point 17 ni impossible mkuu wenye hizo point hawakuweza kuapply kupitia tcu kwasababu system haiku waruhusu...
3.17, inawezekana mkuu! Mfano
E=5
E=5
F=7
S ya Gs=0.5
Div.3 point 17 ambapo tayari ana principle 2.
kumbe heslb waliongeza muda kwasababu wamebaini mapungufu?? Sasa walio kosea kijaza hizo form wanasaidiwaje???
ndo maana huwa namkubali kijana senator kwa true information.!! Xo mpango mzima mi nishalamba chuo but hofu yangu ni ishu ya mkopo yaani sipati usingizi kabisa
ndo maana huwa namkubali kijana senator kwa true information.!! Xo mpango mzima mi nishalamba chuo but hofu yangu ni ishu ya mkopo yaani sipati usingizi kabisa
Sasa kijana tusubili publication tu! I hope mungu katulengeshea palepale
chuo kupata ni lazima ila mikopo ndo wengi inatukondesha aisee!
point 17 ni impossible mkuu wenye hizo point hawakuweza kuapply kupitia tcu kwasababu system haiku waruhusu...
kwann ukologwe tumbo tena mkuu....? Weka wazi bc great thinkerumesomeka mkuu. . . . .ila ndo ushanikoroga tumbo langu.
hahahahahahanaomba kujua mpigamsuli kapata chuo gan?
umeona eeh ! Yaan ni ful kuwaza
Vijana wangu,kwa taarifa nilizoziepua hvi punde kutoka jikon ni kwamba,mchakato wa selection umekamilika kabisa.ila ngoma imekuja kugomea pale heslb,kuna taarifa za kuaminika kwamba vijana wengi mwaka huu hawajaapply mkopo{sijui kama ni kweli au ndo janja ya kuwanyima mikopo}kwa hiyo wameipa helsb wakati mgumu sana kwani wameshndwa kuelewa tatizo ni nin na ndio maana kama mnafuatilia kuna tangazo limetolewa na helsb likiwataka watu wote ambao hawajapply mkopo wafanye hvo ndani ya wiki 2,bodi ya mikopo wameamua kufanya hvo ili kuepusha zile kelele za madent kwamba wameaply ila hawajapata{ingawa kuna watu kibao tu watakosa}.sasa kinachofanyika sasa ni kusubiri hzo week mbili ziishe then helsb ipitie hayo majina mengne ya watakao kua wameaply na kuyarudisha tena tcu ili tcu waweze kuyapublish.na vile vile kuhusu selection,kuna baadhi ya vyuo hasa hvi vinavofundisha masomo ambayo ni non priorities vimekosa wanafunzi wa kutosha,programs za education,medicine,engineering na agriculture zimefurika watu na hvo kufanya competition hasa kwenye vyuo vyetu vya umma kuwa kubwa sana ingawa kwa matokeo ya mwaka huu wamechukua mpaka div 3.17.chuo kilichoongoza kuchukua wanafunzi wengi ni udsm ambacho kimechukua zaidi ya wanafunz 4500,kikifutiwa na udom,sua na saut.over