I'm going through hell!...should i keep going?

nashukuru,
lakini kwanini anakuwa na moyo mgumu kiasi hicho?hataki kuongea na mimi?ananiambia mimi mbeya?hajui vile amenichoma mkuki moyoni mwangu?

baby boy, take it easy! pole sana na nahic mamii hana moyo mgumu bali ni maneno ya hacra tu yanamponyoka.
 
Mpwa pole sana nilitingwa kidogo nimechelewa kusoma hii, Mshirikishe Mungu hakuna ndoa isiyo na doa, kila mtu anamapungufu yake when u stay together u converge ur weaknesses and turn them to threngths.
Pia have time of ur own/token out mpeleke Zanzibar au bagamoyo this wk end mkaongee, saingine ni stress tu. Pia leo jion ukirudi rudi na kazawadi karuzi namaua mchape nayo, jishushe utaenda kwa mwingine utamkumbuka huyo.
 
wewe kijana hapa tunazungumzia ndoa sio u boyfrnd , hayo ya ukatili yametokea wapi? kipi cha ajabu alichofanyiwa G? hivi ni vijimambo vidogo vidogo sana vya ndoa kijana, na G bado hajafikia kuwashirikia hao wote unaowasemelea, amshirikishe Mungu wake.....
i hv known her for the past six yrs.incidence iliyotokea last time SIKUIPELEKA KWA NDUGU ZAO.isipokuwa WALIONA WENYEWE!walichokifanya ni kumuita na kuongea naye katika mtizamo wa kumkanya!.....mimi nilikuwa naongea tu na kaka yao kwa maana nzuri tu.yeye anaamini mimi nimewaambia wamkanye.anyways,KUNA UBAYA GANI NA HILIO?hata kama ningewaambia..........
 
Mpwa huwa naangalia maisha ya watu walio kwenye ndoa na walio kwenye mahusiano ya kawaida, nakuambia mpwa kosa kubwa kabisa kuwaoa hawa viumbe watakusumbua sana, nakuambia isingekuwa ni taratibu za mazoea mi nisinge oa ningeendelea kumdate my luv wangu hadi tunakufa, ila kwa kuwa ni mazoea nitakuwa boifrendi hadi hapo tutakapo zeekazeeka.

Hahahaha! Mpwa una moyo mgumu sana. Ila kwangu mimi sijawahi kujuta kwa nini nimeoa. Actually, huwa najuta kwanini nimechelewa kuoa!
 
ooh NO!how long will it take?i am finished.i can't go through this pain.NOT ANYMORE!

mie cdhani kama ana utoto wa hivyo, hapa ninachoona ni yeye kukuchunia coz ya hii ishu za kupeleka mambo kuckohucka, may b watu tunatofautiana ,mie niliolewa na 22yrs na nilikuwa na akili zangu timamu utoto niliuacha kitambo, nenda nae taratibu G....
 
Mpwa pole sana nilitingwa kidogo nimechelewa kusoma hii, Mshirikishe Mungu hakuna ndoa isiyo na doa, kila mtu anamapungufu yake when u stay together u converge ur weaknesses and turn them to threngths.
Pia have time of ur own/token out mpeleke Zanzibar au bagamoyo this wk end mkaongee, saingine ni stress tu. Pia leo jion ukirudi rudi na kazawadi karuzi namaua mchape nayo, jishushe utaenda kwa mwingine utamkumbuka huyo.
ahsante sana mpwa!umesomeka vizuri.infact wewe ni mmoja wa watu ambao ni lazima niwashirikishe moja kwa moja!face to face next weekend au vipi?.........

..........kama dakika tatu zimepita SHE HAS GIVEN ME A CALL!unajua tukio la juzi aliibiwa na pete pia.anasema anajisikia vibaya sana akiangalia kidole chake hakina pete.......
 
I WILL GO THROUGH YOUR PLAN!infact kaka zake nao wamesema hivyo hivyo.
tatizo anaenda chuo na kurudi.naogopa kumuharibia program.....!hata hivyo ni bora nifanye

mbona halina shida hilo G, ni suala la wewe kumsaidia kujipanga, mie nilijifungua nikamwacha baby na miezi 3 na nikaenda chuo, muongoze tu taratibu mtaenda sawa.
 
Teh teh teh Mpwa usije kuta kuna jamaa anakusaidia kimtindo!

Na kwa jinsi huyu mpwa wetu alivyo lazima kuna co-husband ila cha kushukuru yeye hawezi jua anaona ndoa inakwenda smooth kumbe kuna wanaume wawili wamesimamia mzigo. Unajua anachofanya mke wa Mtaba yaani Mrs Mtaba, soma hapa
 
Mzee kwa hili nakupa THANKS! Ingawa za kwako hutoka kwa madem tu
 
ahsante sana mpwa!umesomeka vizuri.infact wewe ni mmoja wa watu ambao ni lazima niwashirikishe moja kwa moja!face to face next weekend au vipi?.........

