Ili kupata uzoefu zaidi Ridhiwani apewe nafasi gani serikalini?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,460
39,928
Tayari ni kijana ambaye anapata uzoefu mbalimbali wa shughuli za kichama na siasa. Naamini kwa ajili ya kuweza kuja kugombea baadaye nafasi "kubwa" nchini anahitaji kupata uzoefu wa mambo ya serikali. Najiuliza ni nafasi gani zinamfaa ili Rais amteua au (chombo kingine cha uteuzi) ili kumpatia Ridhiwani uzoefu wa mambo ya serikali. Nafikiria kama nafasi zifuatazo:

a. Msaidizi wa Rais Ushauri wa Usalama wa Taifa
b. Mshauri wa Rais (Siasa na Vyama vya siasa)- nafasi iliyowahi kushikiliwa na Kingunge
c. Msaidizi Maalum (without portfolio)
d. Mshauri wa Kisheria - Presidential Guards
e. Msaidizi Ofisi ya Katibu Kiongozi - Special Duties
f. Kwenda Monduli Military Academy na kufanya mafunzo ya Ofisa wa JWTZ - hili nalipenda zaidi kwani akitoka anaweza kupewa Brigage au Kikosi chake Maalum kukiongoza..

Au cheo chochote kile labda wengine mnaweza kuwa na mawazo zaidi. Hii itamsaidia Ridhiwani kupata mwanga zaidi wa shughuli za serikali na kuweza kupanua zaidi wigo wa maono yake kuhusu kutawala nchi yetu. Lakini itamsaidia siku moja kama atataka kugombea Ubunge au nafasi nyingine ya juu kuweza kuwa amepata kuwa na uzoefu wa aina mbalimbali.
 
Mi nadhani cheo alichonacho sasa(mtoto wa raisi)kinatosha kumpa exposure na experience...!!!
 
Sipati tabu kufikiria nafasi inayomfaa Ridhiwani bali nasumbuka kufikiri kwanini "WEWE" umefikiri hivi!!
 
MM mpaka saizi Ridhiwan akigombea ubunge jimbo la Msoga nadhani anaweza kupita bila kupingwa lakini hii itafanywa sana kwa heshima ya baba yake. Kuhusu hilo, labda nafasi ya msaidizi wa usalama Ikulu maana ni kitengo ambacho kipo na kina umuhimu mkumbwa lakini kwa wananchi hakina uwajibikaji mkubwa tofauti na nafasi nyingine.
 
aendelee kuwa mshauri wa masuala ya wanganga wazuri wa kumlinda hiz dady
 
mwenzetu unawaza nini hafai huyo katika nafasi yeyote muache aendeleze miradi ya familia
 
Kwa majukumu aliyojitwika, matamko aliyotoa na authority aliyonayo huyu kijana napata shida kuamini kwamba bado hana cheo au vyeo hivyo ulivyosuggest japo "informally"
 
mwenzetu unawaza nini hafai huyo katika nafasi yeyote muache aendeleze miradi ya familia
 
Binafsi naona anafaa nafasi mbili na zinaenda ktk sequence, kwanza aanze na Ubalozi wa nyumba kumi ili apate uzoefu na kisha awekwe ikulu kuchukua nafasi ya January Makamba na ili awe mwandishi wa hotuba za babake mpaka babake atakapoondoka madarakan na babake akiondoka basi atakuwa na uzoefu wa kuwa katibu wa shina la wakereketwa wa ccm.
Nafasi ingine naona anafaa aende ccp kujifunza upolisi ili aje awe IGP kabla babake hajatoka madarakan
 
Kwanza nitajie watoto wa5 wa viogozi waandamizi wa serikali ambao leo hii wanafanya vizuri!
 
Kwani sasa cheo alicho nacho kinaitwaje? Maana naona ana act kama amiri jeshi mkuu wa CCM... akisema matawi yasifunguliwe, hayafunguliwi, alisema kiongozi fulani akamatwe aandike maelezo kwa kunisema, anakamatwa... hivi hicho cheo kinaitwaje vile???
 
Siwezi nikajisumbua kuchangia au kufkiria wakati jibu umelificha ndani ya mifupa ya Kichwa chako.......labda nikuulize na uwe fair, umewaza nini? au umeona nini, sitaki kuamini kuwa unayaongea haya baada ya kusikia mambo fulani bali baada ya kujiridhisha.
 
Kuongoza nchi kama hii ya tz sidhani kama mtu anahitaji uzoefu wowote. Mpaka hivi sasa kuna mambo anaongoza na kutoa ushauri kwa mfano uv- ccm. Labda utuambie wanaomuandaa kuwa kiongozi kuna mahali wanakosea ili tutoe mawazo ya kuboresha hapo walipokosea. kwa upande wa kukusanya hela za kununulia uongozi na dhani yuko vizuri kabisa, he is doing fine actually.
 
sisi wote hapa JF tuna akili sio peke yako una agenda umeificha halafu hautaki kuwa muwazi hovyooooooooooooooooooooo na wewe siku hizi unatumika kuibomoa JF
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom