Ili kupata uzoefu zaidi Ridhiwani apewe nafasi gani serikalini?

Apewe ubalozi wa kudumu au Urais wa COMORO akipata uzoefu atawale zanzibar kisha apewe uchifu wa Msoga!
 
Du naona watu wameshindwa kumwelewa MM, unahitaji kuwa great thinker kumwelewa.

Hivi hamjui kama hizo nafasi alizopewa na MM anazo serikalini lakini hazijarasimishwa?, anachomaanisha hapa ni kurasimishwa tu kwake hizo nafasi kwa sababu mambo anayoyafanya sasa ni kama anatimiza majukumu ya hizo nafasi alizotaja MM. Na nina uhakika MM ana ushahidi na hili.
 
Nyunyu, very unfortunate, kigezo cha kujiunga na hivyo vyuo ulivyovitaja (Harvard/Yale/Oxford) sio uwezo wa kulipa ada!

Kweli I ma aware of this, may be it has to reach a time mtu anayetaka kupata leadership lazima aelewe si suala la kuwa femasi nchini au chamani au eneo lote lile. Kuna uhusiano wa moja kwa moja na uwezo mzuri kiakili!! Thid goes even to the mkulu, kwamba issue haikuwa kwamba lazima niwe prezidaa kust because "I can" Kuna uhusiano pia na uwezo mzuri kiakili!!!

Ukiangalia wakina Bush, Kennedy to name few wana education profile nzuri before jumping into politics!!! Watawala na nasi wataliwa ni lazima tujielewe!! Ndo maana na kubaliana na mtu mmoja liyesema MKJJ ana sababu za msingi kuanzisha hili!! I wish Riz1 angekuwamo humu akaingia kwenye mjadala...
 
Mkuu, saluti kubwa.
Kuna message bado watu hawajaipata. Natamani Riz 1 angekuwa anasoma na kuelewa haya maandiko. Hayana tofauti na Mene mene tekeli pelesi.
Mungu ampe neema ya kuelewa na kusoma alama za nyakati. Wenye nafasi kama zake tumewasikia mara ameuwawa,mara amejeruhiwa,ooops amemfuata babaye one hour later.............. Mungu wetu ni mwenye huruma na tena muaminifu. Ampe busara na hekima. Hilo tu
 
mzee mimi nakuheshimu, lakini kwa hili nadhani unavuka mipaka. Nini kilisababisha Gaddaff akachukiwa na wananchi wake? Mie nijuavyo, gadaf alitaka kurithisha madaraka kwa mwanae. Huyu RIZ1 kama amekutuma, nadhani utapata aibu yako mda si mrefu. Kwanza dogo mwenyewe kwa kutumia IKULU anafanya mambo anavyotaka yeye, sasa wewe unampigia chapuo ateuliwe kuwa fulani?

Riz1 mwizi, ana ukwasi mkubwa mno, na lazima ipo siku atatueleza kaupata wapi mtu ambaye kamaliza shule juzi pale mlimani
Anayafanya hayo uliyoyasema kwasabau anakosa uzoefu wa uongozi, kwa hiyo akipewa nafasi ya uongozi kama mm anavyoshauri hayo yatakomaa zaidi au yataachwa.
 
Its too much; Riziwani hapaswi na wala hastaili kupewa nafasi yoyote ya uongozaji katika taifa hili: nafasi ya Urais siyo ya kurithi ktk familia bwana.
 
Riz one hafai labda kweli apitie huko maHarvard,Yale au Oxford. Speed anayoenda nayo hafai kuwa kiongozi rasmi ati wa kuingia bungeni n.k. Apewe nafasi ya Mshauri Mkuu wa familia kuhusu mambo ya Kisiasa!
 
Back
Top Bottom