..........kama dakika tatu zimepita SHE HAS GIVEN ME A CALL!unajua tukio la juzi aliibiwa na pete pia.anasema anajisikia vibaya sana akiangalia kidole chake hakina pete.......

Mpwa! anakupenda sana huyo shemeji yetu, usichukue maamuzi ya kutafuta msichana mwingine.....LOVE TAKES TIME TO HEEL
 
Pole is she your wife? Kama siyo wife fukuza haraka. Kama ni wife anza kumpiga makofi apate akili. Inavyoonyesha anafanya makusudi uamue kuachana nae kitu ambacho yeye anakiona ni kheri

Ikiendelea na evidence zipo, basi mpe talaka yake aende kwao akatafute ataakokuwa anawafanyai huo ubwege wake, kama ni rafiki wa kike huyo mwache haina madhara kabisa.
 
.....YES!i am going through the hell,because she makes some silly mistakes and I FO0RGIVE,FORGET then we start over.but she keep making mistakes kila kukicha.

THE WORST PART OF MY MARRIAGE NI KWAMBA,nilipojaribu kumshirikisha kaka yake ili amshauri kuwa makini nimeibua tatizo jingine kubwa.she can't talk to me for three days now.na ananiita mnafiki,na mbeya.nikimwambia tukae tujadili mahusiano yetu hataki tena.ni visilani kila kukicha.

i am going through the hell!i can't keep quite just like that.i have done so much to fight for what belongs to me!

mr pole sana kwa yanayokupata,cha muhimu ni kumueleza ni nini hatima ya vitendo vyake,for how long will you tolerate humiliations from your wife,you are doing more than enough for her,what she z doing to you is not fair at all she cant keep on not talking to you for more than three days.my advise to you z consult your elders so that they can talk to her if you still love her.if not you made decision for yourself coz you deserve happiness mr.
 
Pole is she your wife? Kama siyo wife fukuza haraka. Kama ni wife anza kumpiga makofi apate akili. Inavyoonyesha anafanya makusudi uamue kuachana nae kitu ambacho yeye anakiona ni kheri

Ikiendelea na evidence zipo, basi mpe talaka yake aende kwao akatafute ataakokuwa anawafanyai huo ubwege wake, kama ni rafiki wa kike huyo mwache haina madhara kabisa.
ahsante!
ushauri interesting kabisa kutoka kwa mwanamke!wewe ndoa unazijua
 
Na kwa jinsi huyu mpwa wetu alivyo lazima kuna co-husband ila cha kushukuru yeye hawezi jua anaona ndoa inakwenda smooth kumbe kuna wanaume wawili wamesimamia mzigo. Unajua anachofanya mke wa Mtaba yaani Mrs Mtaba, soma hapa

Kuwa na co husband si tatizo. So long sijawahi kumhisi wala kumfumania wife, life goes on! Au unafikiri kuwa kwa kuwa bibie unalala naye bila ndoa basi anakuwa hamegwi? Kumega/kumegwa ni tendo analofanya mtu kwa siri kubwa. Inapotokea anafanya na wewe hujui, anapaswa kupewa thanks kwa kutokukumizia moyo wako. Kwa hiyo mpwa kumegewa haijalishi umeoa au hujaoa. Hahahaha! Mpwa bana! Usimshawishi bwashee amtaliki sista wangu bana, chondechonde!
 
so,shall i keep going?

Kabisa! mpe time...fwata ushauri wangu wa mwanzo....tokeni out sehemu kuliko tulia zungumzeni tofauti zenu....ungempata kama Mrs Mtaba nafikiri tukutuku ungekuwa ushaiingiza mtoni...kwa stress
 
mr pole sana kwa yanayokupata,cha muhimu ni kumueleza ni nini hatima ya vitendo vyake,for how long will you tolerate humiliations from your wife,you are doing more than enough for her,what she z doing to you is not fair at all she cant keep on not talking to you for more than three days.my advise to you z consult your elders so that they can talk to her if you still love her.if not you made decision for yourself coz you deserve happiness mr.

ahsante mkuu!ubarikiwe sana
 
Pole is she your wife? Kama siyo wife fukuza haraka. Kama ni wife anza kumpiga makofi apate akili. Inavyoonyesha anafanya makusudi uamue kuachana nae kitu ambacho yeye anakiona ni kheri

Ikiendelea na evidence zipo, basi mpe talaka yake aende kwao akatafute ataakokuwa anawafanyai huo ubwege wake, kama ni rafiki wa kike huyo mwache haina madhara kabisa.

Kile kitufe cha ZII bado kuwekwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom