Inakuhusu wewe usiyetaka kuolewa

Offer hiyo bora ukatoe kijijini kwa mjini itakula kwako...
wewe nikupangie nyumba na matumizi hapa mjini uniambie nipeleke kijijini ki msingi wapo ila kwenye kuzaa na kutunza siri ndiyo mahali nimekuwa nikikwama kila siku ndiyo maana nimetangaza humu kwenye forum nikifanikiwa nitakujulisha maana umependa kunikatisha tamaa
 
Mbona hujasema maumbile, IQ na dini ya huyo unayetaka akuzalie? huoni hivyo vyote ni muhimu ili kupata your dreamy baby. It is a great arrangement kwa mdada ambaye hana mpango wa kuolewa; ila huoni kama unamkosea mkeo hata kama hana uwezo wa kuzaa (nina assume hawezi kuzaa).

Pia nafikiri kwa aliyekuwa interested inabidi muandikishiane terms zote ili baadaye msigeukane, mara ooh nataka mtoto wangu etc.
 
Mbona hujasema maumbile, IC na dini ya huyo unayetaka akuzalie? huoni hivyo vyote ni muhimu ili kupata your dreamy baby. It is a great arrangement kwa mdada ambaye hana mpango wa kuolewa; ila huoni kama unamkosea mkeo hata kama hana uwezo wa kuzaa (nina assume hawezi kuzaa).
dini yeyote ilimradi mtoto afuate dini yangu maumbile si kikwazo kwangu figa zote naziheshimu, mke wangu itabidi atambue baada ya muda maana itakuwa ndiyo suluhisho la matatizo yetu
 
well yumba ya kupanga au unanijengea? kama ya kujenga maeneo yapi?tusije pelekana magwepande
kwa sasa nyumba za kujenga zipo kijijini ila kama utataka kuishi boko,kinyerezi,kiluvya nitakujengea ila ninapendelea uishi mjini kwanza mpaka ipatikane sehemu ya ujenzi huo mpya ila nyumba itakuwa ni mali ya mtoto utakayemzaa
 
dini yeyote ilimradi mtoto afuate dini yangu maumbile si kikwazo kwangu figa zote naziheshimu, mke wangu itabidi atambue baada ya muda maana itakuwa ndiyo suluhisho la matatizo yetu

Nnmh; hapo naona kama huyo dada mnamtia changa la macho, siku huyo mkeo akitaka mtoto mmlee wenyewe, si mtakuwa mmemfanya dada wa watu kakiwanda tu!

Hii arrangement si fair, kwanini msiadopt watoto mbona ni wengi ambao hawana watu wa kuwalea?
 
Utaandikisha mkataba kisheria? maana hukawii kuingia mitini.

Ujenge nyumba, kila kitu ndani, usafiri na malezi ya mtoto. Halafu marufuku kuingilia mahusiano ya utakayezaa ne na mtu mwingine kama wewe kutoingiliwa na mkeo.
 
kwa sasa nyumba za kujenga zipo kijijini ila kama utataka kuishi boko,kinyerezi,kiluvya nitakujengea ila ninapendelea uishi mjini kwanza mpaka ipatikane sehemu ya ujenzi huo mpya ila nyumba itakuwa ni mali ya mtoto utakayemzaa
so ujenzi utaanza lini?
 
Nnmh; hapo naona kama huyo dada mnamtia changa la macho, siku huyo mkeo akitaka mtoto mmlee wenyewe, si mtakuwa mmemfanya dada wa watu kakiwanda tu!

Hii arrangement si fair, kwanini msiadopt watoto mbona ni wengi ambao hawana watu wa kuwalea?
offer yake ni kwamba ndani ya makubaliano yangu mi na yeyeye ni kumuandikia asset za kutosha yeyeye na mtoto na nina mtoto mmoja tayari wa kiume ila ninahitaji wapili so siwezi mchukua mtoto kwa mama. acha wasiwasi nimejipanga vizuri sipo kudhulumu mtu ila nataka iwe ni ridhaa ya mtu peke yake ili asijevinja ndoa yangu na kulaumu kuwa nilimlaghai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom