Nobody have no plan!But mimi niko home nacheki tv na kupumzika,w/end zote huwa nafanya hivyo!You?Do u have any plans?
Hivi kumbe Mwanamke naye ana sura ya Mungu?.........Mahubiri potofu haya...Nitawaumba kwa sura na mfano wangu! Nionapo mwanamke mzuri naona sura ya Mungu......!
Yes!!!Do u have any plans?
Amen...nikiwa na mwanaume najua ni kichwa cha Kristo..wk end njema RevNitawaumba kwa sura na mfano wangu! Nionapo mwanamke mzuri naona sura ya Mungu......!
Mungu si ODM..ukiendelea na huu ukaidi utakiona cha mtemakuniHivi kumbe Mwanamke naye ana sura ya Mungu?.........Mahubiri potofu haya...