Hivi vipicha walivyoandaa kwa ajili ya kuweka Instagram haiwezi kuwa ILANI. Wanatakiwa kuwa serious kuliko hivi kama kweli wanataka kuongoza nchi.
Ndio upeo wako ulipoishia? Unataka udanganywe na ukubwa/wingi wa text sio content?
Hivi vipicha walivyoandaa kwa ajili ya kuweka Instagram haiwezi kuwa ILANI. Wanatakiwa kuwa serious kuliko hivi kama kweli wanataka kuongoza nchi.
we noma mkuu. yaani una siku 20 humu lakini unapost karibi 1000. kwa wastani wa post 50 kwa siku. kazi unafanya saa ngapi? au mwenzetu hii ndo ajira yako?ILANI YA CCM YENYE MIAKA ZAIDI YA 50 IMEWASAIDIA NINI WATANZANIA MASIKINI? Watanzania wanataka Ilani inayotekelezeka na sio iliyojaa ahadi za uongo kama ya CCM
we noma mkuu. yaani una siku 20 humu lakini unapost karibi 1000. kwa wastani wa post 50 kwa siku. kazi unafanya saa ngapi? au mwenzetu hii ndo ajira yako?
Khaa!! Na katika hizo 49 ni za kipumbavu na 1 ni ya kucopywe noma mkuu. yaani una siku 20 humu lakini unapost karibi 1000. kwa wastani wa post 50 kwa siku. kazi unafanya saa ngapi? au mwenzetu hii ndo ajira yako?
masikini mbavu zangu! du!Khaa!! Na katika hizo 49 ni za kipumbavu na 1 ni ya kucopy
mkuu niigie mchongo basi na mimi nitoke!Hii ndio ajira yangu na tunasaidiana lakini hatulipwi elfu 7 kama zile mnazolipwa na Nape.
Khaa!! Na katika hizo 49 ni za kipumbavu na 1 ni ya kucopy
mkuu niigie mchongo basi na mimi nitoke!
mkuu matusi ya nini? mimi nimekuambia nipe dili na mimi mtanzania mwenzako nitoke kimaisha. shida yangu ni yako pia maana tunasherehekea pamoja, michango ya harusi tunachangiana mpaka na kuzikana. mahosipitalini au mahotelini au madukani hatubaguani. kuna ubaya gani ukinipa mchongo. nishitue mkuu kama na mimi naweza pata chochote.Endelea kwanza kuwachunguza wanaume na hata mshua wako jinsi anavyolala na m..za ako katika kutafuta watoto utaongezewa elfu 3 kwenye ile hela ya Nape ifike elfu 10.
Wadau mwenye ilani ya ccm, chadema na act anisaidie
ACT hawana ILANI wana Azimio la Tabora
Nyingine google chadema tanzania...au kwenye website yao utaikuta