Inasikitisha sana, sasa mkikutana jioni kila mmoja katoka kumega/kumegwa nje mnakaa mezani mnaongea au ?
Thanx a million of times, baeleze...miafrika ndivyo tulivyo...unafiki, unafiki, unafiki. Open up kuweni wa wazi na mambo yenu, tena kuanzia kitandani mpaka maofisini na kujenga taifa.Nenda kule kwenye siasa na utafute mada ya Mponjoli (azidi) kupata wakati mgumu uone jinsi watu walivyokuwa wanaunga mkono tabia/ mazoea yake ya wizi.
Ila nitofautiane na wewe kwenye hili la ufisadi wa mali na rasilimali za umma na hili unaloliita ufisadi wa kimapenzi. Ufisadi wa mapenzi ni wa kibinafsi na tulio wengi hautuhusu. Watu na makubaliano yao ya jinsi ya uhusiano wao ulivyo haudhuru maisha na maslahi ya wengi. Na hakika mitazamo ya watu kuhusiana na mambo ya watu wengine ya kimapenzi hayana uhusiano wowote na mambo yenye maslahi ya kitaifa.
Mtu anayeiba hela zilizokuwa earmarked kununulia madawa hospitalini au kununulia vifaa mashuleni si sawa na mtu anayemuibia mkewe au mumewe. Mtu anayefuja hela za walipa kodi na kujitajirisha mwenyewe basi ubadhirifu wake huo unatuhusu wote tunaolipa kodi. Mtu huyo huyo kama sio mbadhirifu wa fedha zetu walipa kodi lakini si mwaminifu kwa mkewe au mumewe, heck, it's none of our business, really.
Kuna mifano mingi tu ya viongozi mbalimbali duniani tena kwenye nchi zisizo na ufisadi uliokithiri kama kwetu ambapo viongozi hao walikumbwa na kashfa za ngono lakini watu hawakujali sana kwa sababu kashfa hizo hazikuathiri utendaji wao wa kazi na hazikuhusisha wala kuhatarisha maslahi ya kitaifa (ya wengi).
Kwa hiyo sioni ubaya wowote kuwepo kwa mgawanyiko wa kimaoni kuhusiana na huo ufisadi wa kimapenzi. Hamna kanuni yoyote inayovunjwa hapo kama ilivyo kwa watu wapingao ufisadi wa mali za umma lakini kwa wakati huo huo kumuunga mkono Mponjoli ambaye ni mwizi kama walivyo mafisadi wa mali za umma.
Nikweli kabisa, safari moja huanzisha nyingine atiii. Nyie wote wenye midomo midomo merefi kama kenge ndio wa kwanya kuzijaza guest house Friday evening + it´s whole wkend. Midomo juu juu kama break za honda. Kama hii sio dawa kwako kwa mwingine ni dawa. Na bado mtaandika sana ila wembe ni ule ule.Mmoja kati ya wanandoa akimega mnaona sawa, na aliyebaki akifanya, basi ni walakini.
Wote wanamatatizo, wamalize tofauti zao, au kama ndo style ya maisha wanayoyataka basi endeleeni.
Hapa huhitaji mawazo kwani tatizo ushalitafutia ufumbuzi.
We mwanamke ni mpubavu sana, tena zaidi ya mume wako.
Unadhani ni sifa!!!!?
Huna maaanahuyu mama hazai,hana kizazi
pakashume mkubwa
Taratibu mkubwa, najua wote tuna mshangaa lakini we got no right to say this.
Waache wapoteze nguvu zao, "we dare to talk open", mbona inawauma sasa. Achaneni na mawazo potofu ya nyanya zenu na babu zenu. We are now in the world of dot com. Hivi mnadhani hao wanaowasemehe na wakaka kimya niyakweli...mtakalagagabao hapo hapo. The only cure ni kumwaga mboga baada ya ugali kumwaga. Who da´ hell do u think you are to screw me up, i will also screw you too....Carmel huwezi jua, labda mumewe je? nakubaliana nawe, ...Mkuu Edson punguza Munkari!
