Ina maana hii kozi imejaa??

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
Niliomba land management n valuation then ikawa eligible, to my suprise ni kwamba sasa hv haiko qualified.. Does that mean wa2 wamenishnda bahati au kiwango?
 
Yaani wewe hata hujui credits kwa higher learning zinahesabiwaje?
A=5
B=4
C=3
D=2
E=1
S=0.5
Angalia chuo kinahitaji minimum ya point ngapi (na hii ni tofauti kwa wanaume na wanawake). Ukishajua hii formulae utajua wapi uombe bila kuwa rejected (na kwenye girlfriend ukifika chuo use the same formula. Usihangaike na chakula cvha twiga manake hata chui hakiwezi!)
 
aisee naona ume-exaggurate
sidhani kama kuna mtu aliemaliza 6 na hafahamu namna ya kuhesabu hz points hadi wakati huu.. So potezea kama hukuelewa,.
Iyo kitu ilikuwa imekubali tayari so nilikuwa najaribu ku-connect nikadhani 1st selection wameshai-occupy
 
Jamani selection tayari zimefanyika. Na kuwa not eligible kwenye 1st choice hiyo imetokea kwa kila mtu.
 
Hivi yule senetor amekwenda wapi?? Coz jamaa huwa ana information za ukweli kuhusiana na tcu.!! Hawa wengine waongo watupu hakuna mkweli kati yao
 
Back
Top Bottom