MANI
Platinum Member
- Feb 22, 2010
- 7,320
- 6,376
Nadhani huyu Mwana wa Mfalme Ridhiwani Jakaya Kikwete apelekwe Royal Military Academy Sandhurst kule Surrey UK, akimaliza apewe Ugeneral na kuwa mkuu wa ulinzi na usalama wa nchi na ukuu wa majeshi. Hii itasaidia kukomaa kwake katika kuchukua nchi kutoka kwa Mfalme Kikwete iwapo chochote kitamtokea.
Mkuu haswaa kwani si unaona kama utawala wa kisultani kila mwana mfalme ana sauti !