Waache wapoteze nguvu zao, "we dare to talk open", mbona inawauma sasa. Achaneni na mawazo potofu ya nyanya zenu na babu zenu. We are now in the world of dot com. Hivi mnadhani hao wanaowasemehe na wakaka kimya niyakweli...mtakalagagabao hapo hapo. The only cure ni kumwaga mboga baada ya ugali kumwaga. Who da´ hell do u think you are to screw me up, i will also screw you too.
Nikweli kabisa, safari moja huanzisha nyingine atiii. Nyie wote wenye midomo midomo merefi kama kenge ndio wa kwanya kuzijaza guest house Friday evening + it´s whole wkend. Midomo juu juu kama break za honda. Kama hii sio dawa kwako kwa mwingine ni dawa. Na bado mtaandika sana ila wembe ni ule ule.
Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
ushampata???? kama vipi tupeane contactWanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Mhhhh! in the heat of the moment after telling you husband that, I forgive you then you turn around in order to get even!!!
Na hii "interest" yako ya kusema uongo kama ulivyoiweka kwenye profile yako ni aje!? Sasa katika yote uliyoandika katika mjadala huu lipi ni la kweli na lipi ni uongo?
About Me
- About Mrs Mtaba
- Location Denmark
- Interests lying
http://www.youtube.com/watch?v=lh2YP7oXqGQ
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
labda huwa anamdanganya mmewe ndo maaana mzee kaamua arudie back up yake old vision ajipatie ahueni
yaani wewe ni kicheche full stop,na jamaa sijui alikuokota uchochoro gani maana mmh,lakini poa mbanane hapohapo ilmradi mmeamua mechi,na kama ningekua mimi ndo nimekuoa ungekoma mwenyewe maana ningekugongea mpaka marafiki zako wote wa karibu na hata dada zako ndg zako poa tu kisha nione kama utarudisha majibu,bahati yako na huyo jamaa uliempata ukamfanyia hivyoTena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
Nikweli kabisa, safari moja huanzisha nyingine atiii. Nyie wote wenye midomo midomo merefi kama kenge ndio wa kwanya kuzijaza guest house Friday evening + it´s whole wkend. Midomo juu juu kama break za honda. Kama hii sio dawa kwako kwa mwingine ni dawa. Na bado mtaandika sana ila wembe ni ule ule.
Mrs Mtaba na wengine wote wanaokuunga mkono katika hili, ningependa uelewe kuwa ni kweli tunasympathise na hali ya ndoa yako itokanayo na mambo anayokufanyia mumeo. Katu hatukulaumu kwa uamuzi uliochukua lakini concern yetu sisi ni hadhi na heshima yako ya kibinadamu. Unajua ni kwa nini wanaume wanaotembea nje ya ndoa zao wanaonekana vidume na wanawake wanaofanya hayo wanachukuliwa malaya?! Ni vema ukalifikiria hilo kabla ya kujifanya uko sawa na Mr.
Wanawake wenzangu ni kweli tunataka usawa lakini si katika haya eti mume akiwa na nyumba ndogo nawe uwe na kidumu? Hapana mimi ninafikiri usawa tunaoudai tuuelekeze kwenye mambo ya maana zaidi kuliko haya. Je ni kweli kuwa hatuwezikuwadhihirishia hili kwa kuwaza yaliyo mema? Je kama mwanaume anayo haki ya kukupa talaka kwa kukufumania kwa nini nawe usimwonyeshe kuwa mko sawa katika hilo? Mrs Mtaba umemfumania Mr mwache anza maisha yako mwonyeshe yes you can. Ninakuhakikishia atakuheshimu daima ila ukifanya ulivyofanya atazidi kukudharau na kuwaza kuwa huwenda alifanya makosa kukuoa in the first place!.