Salim Kikeke ni Raia wa Tanzania?

Ni msomali mkuu

Waliingia nchini wakati ambapo jamaa moja ni waziri wa mambo ya ndani


Wasomali wamejipenyeza kila pahala
 
kwanza naona kama mhuni vile .mtu at 45 years hana mke why?

Relationship Statistics of Salim Kikeke​


What is Salim Kikeke marital status?
Salim Kikeke is single.
 
Salim Kikeke ambaye alikuwa mtangazaji wa BBC ni Raia wa Tanzania?

Hili nimeliuliza ili kuwaachia watu wa Vetting kazi ya kufanya week end hii!

Niwatakie jumapili njema.
Ili ikusaidie nini? Ji Mtanzania ndiyo Mpare wa kule milimani! Unataka nini sasa?
 
Acha kujadili watu, wewe tafuta maisha yako kama sio mtanzania kwani wewe ni mtanzania?
mbona unatoa povu la kijinga hivyo, kuna ubaya gani huyu mdau kuuliza uraia wa kikeke wakati kuna trending huenda huyu jamaa akale shavu nene kwenye nafasi muhimu nchini? Muachage kutoa mapovu ya namna hii kwa wanaohoji mambo muhimu ya nchi
 
Back
Top Bottom