Ina maana ambao hadi leo hatujaumwa macho kama wengine tuna kinga imara?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,738
109,170
1. Waliobarikiwa zaidi na Mungu?
2. CD4 zao ziko Imara sana?
3. Hawajalaanika kwa Dhambi?
4. Wenye Kinga Kali mno?
5. Wenye Nyota zenye Kung'aa daima?
6. Wasio na Roho Mbaya na Wivu?
7. Wasiopenda kupiga Chabo?

Asante sana Baba Mwenyezi Mungu.
 
kwahiyo Genta sie huku wabeba boksi nasisi tuko kwenye hiyo orodha yako ama ni kwa huko maandamanoni tu? nakumbuka wakati wa COVID majamaa mpaka yakaniita mchawi maana watu wameugua wengine wamededi kwa maelfu lakini mwamba bado nadunda tu hata mafua sina ashukuriwe Mungu kwa kutupa mikinga hii mikubwa kama maji ya betri, na kikubwa hata kuchanja tuligoma lakini tumo tu.
 
Haihusiani mimi domitory nipokuwa shule cube yangu wote walpata red eyes na mm ndo nikawa nawapeleka chakula.
Ikaisha hiyo ikaja ile ya kupata vipele vinawasha mwili mzima, cube nzima ilipata ule ugonjwa muda wote wapo vifua wazi na wanalala tu dom mimi ndo nikawa nawapeleka chakula.
 
Nimecheka mno Mkuu.
 
Tuna Kinga Kali sana, tumebarikiwa na Mwenyezi Mungu anatupenda na ana Kusudio jema nasi hapa duniani.

Ashukuriwe Yeye.
 
Hakika Mkuu. Yaani Mimi nimezungukwa na Waumwa hayo Macho na kila Siku tu ninao na kuna Mademu Wawili nimewabandua na huo Ugonjwa tena kula nao Denda lakini wala sijaupata na Kesho ( Leo ) baadae Mchana nategemea Kumbandua mwingine nae ana hilo hilo tatizo la Kuugua Macho.
Hilo tatizo halipunguzi utamu?
 
nimejiangalia kwenye kioo leo nimejiona nina macho ya kipumbavu sana sintovua miwani mpaka muda wa kulala mpaka huu upuuzi uishe yaan shinyinga enzi hizo tungepigwa kiberiti maelfu kwa makumi elfu kwa tuhuma za uchawi
 
Duuuhi! nilimshuhudia mtu mwenye ugonjwa wa red eyes siku ya jumamosi,aisee kama kavuta msuba,macho yalikua mekundu sana.
 
Duuuhi! nilimshuhudia mtu mwenye ugonjwa wa red eyes siku ya jumamosi,aisee kama kavuta msuba,macho yalikua mekundu sana.
Hakuwa Haruna Moshi Boban au Kelvin Yondani au Kibu Denis kweli huyo Mkuu?
 
Back
Top Bottom