Imagination - My Encounter with Super Lady in JF

Superman

JF-Expert Member
Mar 31, 2007
5,695
1,696
I am just Imagining . . . . To know who will be a Super Lady in JF with the following traits:

1. Awe Mwanamke wa Shoka!
2. Educated and Very Professional
3. Mwenye Uwezo wa kupewa Uongozi wa Juu na akafanikiwa
4. Mwenye ushawishi wa hali ya juu
5. Uzoefu wa Maisha ya Mtanzania
6. Exposure ya Nje ya nchi
8. Gentle and Diplomatic
9. Not Young but Not Old

Let me know if you are guess can be mine. Unaweza ukapitia posts zote.

Who will that Super Lady be and why?
 
Mwafrika wa Kike?

Ok, Let us see, down here are the Threads started by her. What does it tell us as per above traits?

  1. Hongera Michuzi na Mwanakijiji kwa kazi nzuri
  2. Hongera Fundi Mchundo kwa Nyundo 2000
  3. A vote of confidence for Mama Anne-Kilango Malecela
  4. Hongera Invisible kwa kuonekana mara 2000
  5. Wabunge USA wataka kuonana na Zitto: Je, Misaada isitishwe?
  6. Congrats FMES for 7000+ posts
  7. Ombi maalumu kwa Mheshimiwa Augustine Lyatonga Mrema
  8. Stop whining and do something for your country
  9. Watanzania wajenge chuki dhidi ya waasia mafisadi
  10. Wana JF waepukane na maneno ya kichochezi ya Mushi
  11. Mambo yote Columbus Ohio - July 4th weekend
  12. A call for Kikwete to resign his presidency
  13. Ninazikataa rasmi habari za kifo cha Ballali !
  14. Hongera SteveD kwa posts 2000
  15. What if Everybody Gave Up!
  16. Ole wako Kikwete ukileta usanii report ya BOT
  17. Mwafrika wa kike kumuunga Mkono Mheshimiwa Kikwete
  18. Ombi maalumu kwa makamu wa Rais - Shein
  19. Hongera Nyani Ngabu kwa posts 4000
  20. Msiba wichita - Kansas
  21. Uchaguzi wa wanafunzi UD wadorora!
  22. Meya wa Kinondoni afanya ufisadi
  23. JF yapata ushindi mwingine dhidi ya ufisadi
  24. Hongera Mwanakijiji kwa posts 8000
  25. Mheshimiwa Kikwete - Ninajua aliko Balali
  26. CCM waweke wazi mapato na matumizi ya chama
  27. Kikwete aombe msamaha au atolee maelezo maneno haya
  28. Hongera mtu wa pwani kwa posts 2000
  29. Waziri Mkuu Pinda karibu sana Marekani!
  30. Hongera Kikwete kwa kile unachopanga kuifanyia Tanzania
  31. sikiliza bongo radio sasa hivi kuna wimbo mzuri
  32. Hongera FMES kwa kufikisha posts 4000
  33. Ombi maalumu kwa Mheshimiwa Kikwete
  34. Prime Minister Pinda unaanza vibaya hapa!
  35. Kikwete (na serikali yake) anaogopa kumshtaki Balali
  36. ]Nina kiburi (I am proud) kuwa mTanzania
  37. Hongera Lunyungu kwa bandiko 2000
  38. Usalama wa taifa wapewa nafasi ya U-PM Tanzania
  39. Tutam-miss sana Lowasa
  40. Kikwete naye amezidi uoga! gooosh
  41. Hongera Mtanzania kwa posts 2000
  42. Kikwete kuzunguka dunia kujitambulisha kuwa kiongozi wa AU
  43. Mabilionea 100 anaotengeza Kikwete ni kina nani?
  44. Kikwete akubali kuhusika na wizi na benki kuu
  45. Je, yaliyotokea Kenya, Congo, na Uganda ni kushindwa kwa ubepari?
  46. Hongera Nyani Ngabu kwa posts 2000
  47. Nini kifanyike dhidi ya Jiitu Patel?
  48. Hongera Mwanakijiji kwa post 7000
  49. Balali nenda Tanzania ukabili mashtaka dhidi yako
  50. Hongera Kitila Mkumbo kwa kufikisha posts 2000
  51. BoT Saga Unfolding: Ilikuwa Balali auwawe kwa sumu- Fununu !
  52. Hongera BUBU KWA KUSEMA MARA 2000
  53. Tahadhari kwa JF memberz
  54. Kikwete ni zawadi ya krismasi kwa wapinzani
  55. Kikwete anawakwepa watanzania wa USA - tena!
  56. Kikwete anakuja USA tena - This December
  57. Pongezi CCM kwa Kuushinda upinzani kwa sasa
  58. CHADEMA wamruhusu Zitto kufanya apendacho
  59. Happy Thanks giving kwa wote
  60. Kikwete anunuliwa na wamarekani?
  61. Mgongano wa CHADEMA ni manufaa kwa Taifa
  62. Kikwete hana ubavu wa kuvunja baraza la mawaziri
  63. Sticky: Samahani kwa Kikwete na wana JF
  64. Kikwete awadanganya watanzania - TENA
  65. Hakuna kuomba msamaha kwa Kikwete
  66. Hongera Mwanakijiji 4,000 posts on JF!
  67. Kampeni dhidi ya Mkapa asishinde Tuzo ya uongozi bora
  68. Tumuunge mkono mwakilishi wa Tanzania
  69. Hongera Dua kwa posts 2000
  70. Karipitalization of Tanzania - who will stop it?
  71. Kikwete kuvunja baraza la mawaziri?
  72. Kusaidia JF
 
Mukuu mbona sikuelewielewi unatafuta soul-mate au mate gani?

No Personals Mkuu! Not at all . . .

Tunaanza Kutafuta Viongozi, tukianzia na kina mama! Mafisadi Wametuchosha . . . Next will be the Big Boys!
 
Womenofsubstance


Mmmh; Fine; what does her threads tell us?




  1. Job Opportunities
  2. Je Kipoozeo ni tiba ya kero katika ndoa au mahusiano?
  3. Ubahili mwingine mhh!!
  4. Je wewe ni mmojawapo? USIHOFU! Hauko mwenyewe.
  5. Mfanyibiashara.............
  6. Imani katika Sheria kama chombo cha kupambana na ufisadi
  7. Its good to know....
  8. Hongera Fidel80 Kwa Nyundo zaidi ya 2000!!
  9. Tunakoelekea: Karibu tutapata "Jukwaa Rasmi" la Lugha za Matusi, Kashfa na Kejeli JF!post retirement/retrenchment survival tips
  10. First Ladies Phenomenon - Is Tanzania doing that bad?
  11. Dolphins block Somali Pirate Ships!
  12. Ingekuwa vipi kama mkeo naye akakugeuzia kibao
  13. Miss,Mrs,Mistress, Ms: what is in a title?
  14. Beware Ladies! Now its bottled water ..................
  15. Mawakili ni watetezi wa wanyonge au ni waporaji wa wanyonge?
  16. MDG-based MKUKUTA and Poverty Reduction strategies and reality in Tanzania
  17. "Dhana ya Mchumba" na maisha ya kisasa
  18. Unaweza kutumia mbinu hizi
  19. Nitumie Avatar gani?
  20. wakati huo ukifika
  21. Precisionair Yakatiza safari baada ya kuruka dakika 10
  22. Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!
  23. Kwani mapenzi ni nini na yana nafasi gani katika maisha?
  24. Info about the Female Condom.
  25. Je ni sahihi kuweka uzungu kwenye majina ya kikabila?
  26. Special poem dedicated to all women of JF
  27. Ya vikuku na vishaufu
  28. You will pay heavily for telling lies
  29. Uzuri wa mke ni tabia, je uzuri wa mume ni nini?
  30. Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa serikali - Mawaziri na Makatibu wakuu
  31. Mgawanyo wa majukumu katika utendaji wa serikali - mwaziri na makatibu wakuu
  32. VIP Prisons coming soon in TAnzania
  33. Wasanii kushtakiwa na kufungwa: Baada ya TID je atafuatia Sir Nature?
  34. Msaada - habari kuhusu ugonjwa wa PITYRIASIS ROSEA
  35. What is life?
  36. Political financing: How is the money spent? A look at Sarah Palin's wardrobe expense
  37. Adha,karaha,mateso na machungu ya siasa za majaribio
  38. Of tribalism and diversity! Positive aspects
  39. When you think of divorcing, think twice!
  40. It's the little things…
  41. Mfungwa anapotoroka akiwa analima kwenye shamba la vigogo - Abuse of Authority
  42. Naomba kufahamishwa
  43. Mavazi ya kubana - Athari kwa wanawake
  44. .....suala hili linafanyiwa kazi
  45. Serikali inapoahidi kufanyia kazi kero na mapendekezo ya wananchi
  46. explaining politics
 
Give me time! Can you give me feedback for the above two?
 
Mwafrika wa Kike or Womenofsubstance, one of them can be JF Super lady. It is hard for me to analyse based on the two only, you need at least a sample size of 5 or more for proper analysis.

On giving you time, you did not mention in the lead post.
 
Last edited by a moderator:
I am just Imagining . . . . To know who will be a Super Lady in JF with the following traits:

1. Awe Mwanamke wa Shoka!
2. Educated and Very Professional
3. Mwenye Uwezo wa kupewa Uongozi wa Juu na akafanikiwa
4. Mwenye ushawishi wa hali ya juu
5. Uzoefu wa Maisha ya Mtanzania
6. Exposure ya Nje ya nchi
8. Gentle and Diplomatic
9. Not Young but Not Old

Let me know if you are guess can be mine. Unaweza ukapitia posts zote.

Who will that Super Lady be and why?

How do we identify ladies in this forum? By these nicknames/pseudonyms?Some of them are just numbers and others are just letters (like SMU!) with no immediate meanings that can be attached to a gender!
 
How do we identify ladies in this forum? By these nicknames/pseudonyms?Some of them are just numbers and others are just letters (like SMU!) with no immediate meanings that can be attached to a gender!

True Mkuu!

Hapo ndipo panataka Ubunifu na Extra Intelligence!

U can know by their posts I think so!
 
Mkuu superman nami nakubaliana na aliyemtaja Mwafrika wa Kike na Womenofsubstance kila mmoja wao katika Threads zake anaonyesha umuhimu wake katika Jamii ingawa WOS kidogo ameegemea zaidi katika Utetezi wa Haki za kina mama.

Naomba pia tuwaangalie Mama na Kisura. Mama anazungumza/andika kwa ujasiri zaidi,lakini bado naamini kuwa ni mwanamke,Huyu Kisura amepotea kwa muda,lakini pia nae anaonekana ni miongoni mwa akina Dada Makini.
 
Mwafrika wa Kike or Womenofsubstance, one of them can be JF Super lady. It is hard for me to analyse based on the two only, you need at least a sample size of 5 or more for proper analysis.

On giving you time, you did not mention in the lead post.


Sawa Mkuu. Asante!

Let us get more. What makes you feel that they are JF Super Ladies?
 
Mkuu superman nami nakubaliana na aliyemtaja Mwafrika wa Kike na Womenofsubstance kila mmoja wao katika Threads zake anaonyesha umuhimu wake katika Jamii ingawa WOS kidogo ameegemea zaidi katika Utetezi wa Haki za kina mama.

Naomba pia tuwaangalie Mama na Kisura. Mama anazungumza/andika kwa ujasiri zaidi,lakini bado naamini kuwa ni mwanamke,Huyu Kisura amepotea kwa muda,lakini pia nae anaonekana ni miongoni mwa akina Dada Makini.


Nakupata, subiri tuwalete kwenye Hot Chair na wao!
 
I am just Imagining . . . . To know who will be a Super Lady in JF with the following traits:

1. Awe Mwanamke wa Shoka!
2. Educated and Very Professional
3. Mwenye Uwezo wa kupewa Uongozi wa Juu na akafanikiwa
4. Mwenye ushawishi wa hali ya juu
5. Uzoefu wa Maisha ya Mtanzania
6. Exposure ya Nje ya nchi
8. Gentle and Diplomatic
9. Not Young but Not Old

Let me know if you are guess can be mine. Unaweza ukapitia posts zote.

Who will that Super Lady be and why?
Wee superman mambo gani tena unaanza kusarua watu ch*p* hadharani bwanaaaaa! Kwani wewe shida yako nini mpaka unanika topics zetu humu...wewe kama unatafuta kimada siuende kwenye blogs husika! Umeniudhi bwana and you spoiled ma´day.
 
Back
Top Bottom