naomba nifunge Maombi Nifanyie kazi kwanza hizi contact,Nashukuru wadau wote mliyochangia humu.Mungu awabariki na samahani kwa watu niliyowakwaza kwa uzi huu hii ni shida yangu binafsi.Asanteni
 
Kutokana na matatizo ya familia yangu(x) nahitaji mwanamke wa kuzaa naye mtoto mmoja nikitoa matunzo yote kwake sifa zake
  1. uwe ni mtu mwenye uvumilivu ukiniona mimi na mke wangu lazime uwe mtulivu
  2. uwe unajiheshimu
  3. unatunza siri
  4. uwe mtu wa matumizi ya wastani
  5. ukiwa umeajiriwa ua umejiajiri nitakupa kipaumbele
  6. Umri usizidi miaka 30
  7. usiwe tayari kuolewa na mtu mwingine baada ya kuzaa mtoto nami.
​Kama upo tayari ni pm au nitumie mail kupitia homakali72@gmail.com ukinipa wasifu wako na mawasiliano yako.dirisha wazi kwako

Poa,unataka ambaye alishawahikuzaa au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom