Imagination - My Encounter with Super Lady in JF

I am just Imagining . . . . To know who will be a Super Lady in JF with the following traits:

1. Awe Mwanamke wa Shoka!
2. Educated and Very Professional
3. Mwenye Uwezo wa kupewa Uongozi wa Juu na akafanikiwa
4. Mwenye ushawishi wa hali ya juu
5. Uzoefu wa Maisha ya Mtanzania
6. Exposure ya Nje ya nchi
8. Gentle and Diplomatic
9. Not Young but Not Old

Let me know if you are guess can be mine. Unaweza ukapitia posts zote.

Who will that Super Lady be and why?
Hivyo viiambata vyote ulivyotaja hapo juu I do qualify my dear. Ok take me now!
 
Mkuu superman nami nakubaliana na aliyemtaja Mwafrika wa Kike na Womenofsubstance kila mmoja wao katika Threads zake anaonyesha umuhimu wake katika Jamii ingawa WOS kidogo ameegemea zaidi katika Utetezi wa Haki za kina mama.

Naomba pia tuwaangalie Mama na Kisura. Mama anazungumza/andika kwa ujasiri zaidi,lakini bado naamini kuwa ni mwanamke,Huyu Kisura amepotea kwa muda,lakini pia nae anaonekana ni miongoni mwa akina Dada Makini.

Cool . . . Mama huyu hapa na Threads zake:

Ok.

These are Penny's threads . . . LOL

Belinda is JF's sports Lady.

Womenofsubstance is JF's justice Lady.

Mwafrika wa Kike is JF Super Lady.

Penny always thinks of love and love affairs. May be she is JF's Lady of Love affairs.
 
Wee superman mambo gani tena unaanza kusarua watu ch*p* hadharani bwanaaaaa! Kwani wewe shida yako nini mpaka unanika topics zetu humu...wewe kama unatafuta kimada siuende kwenye blogs husika! Umeniudhi bwana and you spoiled ma´day.

Penny my Sister;

Pole kama umechukia. Ni kwa nia nzuri tu.

Si unajua Threads zote zimo jamvini na zinapatikana tu.

I know you are good, so dont worry. And, sitafuti Kimada wala.
 
Belinda is JF's sports Lady.

Womenofsubstance is JF's justice Lady.

Mwafrika wa Kike is JF Super Lady.

Penny always thinks of love and love affairs. May be she is JF's Lady of Love affairs.
Hapa umelonga wangu, yani with all my heart am ready for the chair. Tena tanzania inabidi ianzishewe Ministry of Love affairs (MLA)...lakini wapi naweza kwenda kusomea kwa ajili ya cheti jama...kipawa ninacho tena cha hali ya juu.
 
Penny my Sister;

Pole kama umechukia. Ni kwa nia nzuri tu.

Si unajua Threads zote zimo jamvini na zinapatikana tu.

I know you are good, so dont worry. And, sitafuti Kimada wala.
Ok my dear, nimekuelewa babangu...siunajua tena uchovu wa siku. Kila la kheri katika shughuli yako unayotaka kuifanya.
 
Hapa umelonga wangu, yani with all my heart am ready for the chair. Tena tanzania inabidi ianzishewe Ministry of Love affairs (MLA)...lakini wapi naweza kwenda kusomea kwa ajili ya cheti jama...kipawa ninacho tena cha hali ya juu.

Penny, nafurahi umekubali kwa moyo mkunjufu kuwa wewe ni JF lady of Love affairs.
Wenye matatizo watawasiliana nawe, lol!
 
Bimkubwa....should definitely be in the list

Ila binafsi Mwafrika Wa Kike hana mpinzani
 
Mkuu superman nami nakubaliana na aliyemtaja Mwafrika wa Kike na Womenofsubstance kila mmoja wao katika Threads zake anaonyesha umuhimu wake katika Jamii ingawa WOS kidogo ameegemea zaidi katika Utetezi wa Haki za kina mama.

Naomba pia tuwaangalie Mama na Kisura. Mama anazungumza/andika kwa ujasiri zaidi,lakini bado naamini kuwa ni mwanamke,Huyu Kisura amepotea kwa muda,lakini pia nae anaonekana ni miongoni mwa akina Dada Makini.

Kisura huyu hapa na Threads zake:

Hapa umelonga wangu, yani with all my heart am ready for the chair. Tena tanzania inabidi ianzishewe Ministry of Love affairs (MLA)...lakini wapi naweza kwenda kusomea kwa ajili ya cheti jama...kipawa ninacho tena cha hali ya juu.

Jifagilie Shosti maana u deserve it.
 
Penny, nafurahi umekubali kwa moyo mkunjufu kuwa wewe ni JF lady of Love affairs. Wenye matatizo watawasiliana nawe, lol!
Nawakaribisha wote, wasiwe na wasiwasi siri zao za ndani nitaziifadhi kwa hali ya juu sana kama ninavyo hifadhi p***y yangu.
 
Jifagilie Shosti maana u deserve it.

Siunajua tena mummy wangu, ndo mafungu yanaanza kupaliliwa hivyo ati. Mzamza hivi hivi ukanikuta ikulu JK akiniungamisha na biblia kuwa The Minister of Ministry of Love Affairs (MLA) 2010. Tanzania inapanuka ati!.
 
Back
Top Bottom