hakiim ndagile
Member
- Jul 26, 2015
- 9
- 0
Walikataa maoni yetu ya katiba mpya tuliyoitaka nasi lazima tuwakatae sio kuja kututawala kidiktater kwa katiba hii mbovu!
Nionavyo:
Watanzania tumekwama hapa:
1. Elimu bora, na sio bora elimu kama ccm wanavyofanya. CCM wamechezea sana elimu hapa nchini. Kila kitu kimeparanganyika, kuanzia divisheni faifu. Elimu bora ni 'multiplier effect'
2. Uchumi.
Hapa ndio chimbuko la kuchukiwa CCM, bahati mbaya hawana habari. Uchumi umekufa!
Habarini za jioni wakubwa, kuna hili jambo linanitaiza, nilitegemea magufuli na samia suluhu kwenye kampeni wangenadi katiba mpya iliyopitishwa na bunge maalum la katiba kuwa serikali yao itahakikisha wanaipitisha na kuwa katiba ya tanzania. Wapo kimya kwenye hili, kumbe ile katiba ni radimu ni chafu sana na ilipitishwa katika mazingira ya giza hadi wao wanaonea aibu. Nakumbuka bunge maalum alikuwamo samia na magufuli lakini wanaona aibu kuiongelea, chadema,nccr mageuzi, cuf, nld wanaongelea katiba mpya hawa kimya kulikoniiiiiiiiiiiiiiiiii
walichakachua rasimu????
Wanaona haya haoooooooooooooooooooooo??????
na badoooooooo. Ccm kujeni hapa mjibu hili

Kwanini waongelee katiba mpya wakati inangoja muda ufike ipelekwe kwa wananchi waipigie kura. Unataka wayarudie yale yale yaliyokwisha-pitishwa na BMK.
CCM ina ilani ya uchaguzi na wagombea wanaongelea mambo yaliyopo kwenye ilani ya uchaguzi.
Habarini za jioni wakubwa, kuna hili jambo linanitaiza, nilitegemea magufuli na samia suluhu kwenye kampeni wangenadi katiba mpya iliyopitishwa na bunge maalum la katiba kuwa serikali yao itahakikisha wanaipitisha na kuwa katiba ya Tanzania.
Wapo kimya kwenye hili, kumbe ile katiba ni rasimu ni chafu sana na ilipitishwa katika mazingira ya giza hadi wao wanaonea aibu. Nakumbuka bunge maalum alikuwamo Samia na Magufuli lakini wanaona aibu kuiongelea, CHADEMA,NCCR Mageuzi, CUF, NLD wanaongelea katiba mpya hawa kimya kulikonii
Walichakachua rasimu?
Wanaona haya haoooooooooooooooooooooo?
Na badoooooooo. CCM kujeni hapa mjibu hili
Katika Mpya NI mwiba WA ccm