Ina maana hii kozi imejaa??

Hivi yule senetor amekwenda wapi?? Coz jamaa huwa ana information za ukweli kuhusiana na tcu.!! Hawa wengine waongo watupu hakuna mkweli kati yao

yule jamaa wa ukweli sanaa, sikuhiz kapotea kinowma, itakua mishe za kitaa ndo zinamkeep busy
 
Yule jamaa yupo miongoni mwetu na kila day anakuwepo humu JF but amechange ID ngoja aje aseme mwenyewe.
 
bodi ya mikopo imeongeza muda wa kutuma maombi kwa continuing students na utumwaji wa form za mikopo kwa waombaji wa mara ya kwanza mpaka 31/07/2012. Hii hudhihirisha kuwa, kwa mujibu wa moja ya sifa za kupewa mkopo, sharti upate (admission) udahili kwenye chuo, hivyo majina yaliyopitiwa na loan's board na kubaini mapunfu hayo yako selected tayari. Tarajia publication ya selected applicants any time baada ya 31/07/2012. Mambo ya first choice kuwa not eligible ni system reading error tu. Masomo mema kwa mliochaguliwa.
 
duuh !! Tumbo lishaanza kuuma
 
Kumbe HESLB waliongeza muda kwasababu wamebaini mapungufu?? sasa walio kosea kijaza hizo form wanasaidiwaje???
 
Kama ulikosea pole sana. Wahusika ktk muda ulioongezwa ni waliokuwa wamejaza form kwenye mtandao na hawakuzituma baada ya kuprint na loan beneficiaries ambao hakuomba tena. Hawa hupigwa penalt tshs 30000/=
 
bodi ya mikopo imeongeza muda wa kutuma maombi kwa continuing students na utumwaji wa form za mikopo kwa waombaji wa mara ya kwanza mpaka 31/07/2012. Hii hudhihirisha kuwa, kwa mujibu wa moja ya sifa za kupewa mkopo, sharti upate (admission) udahili kwenye chuo, hivyo majina yaliyopitiwa na loan's board na kubaini mapunfu hayo yako selected tayari. Tarajia publication ya selected applicants any time baada ya 31/07/2012. Mambo ya first choice kuwa not eligible ni system reading error tu. Masomo mema kwa mliochaguliwa.
Mkuu hapo kwenye RED ndo palinichanganya, ila sasa nimeelewa, ulikua unamaanisha kua kunawatu wanavigezo vya kupata mokopo na wamepata admission ila hawajatuma form za kuomba hiyo mikopo.
 
Vijana wangu,kwa taarifa nilizoziepua hvi punde kutoka jikon ni kwamba,mchakato wa selection umekamilika kabisa.ila ngoma imekuja kugomea pale heslb,kuna taarifa za kuaminika kwamba vijana wengi mwaka huu hawajaapply mkopo{sijui kama ni kweli au ndo janja ya kuwanyima mikopo}kwa hiyo wameipa helsb wakati mgumu sana kwani wameshndwa kuelewa tatizo ni nin na ndio maana kama mnafuatilia kuna tangazo limetolewa na helsb likiwataka watu wote ambao hawajapply mkopo wafanye hvo ndani ya wiki 2,bodi ya mikopo wameamua kufanya hvo ili kuepusha zile kelele za madent kwamba wameaply ila hawajapata{ingawa kuna watu kibao tu watakosa}.sasa kinachofanyika sasa ni kusubiri hzo week mbili ziishe then helsb ipitie hayo majina mengne ya watakao kua wameaply na kuyarudisha tena tcu ili tcu waweze kuyapublish.na vile vile kuhusu selection,kuna baadhi ya vyuo hasa hvi vinavofundisha masomo ambayo ni non priorities vimekosa wanafunzi wa kutosha,programs za education,medicine,engineering na agriculture zimefurika watu na hvo kufanya competition hasa kwenye vyuo vyetu vya umma kuwa kubwa sana ingawa kwa matokeo ya mwaka huu wamechukua mpaka div 3.17.chuo kilichoongoza kuchukua wanafunzi wengi ni udsm ambacho kimechukua zaidi ya wanafunz 4500,kikifutiwa na udom,sua na saut.over
 
muhimbili vipi mkuu...?
 
umesomeka mkuu. . . . .ila ndo ushanikoroga tumbo langu.
 
WELL NOTED Mkuu; in addition hizo wiki mbili zilizo ongezwa zinaisha July 31(kesho) so mambo yanakalibia kuiva so THUMB'S UP vijana wangu tukae mkao wa kufuturu.
 
Back
Top Bottom