Imagination - My Encounter with Super Lady in JF

Ok Wakuu wote;

Nominations imeshafanywa. Sasa katika majina yafuatayo yaliyokuwa nominated, naomba tuyapigie kura kupata majina matatu tutakayoyapambanisha katika Thread ya Nani Zaidi? Kabla ya kuchagua unaweza kijiridhisha kwa kuona michango yao katika Threads walizo zianzisha.

Nominated Candidates ni:



Chagua Watatu katika Hao.


Kujipigia kura mwenyewe si imo?...

Haya najipigia kura mwenyewe

KELLY01!.....

Common people!...vote for me!....
 
Aaaah unanisingia bana...mimi mwandika pumba siwezi kuwa bombastic kama unavyodai

Huyo anayesema unaandika pumba yeye anaandika pumba zaidi!!!! Huyo anayejifanya kuwa yeye ni judge wa posts za wengine hapa, aanze na ku-judge za kwake. Toa kwanza boriti ndani ya jicho lako ndipo utoe la mwenzio. Nyani haoni kundule. Keep on moving NN. Nafikiri kwenye ile post ya kukupongeza I said it all (refer it). Kinachotakiwa hapa ni kuwa na ustaarabu wa kuandika, si kutukana wala matusi. Tatizo wengine wanajidai wao ni mwamba na wanajua sana, wanajidanganya. Kufungiwa kwa member kunatokana mambo mengi ndani ya wezo wa mods in relation to JF rules na haimanishi member akifungiwa posts zake ni pumba. Hata mimi yawezekana nikafungiwa kama nitaenda kinyume na sheria, hasa kushambulia na kutukana, kitu ambacho ni last to do in my life.
 
Acha ku-hate...kila mtu anafanya ile roho napenda..kama mtu anapenda kuchangia kuhusu mapenzi ni yeye huwezi kum-judge na kudhani kuwa siyo smart...yaani nyie mnadhani kuchangia politics ndiyo kuwa smart?...that is so rudiculous na inaonyesha jinsi gani watu mlivyo na ufinyu wa kufikiria....

to all my ladies mnaochangia hoja za mapenzi wala msife moyo na hawa watu wanao underetimate you!...all you need to do follow your heart.....
Ndo maanake shosti...siasa kitu gani wabunge, mawaziri n.k kila siku kufisadi nchi na kupeleka pesa kwenye MAPENZI. So hamuoni kwamba hii ndo funga kazi. Ntachangia kile roho inapenda na kufurahi.
 
Haya kumekucha . . . . Tunataka kuendesha shindano hili tena.

Je, tutumie vigezo vile vile au kuna vingine?
 
Mwaka huu tunaweza kutafuta JF Lady Of The Year 2010 na JF Man of the Year 2010 ili mradi tukubaliane vigezo.

Tukishawashortlist, then hao ndiyo tuwafanyiwe poll kama tulivyowafanyia wa uhombea wa uchaguzi.

Awali ningeshauri iundwe tume huru NEC ya uchaguzi kuepuka kuchakachuliwa.

Kuipa utamu, nashauri tuchange zawadi na iwe $ 500 kwa kila mshindi. Niko tayari kuchangia $ 100 au zaidi.
 
Back
Top Bottom