Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,258
- 20,712
Usinikumbushe dada naweza haribu siku!!ha ha ha my brother.. enzi zile Daddy anaweka eeeeh??? lol
Usinikumbushe dada naweza haribu siku!!ha ha ha my brother.. enzi zile Daddy anaweka eeeeh??? lol
Tayari WAMEKWISHA ANZA!Unatafuta vita wewe ngoja nikuachie ugomvi nao!
Mungu si ODM..ukiendelea na huu ukaidi utakiona cha mtemakuni
Babu siku ingine mwambie mchungaji atuletee na mapambio ya kina rose mhandoTayari WAMEKWISHA ANZA!
Upo kwenye chati sana naujuaUsijali kabisa nalifanyia kazi....."unajua vua kiatu"?
Usijali kabisa nalifanyia kazi....."unajua vua kiatu"?
Naipenda sana nyimbo hiyo ya mama wa mapacha
Hahahaha kuwa makini huenda ni mchungaji huyo!